MSAADA TUTANI ILI KUOKOA UHAI WA MTOTO HUYU
Mtoto Zabibu Salum Abdalah ---------------Na Steven Augustino wa demasho.com, Tunduru.MZAZI wa mtoto wa miezi sita Zabibu Salum Abdalah ,ambaye kichwa chake kina kuwa kikubwa kila siku tangu azaliwe ameomba msaada wa fedha ili kufanikisha kupatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Muhimbili.
Mama mzazi wa Mtoto Bi. Zainabu Mustafa Rajab,alisema kuwa Binti yake huyo alizaliwa April 24 mwaka huu katika hospitali ya Serikali ya Wilaya ya Tunduru,na kwambatatizo hilo la kuanza kukua kwa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi
MSAADA TUTANI: Shilingi MILIONI 50 zinahitajika Kuokoa Maisha ya Kijana Huyu


11 years ago
MichuziMSAADA WAKO UNAHITAJIKA KUOKOA MAISHA YA MTOTO HUYU
---------------------- Paulina nyoni mkazi wa kijiji cha Hanga wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma anaomba msaada kwa yeyote atakaye guswa na tatizo la mwanaye aitwaye Fatuma Msuya ili aweze kupata matibabu katika hospitali ya KCMC moshi.
Paulina ni mama mwenye watoto wa tano anayejishugulisha na kilimo , Mume wake aitwaye Jafari Msuya amemtelekeza baada ya kujifungua mtoto mwenye tatizo hili...
10 years ago
Vijimambo
MSAADA KWA HILI: SHILINGI MILIONI 50 ZINAHITAJIKA KUOKOA MAISHA YA KIJANA HUYU

Na Mwandishi Wetu
Kijana Abel mwenye umri wa miaka 23 mkazi wa Ukonga Mombasa jijini Dar es Salaam anakabiliwa na maradhi ya macho na mishipa ya fahamu hali iliyosababisha apoteze uwezo wa kuona, na hivyo...
10 years ago
Michuzi
MSAADA TUTANI: MTOTO NAELIJWA LUTHER KIMBWEREZA AMEPOTEA NA ANATAFUTWA NA WAZAZI WAKE

11 years ago
Michuzi
Msaada tutani: mtoto aibwa changanyikeni leo, ataemuona atoe taarifa polisi

ATAKAEMUONA NNAOMBA ATUSAIDIE KUTOA TAARIFA KITUO CHOCHOTE CHA POLICE. AMEIBIWA NA MKAKA KANYOA PANK.
Please upatapo ujumbe huu mfowardie na mwenzako
10 years ago
Michuzi
MSAADA TUTANI: DADA WA NYUMBANI ATOWEKA NA MTOTO LOVENESS COLETHA JULLLU, FAMILIA YAMSAKA

Familia ya Jullu ya Wazo Hill kwa Msabaha jijini Dar es Salaam inaomba msaada kutoka kwa raia wema ili kufanikisha kumpata mtoto wao Loveness Coletha Jullu aliyepotea nyumbani na msichana aliyekuwa akimlea na kusaidia shughuli za nyumbani.Wawili hao hawajaonekana tangu juzi Jumanne. Taarifa zimefikishwa katika kituo cha polisi na RPC wa mkoa wa kipolisi wa Kinondoni amekiri kupata taarifa za tukio hilo.Ikiwa una taarifa zozote zitakazosaidia...
11 years ago
MichuziMSAADA WA HARAKA UNAHITAJIKA KUOKOA MAISHA YA MTOTO ADOLOTEA NJAVIGE
10 years ago
Dewji Blog02 Nov
TANGAZO: Milioni 30 zinahitajika kuokoa maisha ya Mtoto Careen kupata msaada wa kutibiwa India

Mtoto Careen Modest Kassuw pichani, ana umri wa mwaka mmoja, amezaliwa ana tatizo la Moyo ukiwa na matundu mawili na valvu zake nyembamba zimebana kiasi hivyo analazimika kusafirishwa kwenda India kwa matibabu.
Wazazi wa mtoto huyo wanaomba msaada wako wewe Mtanzania kwa atakayeguswa ili wafanikishe gharama za matibabu ya mtoto Careen ambayo ni Shilingi Milioni 30 zinahitajika ili kuokoa maisha yake.
Ewe Mtanzania, ewe mzazi tunaomba mchango wako wa hali na mali, kwa atakayeguswa...
10 years ago
Dewji Blog18 Feb
Mtoto Sophia anaomba msaada ili aweze kupata matibabu
Sophia Abdul (14)
Na Amon Mtega – Songea
MTOTO Sophia Abdul (14) anayesoma shule ya msingi Lilahi darasa la tano iliyopo kata ya Mhukulu wilaya ya Songea vijijini mkoani Ruvuma amekumbwa na ugonjwa usiofahamika ambao umejitokeza kwenye jicho lake la kulia lililo vimba na kutokezea nje hali inayomletea maumivu makali na kushindwa kwenda shule huku akiomba msaada kwa wasamaria wema.
Akiongea na waandishi wa habari katika ofisi za elimu za wilaya hiyo mama wa mtoto huyo Joyce Nyoni...