MSAADA TUTANI: Shilingi MILIONI 50 zinahitajika Kuokoa Maisha ya Kijana Huyu

Kijana ABEL MACHANG'A, mwenye umri wa miaka 23 mkazi wa Ukonga Mombasa Jijini Dar es Salaam, ambae anasumbuliwa na maradhi ya macho, akizungumza na waandishi wa habari ili kuomba msaada wa kupelekwa nje ya nchi kwa ajili ya kupatiwa matibabu.
Kijana ABEL MACHANG'A, mwenye umri wa miaka 23 mkazi wa Ukonga Mombasa Jijini Dar es Salaam, ambae anasumbuliwa na maradhi ya macho, akiwa amejipumzisha nyumbani kwao baada ya kuzungumza na waandishi wa habari ili kuomba msaada wa kupelekwa nje...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
MSAADA KWA HILI: SHILINGI MILIONI 50 ZINAHITAJIKA KUOKOA MAISHA YA KIJANA HUYU

Na Mwandishi Wetu
Kijana Abel mwenye umri wa miaka 23 mkazi wa Ukonga Mombasa jijini Dar es Salaam anakabiliwa na maradhi ya macho na mishipa ya fahamu hali iliyosababisha apoteze uwezo wa kuona, na hivyo...
10 years ago
Dewji Blog02 Nov
TANGAZO: Milioni 30 zinahitajika kuokoa maisha ya Mtoto Careen kupata msaada wa kutibiwa India

Mtoto Careen Modest Kassuw pichani, ana umri wa mwaka mmoja, amezaliwa ana tatizo la Moyo ukiwa na matundu mawili na valvu zake nyembamba zimebana kiasi hivyo analazimika kusafirishwa kwenda India kwa matibabu.
Wazazi wa mtoto huyo wanaomba msaada wako wewe Mtanzania kwa atakayeguswa ili wafanikishe gharama za matibabu ya mtoto Careen ambayo ni Shilingi Milioni 30 zinahitajika ili kuokoa maisha yake.
Ewe Mtanzania, ewe mzazi tunaomba mchango wako wa hali na mali, kwa atakayeguswa...
11 years ago
MichuziMSAADA TUTANI ILI KUOKOA UHAI WA MTOTO HUYU
Mama mzazi wa Mtoto Bi. Zainabu Mustafa Rajab,alisema kuwa Binti yake huyo alizaliwa April 24 mwaka huu katika hospitali ya Serikali ya Wilaya ya Tunduru,na kwambatatizo hilo la kuanza kukua kwa...
11 years ago
MichuziMSAADA WAKO UNAHITAJIKA KUOKOA MAISHA YA MTOTO HUYU
---------------------- Paulina nyoni mkazi wa kijiji cha Hanga wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma anaomba msaada kwa yeyote atakaye guswa na tatizo la mwanaye aitwaye Fatuma Msuya ili aweze kupata matibabu katika hospitali ya KCMC moshi.
Paulina ni mama mwenye watoto wa tano anayejishugulisha na kilimo , Mume wake aitwaye Jafari Msuya amemtelekeza baada ya kujifungua mtoto mwenye tatizo hili...
11 years ago
MichuziMSAADA WA HARAKA UNAHITAJIKA KUOKOA MAISHA YA MTOTO ADOLOTEA NJAVIGE
9 years ago
Michuzi
Muhimbili yapatiwa msaada wa vifaa vya kuokoa maisha ya watoto

Vifaa hivyo vina thamani ya Dola za Kimarekani Laki moja sawa na zaidi Sh milioni 2 vimetolewa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF),kwa lengo la kupunguza vifo vya watoto walio chini ya umri wa miaka mitano.
Baadhi ya vifaa vilivyotolewa ni Ventilator, medical, adult –child ,w/access pamoja na Warmer system , newborn,...
5 years ago
Michuzi
GEOFREY JULIUS MCHANGA ANAOMBA MSAADA WAKO WA MATIBABU YA MOYO, MAPAFU NA TEZI YA SHINGO KUOKOA MAISHA YAKE

KILA Binadamu anapitia mapito aliyoandikiwa na muumba wa Dunia. Kila pito lina njia yake ya kuingia na kutokea.
Tunaamini mpendwa wetu Bwana. GEOFREY JULIUS MCHANGA (Pichani) yupo katika mapito, hakika kwa pamoja tukiungana tutaweza kumsaidia kuwa katika hali yake kama awali.
Kwa sasa msaada wa haraka unahitaji zaidi kuokoa maisha yake akitakiwa kwenda Dar es Salaam (Muhimbili).
Anatakiwa kufanyiwa vipimo zaidi na upasuaji wa matatizo yake yanayomkabili ya maradhi ya...
11 years ago
Michuzi
UDA yatoa msaada wa shilingi milioni 15 kwa kanisa la Mt. Rita


11 years ago
MichuziTANZANITE ONE WAKABIDHI MSAADA WA SHILINGI MILIONI 42 KWENYE SHULE YA MSINGI NEW VISION