Madini yazidi kutesa ligi daraja la pili Arusha
TIMU ya soka ya Madini ya Arusha juzi iliendelea kuutumia vema uwanja wake wa nyumbani wa Mwalimu Nyerere uliopo wilayani Mbulu mkoani Manyara baada ya kuifunga Pamba ya Mwanza magoli 2-0 katika mchezo mkali wa ligi daraja la pili ngazi ya taifa.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi26 Jan
Toto yazidi kutesa ligi yao
9 years ago
Habarileo02 Jan
Ligi daraja la kwanza yazidi kunoga
LIGI daraja la kwanza inatarajiwa kuendelea tena leo kwa michezo tisa katika viwanja tofauti. Ashanti United itamenyana na Polisi Dodoma kwenye uwanja wa Karume Dar es Salaam, mechi inayotarajiwa kuwa ya vuta nikuvute kutokana na timu hizo kuachana kwa mbali kwenye msimamo kwenye kundi A.
10 years ago
Mwananchi29 Dec
Mbao FC yakamata usukani Ligi Daraja la Pili
10 years ago
Mwananchi13 Nov
Wawili wafutiwa usajili wao Ligi Daraja la Pili
9 years ago
StarTV15 Nov
Ligi daraja la pili Wachezaji watakiwa kuzingatia nidhamu, shria na kanuni.
Wakati kipenga cha michuano ya ligi soka daraja la pili kikipangwa kuanza Jumapili hii katika viwanja mbalimbali nchini wachezaji wametakiwa kuzingatia nidhamu, sheria kanuni na taratibu zinazoongoza mpira wa miguu
Michuano hiyo inazishirikisha timu 24 na timu ya Alliance Sports Academy imepangwa kundi B pamoja na Bulyanhulu ya Shinyanga JKT Rwamkoma ya Mara AFC na Madini Fc zote za Arusha na Pamba Fc ya mwanza
Star Tv imefika katika viwanja vya timu ya Alliance Sports Academy ili...
9 years ago
StarTV17 Nov
Ligi daraja la pili Alliance Sports yaanza vema nyumbani CCM Kirumba.
Hekaheka za kuwania nafasi ya kufuzu kuingia ligi daraja la kwanza Tanzania Bara zimeanza katika uwanja wa michezo wa CCM Kirumba kwa timu ya soka ya Alliance Sports Academy ya Mwanza kumenyana na Madini Fc kutoka mkoani Arusha kwa kundi B
Mchezo huo uliokuwa wa ushindani mkubwa umemalizika kwa Timu ya Alliance kuibuka na ushindi wa bao 2-0 dhidi mpinzani wake Madini FC ya Arusha.
Mchezo huo uliokuwa na ushangiliaji wa aina yake kwa mashabiki wa timu ya Alliance Sports Academy ya...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-j-_cqw-T2tA/VZj5NkiD89I/AAAAAAAHnC8/ERbVjow04_U/s72-c/images.jpg)
Ligi Daraja la Pili kuanza Oktoba 7, kuchezwa makundi manne ya timu sita sita nyumbani na ugenini
![](http://4.bp.blogspot.com/-j-_cqw-T2tA/VZj5NkiD89I/AAAAAAAHnC8/ERbVjow04_U/s400/images.jpg)
10 years ago
MichuziMWIJAGE AIUNGA MKONO TIMU YA RAS KAGERA FOOTBALL CLUB KWA KUICHANGIA MILIONI MOJA ILI ISHIRIKI LIGI DARAJA LA PILI NGAZI YA KANDA
Na Faustine Ruta,Bukoba
Katika kutengeneza ajira kwa vijana na kuuendeleza mkoa wa Kagera kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo kutoka sehemu mbalimbali na ndani ya mkoa, Katibu Tawala wa Mkoa Bw. Nassor Mnabila aliamua kuanzisha timu ya mpira ya mkoa wa Kagera.
Madhumuni ya kuanzisha timu hiyo ni kuuleta mkoa wa Kagera pamoja, kutoa ajira kwa vijana wenye vipaji vya michezo aidha kuutangaza mkoa nje na ndani ya nchi kuhusu fursa za uwekezaji zinazopatikana ndani ya mkoa wetu wa Kagera.
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10