DRFA yataja makundi ya timu zitakazoshiriki kucheza hatua ya 18 bora (hatua ya pili) ya ligi ya mkoa wa Dar es salaam
Chama cha soka mkoa wa Dar es salaam DRFA, kimetaja makundi ya timu zitakazoshiriki kucheza hatua ya 18 bora (hatua ya pili) ya ligi ya mkoa wa Dar es salaam,inayotarajia kuanza kutimua vumbi mapema mwezi huu.Katika kundi (A) limepangwa kuwa na timu za Simba U20,Red Coast,Sifa UTD,Shababi,Ukonga UTD,Zakhem,Ugimbi,Beirahotspurs na Pan Africa.Katika kundi (B) litakuwa na timu za Yanga U20,Stakishari,FFU,New Kunduchi,Sinza Stars,Changanyikeni,Tuamoyo,Sifapilitan na Azania Unga.
Ligi hiyo ya mkoa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi31 Jan
DRFA YATANGAZA TIMU ZILIZOINGIA 18 BORA LIGI YA MKOA WA DAR ES SALAAM
Timu hizo ni kutoka katika kundi (A) ambazo ni Red Coast,Yanga U20,Changanyikeni na Ukonga UTD,kundi (B) Simba U20,Stakishari,Zakhem na Beira Hotspurs,kundi (C) FFU,Sifa UTD,Pan Africa na Sinza Stars,huku kundi (D) likitoa timu za Shababi,New Kunduchi,Ugimbi na Azania Ngano.
Timu mbili zilizopata nafasi ya kuongezwa...
9 years ago
Dewji Blog11 Dec
Hatua ya Makundi UEFA yakamilika, hii ndiyo listi ya timu zilizofuzu hatua ya 16 bora
Na Rabi Hume, Modewjiblog
Hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Ulaya UEFA imekamilika usiku wa jumatano kwa kupatikana timu nyingine 8 ambazo zitaungana na timu 8 zilizofuzu jumanne kuingia katika hatua ya 16 bora.
Timu ambazo zimefuzu kuingia hatua ya 16 bora ni;
GROUP A;
Real Madrid
Paris Saint-German
GROUP B;
Wolfsburg
PSV Eindhoven
GROUP C;
Atletico Madrid
Benfica
GROUP D;
Manchester City
Juventus
GROUP E;
Barcelona
Roma
GROUP F;
Bayern Munich
Arsenal
GROUP G;
Chelsea
Dynamo Kyiv
GROUP H;
9 years ago
BBCSwahili16 Nov
Timu tano zasonga hatua ya makundi
10 years ago
Michuzi10 May
DRFA YACHEKELEA TIMU ZAKE KUMALIZA TATU BORA LIGI KUU
Kamati ya utendaji ya DRFA chini ya mwenyekiti wake Almas Kasongo,imesema ni jambo la kufurahisha kuona mkoa wa Dar es salaam unafanya vizuri kisoka na kuwa mfano wa kuigwa kwa mikoa mingine.
Timu hizo zimepongezwa kutokana matayarisho waliyoyafanya tangu kuanza kwa msimu,ambapo mabenchi ya...
10 years ago
Dewji Blog02 Oct
Timu ya Ikulu mpira wa miguu yatinga hatua ya pili SHIMIWI
Wachezaji wa timu ya Ikulu wakiwa pamoja kuomba dua kabla ya kuanza mchezo wao dhidi ya timu ya RAS Simiyu katika mashindano ya SHIMIWI leo uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.
Na Eleuteri Mangi-MAELEZO
Timu ya mpira wa miguu ya Ikulu imedhihirisha ubora wake katika mashindano ya Shirikisho la Michezo ya watumishi inayoshirikisha Wizara na Idara za Serikali (SHIMIWI) kwa kumaliza mechi nne katika kundi B bila kuruhusu nyavu zake kutikiswa.
Ubora huo unaifanya timu ya Ikulu kuwa ni timu...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-j-_cqw-T2tA/VZj5NkiD89I/AAAAAAAHnC8/ERbVjow04_U/s72-c/images.jpg)
Ligi Daraja la Pili kuanza Oktoba 7, kuchezwa makundi manne ya timu sita sita nyumbani na ugenini
![](http://4.bp.blogspot.com/-j-_cqw-T2tA/VZj5NkiD89I/AAAAAAAHnC8/ERbVjow04_U/s400/images.jpg)
9 years ago
Mwananchi26 Nov
DRFA yaukata uongozi mpya wa Tefa, TFF yataka hatua za kinidhamu zichukuliwe
10 years ago
Dewji Blog06 Oct
Timu ya Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo yatinga hatua ya timu 16 SHIMIWI
Wachezaji wa timu ya Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo wakiomba dua kabla ya mchezo wa hatua ya mtoano katika mashindano ya SHIMIWI uwanja wa Chuo Kikuu chaa Kilimo (SUA).
(Na Eleuteri Mangi – MAELEZO)
Timu ya mpira wa miguu ya Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo imeibuka kidedea kwa kuifunga timu ya Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwa mikwaju ya penati 4 – 3.
Ushindi huo wa timu ya Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo...