Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MSAADA TUTANI: DADA WA NYUMBANI ATOWEKA NA MTOTO LOVENESS COLETHA JULLLU, FAMILIA YAMSAKA

Picha ya hivi karibuni ya mtoto Loveness C. Jullu
Familia ya Jullu ya Wazo Hill kwa Msabaha jijini Dar es Salaam inaomba msaada kutoka kwa raia wema ili kufanikisha kumpata mtoto wao Loveness Coletha Jullu aliyepotea nyumbani na msichana aliyekuwa akimlea na kusaidia shughuli za nyumbani.Wawili hao hawajaonekana tangu juzi Jumanne. Taarifa zimefikishwa katika kituo cha polisi na RPC wa mkoa wa kipolisi wa Kinondoni amekiri kupata taarifa za tukio hilo.Ikiwa una taarifa zozote zitakazosaidia...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Msaada tutani: Anko wetu amepotea, familia yamtafuta

Kaka za masiku,  pole na kazi za kila siku. Kuna anko wetu amepotea. Jina lake ni Amir Hussein Binyaga. Yeye  ni mkaazi wa Kiluvya jijini Dar na amewahi kuishi Tanga  Majani Mapana. Ana umri wa miaka 56 na alipotea tangu tarehe 15/05/2014 saa 12 asubuhi. Hadi leo familia bado inamtafuta. Taarifa zipo kituo cha polisi Kibaha, Maili Moja. Tusaidie iweke kwnye blog yetu kuu. Taarifa zozote tutapokea kupitia namba 
0754322317 
0754273711,
0653768329,
0718260177. 

 

11 years ago

Michuzi

msaada tutani: dada uliyepoteza simu JKT unatafutwa upewe simu yako

Nilimsaidia usafiri dada mmoja,siku ya ijumaa wiki jana, Dada huyo alikuwa anatokea maeneo ya Tuangoma kuelekea maeneo ya Keko.Nilimshusha JKT Mgulani. Bahati mbaya alisahau simu yake kwenye gari. Simu hiyo iliishiwa chaji muda mchache baada ya kuisahau kwenye gari langu. Mie nikaichukua na kuiweka  kwenye chaji kama masaa mawili hivi.  Nilipoiwasha nilikuta keshafunga kadi yake na sijaweza hata kutafuta namba za watu wanaomjua ili niwasiliane naye. Pia hata jina sikuwahi...

 

10 years ago

Michuzi

MSAADA TUTANI ILI KUOKOA UHAI WA MTOTO HUYU


Mtoto  Zabibu Salum Abdalah ---------------Na Steven Augustino wa demasho.com, Tunduru.MZAZI wa mtoto wa miezi sita Zabibu Salum Abdalah ,ambaye kichwa chake kina kuwa kikubwa kila siku tangu azaliwe ameomba msaada wa fedha ili kufanikisha kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Muhimbili.
Mama mzazi wa Mtoto Bi. Zainabu Mustafa Rajab,alisema kuwa Binti yake huyo alizaliwa April 24 mwaka huu katika hospitali ya Serikali ya Wilaya ya Tunduru,na kwambatatizo hilo la kuanza kukua kwa...

 

11 years ago

Michuzi

Msaada tutani: mtoto aibwa changanyikeni leo, ataemuona atoe taarifa polisi

MTOTO KAIBIWA CHANGANYIKENI LEO ANAITWA MARLYN.
ATAKAEMUONA NNAOMBA ATUSAIDIE KUTOA TAARIFA KITUO CHOCHOTE CHA POLICE. AMEIBIWA NA MKAKA KANYOA PANK. 
Please upatapo ujumbe huu mfowardie na mwenzako

 

10 years ago

Michuzi

MSAADA TUTANI: MTOTO NAELIJWA LUTHER KIMBWEREZA AMEPOTEA NA ANATAFUTWA NA WAZAZI WAKE

BINTI YETU KWENYE PICHA KWA JINA : NAELIJWA LUTHER KIMBWEREZA (11yrs) wa MOMELA MAJI YA CHAI-ARUSHA. ametoweka nyumbani tangu Jumapili 02 Agosti 2015. Alikuwa amevaa shati jeupe na suriali. Tafadhali ukimuona wasiliana nasiTel. 0758335751 /0763066520/0758423766

 

11 years ago

Michuzi

TAARIFA YA MSIBA WA DADA YAKE LOVENESS MAMUYA


Watanzania  tujumuike na dada yetu Loveness Mamuya, na kuhudhuria msiba wa  kifo cha  dada yake mpendwa MERCY MAMUYA MTUI kilichotokea leo alfajiri Tanzania.

Kwa wakazi wa DMV na vitongoji vyake msiba upo nyumbani kwa Bi Loveness Mamuya.

 kama ilivyo mila na desturi yetu tunaomba tumfariji katika kipindi hiki kigumu cha majonzi.

ADDRESS:  1005 Meandaring way Odeton MD 21113

NAMBA YA SIMU: LOVENESS MAMUYA:240-4230437

       AZIZI: 301-768-9195  


Mwenyezi mungu amlaze marehemu mahala pema...

 

10 years ago

Michuzi

Familia ya mtoto aliyegongwa na fuso na kukatwa miguu anaomba msaada wa kisheria

Naibu Kamanda wa UVCCM ,Innocent Melleck akiwa na mama mzazi wa mtoto Felista ,Beatrice Shirima mara baada ya kukabidhi kiti cha walemavu cha magurudumu kwa ajili ya kusaidia kutoka eneo moja hadi jingine.Naibu kamanda wa UVCCM wilaya ya Moshi vijijini ,Innocent Melleck akikabidhi Pempers kwa mama wa mtoto Felista ,Beatrice Shirima kwa ajili ya kumsaidia mtoto huyo aliyepata ulemavu wa miguu miwli baada ya kugongwa na gari aina ya Fuso.(Na Dixon Busagaga).Naibu kamanda wa UVCCM wilaya ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani