Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Msichana darasa la sita atoweka nyumbani

MWANAFUNZI wa darasa la sita shule ya msingi Uhuru, Manispaa ya Arusha, Angel Gerald Mlay (12), Mkazi wa Sokoni One, anatafutwa na wazazi wake, baada ya kutoweka nyumbani katika mazingira ya kutatanisha tangu Jumatatu wiki hii.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Tanzania Daima

Mwanafunzi wa darasa la tano atoweka nyumbani

MTOTO, Valentina Ngoya (14), Mkazi wa Songambele, Mererani mkoani Manyara anatafutwa na wazazi wake baada ya kuondoka nyumbani kwao tangu Novemba 3 mwaka huu akienda shule. Akizungumza na Tanzania Daima...

 

11 years ago

Habarileo

Mwanafunzi wa darasa la sita abakwa na watu sita

MWANAFUNZI wa darasa la sita mwenye umri wa miaka 13 wa shule ya msingi ya Themi iliyopo jijini Arusha mkoani Arusha hali yake siyo nzuri baada ya kunajisiwa na watu sita.

 

10 years ago

Michuzi

Ligi Daraja la Pili kuanza Oktoba 7, kuchezwa makundi manne ya timu sita sita nyumbani na ugenini

Kwa kuzingatia marekebisho ya Kanuni ya Ligi Daraja la Pili (SDL) yaliyofanywa na Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) hivi karibuni, SDL kwa msimu wa 2015/2016 itachezwa katika makundi manne ya timu sita sita kwa mtindo wa nyumbani na ugenini.
Timu itakayoongoza kundi itacheza Ligi Daraja la Kwanza (FDL) msimu wa 2016/2017 wakati ya mwisho katika kila kundi itarudi kucheza Ligi ya Mkoa wake kwa msimu wa 2016/2017. Makundi ya SDL ni kama ifuatavyo; Kundi A ni...

 

9 years ago

Michuzi

MZEE NJEMBA ATOWEKA NYUMBANI KWAKE MAGOMENI MAKUTI, NDUGU WANAMTAFUTA

Ndugu na jamaa wanatarifiwa kwamba Bw. Hemed Mzee Ibrahim "Njemba" (pichani)  ametoweka nyumbani kwake Magomeni Makuti mtaa wa Mchinga namba 22 jijini Dar es salam toka siku ya Alhamisi tarehe 24/12/2015. Alionekana mara ya mwisho kwenye msikiti wa Magomeni Makuti muda wa alasiri alipokwenda kuswali, akiwa kavaa balaghashia (kama hiyo pichani), shati la light purple, suruali ya bluu na kandambili za bluu. Baada ya hapo hakurudi nyumbani kwake na hadi sasa hajulikani alipo. Mzee Njemba...

 

10 years ago

Michuzi

MSAADA TUTANI: DADA WA NYUMBANI ATOWEKA NA MTOTO LOVENESS COLETHA JULLLU, FAMILIA YAMSAKA

Picha ya hivi karibuni ya mtoto Loveness C. Jullu
Familia ya Jullu ya Wazo Hill kwa Msabaha jijini Dar es Salaam inaomba msaada kutoka kwa raia wema ili kufanikisha kumpata mtoto wao Loveness Coletha Jullu aliyepotea nyumbani na msichana aliyekuwa akimlea na kusaidia shughuli za nyumbani.Wawili hao hawajaonekana tangu juzi Jumanne. Taarifa zimefikishwa katika kituo cha polisi na RPC wa mkoa wa kipolisi wa Kinondoni amekiri kupata taarifa za tukio hilo.Ikiwa una taarifa zozote zitakazosaidia...

 

11 years ago

Michuzi

news alert: binti wa miaka 12 atoweka nyumbani kwao temeke, dar es salam, wazazi wanamtafuta


Jina: Mwasiti Abdulrazack Kakurwa. 
Umri miaka 12. Rangi ya mwili: Mweusi. 

Mara ya mwisho alivaa T-shirt iliyoandikwa Mnazi Mmoja primary School, na alijifunika mtandio mweusi. Ametoweka jana jioni maeneo ya mtaa wa Berege, Tandika, Temeke, Dar es salaam.Yeyote atayemuina ama mwenye taarifa zake tunaomba taarifa zipelekwe katika kituo chochote cha polisi ama Kituo cha police tandika, Temeke,  na police Chang'ombe, Dar es salaam. Ama kwa Mzazi Abdurazack Kakurwa, namba ya simu 0713 835699, au...

 

11 years ago

Mwananchi

Mwanafunzi wa darasa la sita aozeshwa

Mwanafunzi wa darasa la sita katika Shule ya Msingi Kigezi iliyoko Chanika, wilayani Ilala, Dar es Salaam (jina linahifadhiwa), ameolewa na mkazi wa Mbondole, Halfa Ally (54) ambaye humfungia ndani ili wakazi wa eneo hilo wasimuone.

 

11 years ago

Michuzi

MWANAFUNZI DARASA LA NNE AKATWA MAPANGA NA MFANYAKAZI WA NYUMBANI

  Mama mzazi akiwa na Mwanafunzi wa darasa la nne wa shule ya msingi Motomoto kata ya Vumilia wilayani Urambo aliyekatwakatwa mapanga na mfanyakazi wa nyumbani kwa madai ya kunyimwa hela na baba mzazi wa mtoto hu ========  =======  ======= Na Allan Ntana, Urambo
MTOTO Perezi Christian (12) ambaye ni mwanafunzi wa darasa la nne
katika shule ya msingi Motomoto iliyoko katika kata ya Vumilia wilaya
ya Urambo mkoani Tabora amekatwakatwa  mapanga mikononi na miguuni na   mfanyakazi wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Nusu ya wanafunzi darasa la saba hawawezi Kiingereza cha darasa la pili

>Asilimia 24 ya wanafunzi wa darasa la saba nchini hawawezi kusoma hadithi rahisi iliyoandikwa kwa lugha ya Kiswahili kwa ajili ya wanafunzi wa darasa la pili ambapo asilimia 50 ya wanafunzi hao, hawawezi kusoma hadithi ya Kiingereza ya darasa la pili.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani