Kanda ya Ziwa kidedea ufaulu darasa la saba
UFAULU wa watahiniwa wa mitihani ya shule ya msingi kwa mwaka 2015, umepanda kwa asilimia 10.85 huku shule za Kanda ya Ziwa zikifanya vizuri zaidi. Akitangaza matokeo hayo jana, Katibu Mkuu wa Baraza la Mitihani Tanzania (Necta), Dk Charles Msonde alisema watahiniwa 518,034 kati ya watahiniwa 763,602, waliofanya mitihani yao mwaka 2015 wamefaulu kwa kupata alama 100 na zaidi kati ya alama 250, ambayo ni asilimia 67.84.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi01 Nov
Kanda ya Ziwa yazidi kutesa darasa la saba
10 years ago
Mwananchi01 Nov
Pongezi Kanda ya Ziwa kufanya vizuri darasa la saba
10 years ago
Mtanzania06 Nov
Kanda ya Ziwa yang’ara matokeo darasa la saba

Jiji la Mwanza
Esther Mbussi na Adam Mkwepu, Dar es Salaam
SHULE za msingi katika mikoa ya Kanda ya Ziwa zimeongoza matokeo ya mtihani wa darasa la saba mwaka 2014 kwa kushika namba moja hadi saba kati ya shule 10 bora kitaifa.
Aidha, watahiniwa wamefaulu zaidi somo la Kiswahili na kufeli zaidi somo la Hisabati.
Katika matokeo hayo yaliyotangazwa jana na Baraza la Mitihani la Taifa (NACTE), wavulana wameongoza somo la Hisabati kwa kupata alama 50/50, ambapo 26 wamefaulu kwa kiwango hicho na...
10 years ago
Habarileo25 Dec
Pwani yaongeza ufaulu darasa la saba
MKOA wa Pwani umeongeza ufaulu kwa wanafunzi waliofanya mtihani wa darasa la saba ambapo jumla wanafunzi 13,242 wamechaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza kwenye shule mbalimbali za sekondari.
11 years ago
Tanzania Daima02 Jan
Dar yaongeza ufaulu darasa la saba
MKOA wa Dar es Salaam umekuwa wa kwanza kitaifa katika matokeo ya darasa la saba huku wanafunzi wote 10 bora kwa upande wa wavulana na 10 bora kwa upande wa...
10 years ago
Mwananchi31 Oct
Matokeo darasa la saba hadharani, ufaulu juu kwa asilimia 11
11 years ago
Michuzi
KAMPUNI YA SEED CO KUZAWADIA WANAFUNZI MADAWATI 100 YENYE THAMANI YA MIL 15 KATIKA SHINDANO LA MASHAMBA DARASA MIKOA YA KANDA YA ZIWA.
11 years ago
Mwananchi18 Dec
Nusu ya wanafunzi darasa la saba hawawezi Kiingereza cha darasa la pili
11 years ago
Habarileo29 Dec
Arusha wapaisha ufaulu darasa la 7
MKOA wa Arusha umeongeza wastani wa ufaulu kutoka alama 93.62 mwaka jana hadi kufikia alama 104.86 mwaka huu licha ya kuwa na sifa ya kutokuwepo kwa udanganyifu kabla na wakati wa ufanyikaji wa mitihani ya darasa la saba.