Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Pwani yaongeza ufaulu darasa la saba

Kibaha katibu tawala wa mkoa wa Pwani, Mgeni Baruani MKOA wa Pwani umeongeza ufaulu kwa wanafunzi waliofanya mtihani wa darasa la saba ambapo jumla wanafunzi 13,242 wamechaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza kwenye shule mbalimbali za sekondari.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Dar yaongeza ufaulu darasa la saba

MKOA wa Dar es Salaam umekuwa wa kwanza kitaifa katika matokeo ya darasa la saba huku wanafunzi wote 10 bora kwa upande wa wavulana na 10 bora kwa upande wa...

 

9 years ago

Habarileo

Kanda ya Ziwa kidedea ufaulu darasa la saba

UFAULU wa watahiniwa wa mitihani ya shule ya msingi kwa mwaka 2015, umepanda kwa asilimia 10.85 huku shule za Kanda ya Ziwa zikifanya vizuri zaidi. Akitangaza matokeo hayo jana, Katibu Mkuu wa Baraza la Mitihani Tanzania (Necta), Dk Charles Msonde alisema watahiniwa 518,034 kati ya watahiniwa 763,602, waliofanya mitihani yao mwaka 2015 wamefaulu kwa kupata alama 100 na zaidi kati ya alama 250, ambayo ni asilimia 67.84.

 

9 years ago

Mwananchi

Matokeo darasa la saba hadharani, ufaulu juu kwa asilimia 11

Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) leo limetangaza matokeo ya darasa la Saba iliyofanyika nchini kote kuanzia Septemba 2 hadi Septemba 10, mwaka huu ambapo watahiniwa 518, 034 kati ya 763, 602 waliofanya mitihani hiyo wamefaulu.

 

11 years ago

Mwananchi

Nusu ya wanafunzi darasa la saba hawawezi Kiingereza cha darasa la pili

>Asilimia 24 ya wanafunzi wa darasa la saba nchini hawawezi kusoma hadithi rahisi iliyoandikwa kwa lugha ya Kiswahili kwa ajili ya wanafunzi wa darasa la pili ambapo asilimia 50 ya wanafunzi hao, hawawezi kusoma hadithi ya Kiingereza ya darasa la pili.

 

11 years ago

Habarileo

Arusha wapaisha ufaulu darasa la 7

MKOA wa Arusha umeongeza wastani wa ufaulu kutoka alama 93.62 mwaka jana hadi kufikia alama 104.86 mwaka huu licha ya kuwa na sifa ya kutokuwepo kwa udanganyifu kabla na wakati wa ufanyikaji wa mitihani ya darasa la saba.

 

9 years ago

Michuzi

KIWANGO CHA UFAULU DARASA LA 7 CHAPANDA WILAYANI MUFINDI

Zaidi ya wanafunzi 5,100 wa shule za msingi Wilayani Mufindi Mkoani Iringa, wanatarajiwa kujiunga na kidato cha kwanza baada ya kufaulu mtihani wa darasa la 07 ulifanyika mapema mwaka jana, huku ufaulu huo ukipanda na kufikia asilimia 80.39 ukilinganisha na asilimia 68.21 ya mwaka 2014. Taarifa ya kitengo cha habari na mawasiliano cha halmashauri ya wilaya ya mufindi kwa nyombo vya habari, imetanabaisha kuwa, wanafunzi waliokuwa wamesajiliwa   kufanya mtihani walikuwa 7,220 na miongoni mwao...

 

10 years ago

Habarileo

Ufaulu la Saba juu

Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA), Dk Charles Msonde akitangaza matokeo ya Mitihani wa Darasa la Saba kwa mwaka huu, Dar es Salaam jana. (Picha na Yusuf Badi).BARAZA la Mitihani la Taifa (NECTA) limetangaza matokeo ya mtihani wa darasa la saba kwa mwaka 2014 yanayoonesha kuwa, ufaulu umeongezeka kwa asilimia 6.38 huku Kanda ya Ziwa iking’ara kwa kuwa na shule nane kati ya kumi bora kitaifa.

 

10 years ago

Mwananchi

Wadau wa elimu wakosoa ufaulu la saba

>Wadau wa elimu nchini wamekosoa ufaulu wa matokeo ya darasa la saba yaliyotangazwa juzi kwa kusema siyo ishara ya kukua kwa sekta hiyo, ilhali kuna tatizo la kisera.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani