Kanda ya Ziwa yazidi kutesa darasa la saba
Shule za msingi za mikoa ya Kanda ya Ziwa zimeendelea kutamba kwenye matokeo ya mtihani wa taifa wa darasa la saba yaliyotangazwa jana na Baraza la Mitihani la Taifa (Necta), huku Shule ya Hazina ya jijini Dar es Salaam ikitoa wanafunzi wawili walioshika nafasi mbili za kwanza.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo01 Nov
Kanda ya Ziwa kidedea ufaulu darasa la saba
UFAULU wa watahiniwa wa mitihani ya shule ya msingi kwa mwaka 2015, umepanda kwa asilimia 10.85 huku shule za Kanda ya Ziwa zikifanya vizuri zaidi. Akitangaza matokeo hayo jana, Katibu Mkuu wa Baraza la Mitihani Tanzania (Necta), Dk Charles Msonde alisema watahiniwa 518,034 kati ya watahiniwa 763,602, waliofanya mitihani yao mwaka 2015 wamefaulu kwa kupata alama 100 na zaidi kati ya alama 250, ambayo ni asilimia 67.84.
10 years ago
Mtanzania06 Nov
Kanda ya Ziwa yang’ara matokeo darasa la saba
![Jiji la Mwanza](http://mtanzania.co.tz/wp-content/uploads/2014/08/jiji-la-mwanza.jpg)
Jiji la Mwanza
Esther Mbussi na Adam Mkwepu, Dar es Salaam
SHULE za msingi katika mikoa ya Kanda ya Ziwa zimeongoza matokeo ya mtihani wa darasa la saba mwaka 2014 kwa kushika namba moja hadi saba kati ya shule 10 bora kitaifa.
Aidha, watahiniwa wamefaulu zaidi somo la Kiswahili na kufeli zaidi somo la Hisabati.
Katika matokeo hayo yaliyotangazwa jana na Baraza la Mitihani la Taifa (NACTE), wavulana wameongoza somo la Hisabati kwa kupata alama 50/50, ambapo 26 wamefaulu kwa kiwango hicho na...
9 years ago
Mwananchi01 Nov
Pongezi Kanda ya Ziwa kufanya vizuri darasa la saba
11 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-T_RVXN0KJq4/U-phWIIxhCI/AAAAAAAF_Bw/ALdKyqvSrzg/s72-c/FRANK%2B1.jpg)
KAMPUNI YA SEED CO KUZAWADIA WANAFUNZI MADAWATI 100 YENYE THAMANI YA MIL 15 KATIKA SHINDANO LA MASHAMBA DARASA MIKOA YA KANDA YA ZIWA.
11 years ago
Mwananchi18 Dec
Nusu ya wanafunzi darasa la saba hawawezi Kiingereza cha darasa la pili
10 years ago
Mwananchi26 Jan
Toto yazidi kutesa ligi yao
9 years ago
Habarileo14 Dec
Madini yazidi kutesa ligi daraja la pili Arusha
TIMU ya soka ya Madini ya Arusha juzi iliendelea kuutumia vema uwanja wake wa nyumbani wa Mwalimu Nyerere uliopo wilayani Mbulu mkoani Manyara baada ya kuifunga Pamba ya Mwanza magoli 2-0 katika mchezo mkali wa ligi daraja la pili ngazi ya taifa.
10 years ago
TZToday12 Nov
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)