Ligi Daraja la Pili kuanza Oktoba 7, kuchezwa makundi manne ya timu sita sita nyumbani na ugenini
![](http://4.bp.blogspot.com/-j-_cqw-T2tA/VZj5NkiD89I/AAAAAAAHnC8/ERbVjow04_U/s72-c/images.jpg)
Kwa kuzingatia marekebisho ya Kanuni ya Ligi Daraja la Pili (SDL) yaliyofanywa na Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) hivi karibuni, SDL kwa msimu wa 2015/2016 itachezwa katika makundi manne ya timu sita sita kwa mtindo wa nyumbani na ugenini.Timu itakayoongoza kundi itacheza Ligi Daraja la Kwanza (FDL) msimu wa 2016/2017 wakati ya mwisho katika kila kundi itarudi kucheza Ligi ya Mkoa wake kwa msimu wa 2016/2017. Makundi ya SDL ni kama ifuatavyo; Kundi A ni...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi06 Feb
DRFA yataja makundi ya timu zitakazoshiriki kucheza hatua ya 18 bora (hatua ya pili) ya ligi ya mkoa wa Dar es salaam
Ligi hiyo ya mkoa...
11 years ago
Uhuru Newspaper22 Jun
Ajali ya magari manne yaua sita Dar
WATU sita wamefariki dunia mjini Dar es Salaam na wengine 12 kujeruhiwa vibaya katika ajali iliyohusisha magari manne.
Ajali hiyo ambayo ilitokea saa 7:30 mchana, ilihusisha daladala mbili, lori na gari dogo aina ya Land Rover Discover ambapo ilitokea katika eneo la Lugalo njiapanda.
Mashuhuda wa ajali hiyo walisema, ajali hiyo ilisababishwa na daladala lililokuwa likitoka Ubungo kwenda Tegeta lenye namba za usajili T 441 CKT ambalo lilihama njia na kupanda tuta kisha...
10 years ago
MichuziMWIJAGE AIUNGA MKONO TIMU YA RAS KAGERA FOOTBALL CLUB KWA KUICHANGIA MILIONI MOJA ILI ISHIRIKI LIGI DARAJA LA PILI NGAZI YA KANDA
Na Faustine Ruta,Bukoba
Katika kutengeneza ajira kwa vijana na kuuendeleza mkoa wa Kagera kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo kutoka sehemu mbalimbali na ndani ya mkoa, Katibu Tawala wa Mkoa Bw. Nassor Mnabila aliamua kuanzisha timu ya mpira ya mkoa wa Kagera.
Madhumuni ya kuanzisha timu hiyo ni kuuleta mkoa wa Kagera pamoja, kutoa ajira kwa vijana wenye vipaji vya michezo aidha kuutangaza mkoa nje na ndani ya nchi kuhusu fursa za uwekezaji zinazopatikana ndani ya mkoa wetu wa Kagera.
10 years ago
MichuziNAIBU WAZIRI CHARLES MWIJAGE AIUNGA MKONO TIMU YA RAS KAGERA FOOTBALL CLUB KWA KUICHANGIA MILIONI MOJA ILI ISHIRIKI LIGI DARAJA LA PILI NGAZI YA KANDA
10 years ago
Habarileo17 Apr
Msichana darasa la sita atoweka nyumbani
MWANAFUNZI wa darasa la sita shule ya msingi Uhuru, Manispaa ya Arusha, Angel Gerald Mlay (12), Mkazi wa Sokoni One, anatafutwa na wazazi wake, baada ya kutoweka nyumbani katika mazingira ya kutatanisha tangu Jumatatu wiki hii.
10 years ago
Habarileo19 Oct
Mwanafunzi wa darasa la sita abakwa na watu sita
MWANAFUNZI wa darasa la sita mwenye umri wa miaka 13 wa shule ya msingi ya Themi iliyopo jijini Arusha mkoani Arusha hali yake siyo nzuri baada ya kunajisiwa na watu sita.
10 years ago
BBCSwahili24 Jan
Man U sare na timu ya daraja la pili
10 years ago
BBCSwahili09 Oct
EPL yataka mechi zake kuchezwa ugenini
10 years ago
Mwananchi29 Dec
Mbao FC yakamata usukani Ligi Daraja la Pili
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10