DRFA YACHEKELEA TIMU ZAKE KUMALIZA TATU BORA LIGI KUU
Chama cha soka mkoa wa Dar es salaam kimeonesha furaha yake baada ya timu tatu zilizo katika himaya yake, kumaliza katika nafasi za juu kwenye ligi kuu Tanzania bara iliyomalizika jumamosi mei 9,2015.
Kamati ya utendaji ya DRFA chini ya mwenyekiti wake Almas Kasongo,imesema ni jambo la kufurahisha kuona mkoa wa Dar es salaam unafanya vizuri kisoka na kuwa mfano wa kuigwa kwa mikoa mingine.
Timu hizo zimepongezwa kutokana matayarisho waliyoyafanya tangu kuanza kwa msimu,ambapo mabenchi ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi31 Jan
DRFA YATANGAZA TIMU ZILIZOINGIA 18 BORA LIGI YA MKOA WA DAR ES SALAAM
Timu hizo ni kutoka katika kundi (A) ambazo ni Red Coast,Yanga U20,Changanyikeni na Ukonga UTD,kundi (B) Simba U20,Stakishari,Zakhem na Beira Hotspurs,kundi (C) FFU,Sifa UTD,Pan Africa na Sinza Stars,huku kundi (D) likitoa timu za Shababi,New Kunduchi,Ugimbi na Azania Ngano.
Timu mbili zilizopata nafasi ya kuongezwa...
10 years ago
Michuzi06 Feb
DRFA yataja makundi ya timu zitakazoshiriki kucheza hatua ya 18 bora (hatua ya pili) ya ligi ya mkoa wa Dar es salaam
Ligi hiyo ya mkoa...
10 years ago
Vijimambo31 Jan
Tanga kuwa na timu tatu Ligi Kuu ijayo?
Timu za Tanga zilizopo Ligi Kuu kwa sasa ni Coastal Union na Mgambo JKT.IWAPO African Sports itafanikiwa kupanda Ligi Kuu Bara, basi Mkoa wa Tanga utakuwa na timu tatu kwenye ligi hiyo msimu ujao.Timu za Tanga zilizopo Ligi Kuu kwa sasa ni Coastal Union na Mgambo JKT.African Sport inaongoza Kundi A la Ligi Daraja la Kwanza ikiwa imecheza michezo 19 huku ikibakiza mitatu kufunga hesabu.Kanuni za Ligi hiyo zinasema kuwa timu mbili zitakazomaliza ligi hiyo...
10 years ago
GPLMAN UTD YATINGA TATU BORA LIGI KUU ENGLAND
9 years ago
MichuziWADHAMINI WAKUU WA LIGI KUU YA VODACOM TANZANIA BARA WAZITAKIA KILA LA HERI TIMU 16 ZINAZOSHIRIKI LIGI KUU 2015/2016 INAYOTIMUA VUMBI KESHO
Ferrao. NA MWANDISHI WETUWADHAMINI wakuu wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania, wamezitakia kila la heri timu zote 16 zinazoshiriki ligi hiyo inayotarajiwa kuanza Jumamosi hii kwenye viwanja mbalimbali nchini.
Akizungumza jijini Dar es Salaam leo, Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania,Ian Ferrao, alisema kuwa ni fahari kubwa kwao kuona msimu mpya wa ligi hiyo unaanza hivyo kutoa fursa kwa wapenzi wa soka nchini na kwingineko kupata...
11 years ago
Tanzania Daima02 Aug
Timu Ligi Kuu zimsikilize Mayanga
KOCHA Msadizi wa timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars, Salum Mayanga amezitaka timu zinazoshiriki Ligi Kuu Tanzania bara kutumia mji wa Tukuyu kama sehemu ya mazoezi ya kujiandaa na...
11 years ago
Mwananchi13 Mar
Timu tano zawania Ligi Kuu
10 years ago
Mwananchi13 Nov
Timu 14 Ligi Kuu, mambo muhimu 14