Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Familia ya mtoto aliyegongwa na fuso na kukatwa miguu anaomba msaada wa kisheria

Naibu Kamanda wa UVCCM ,Innocent Melleck akiwa na mama mzazi wa mtoto Felista ,Beatrice Shirima mara baada ya kukabidhi kiti cha walemavu cha magurudumu kwa ajili ya kusaidia kutoka eneo moja hadi jingine.Naibu kamanda wa UVCCM wilaya ya Moshi vijijini ,Innocent Melleck akikabidhi Pempers kwa mama wa mtoto Felista ,Beatrice Shirima kwa ajili ya kumsaidia mtoto huyo aliyepata ulemavu wa miguu miwli baada ya kugongwa na gari aina ya Fuso.(Na Dixon Busagaga).Naibu kamanda wa UVCCM wilaya ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Mtoto Sophia anaomba msaada ili aweze kupata matibabu

unnamed

Sophia Abdul (14)

 Na Amon Mtega –  Songea

MTOTO Sophia Abdul (14) anayesoma shule ya msingi Lilahi darasa la tano iliyopo kata ya Mhukulu wilaya ya Songea vijijini mkoani Ruvuma amekumbwa na ugonjwa usiofahamika ambao umejitokeza kwenye  jicho lake  la kulia lililo vimba na kutokezea nje hali inayomletea maumivu makali na kushindwa kwenda shule huku akiomba msaada kwa wasamaria wema.

 Akiongea na waandishi wa habari katika ofisi za elimu za wilaya hiyo mama wa mtoto huyo Joyce Nyoni...

 

10 years ago

Michuzi

MTOTO SOPHIA ABDUL ANAOMBA MSAADA WAKO ILI AWEZE KUPATA MATIBABU

 Na Amon Mtega -  Songea
MTOTO Sophia Abdul (14) anayesoma shule ya msingi Lilahi darasa la tano iliyopo kata ya Mhukulu wilaya ya Songea vijijini mkoani Ruvuma amekumbwa na ugonjwa usiofahamika ambao umejitokeza kwenye  jicho lake  la kulia lililo vimba na kutokezea nje hali inayomletea maumivu makali na kushindwa kwenda shule huku akiomba msaada kwa wasamalia wema.
 Akiongea na waandishi wa habari katika ofisi za elimu za wilaya hiyo mama wa mtoto huyo Joyce Nyoni alisema kuwa mwanae...

 

9 years ago

Michuzi

MSAADA TUTANI: DADA WA NYUMBANI ATOWEKA NA MTOTO LOVENESS COLETHA JULLLU, FAMILIA YAMSAKA

Picha ya hivi karibuni ya mtoto Loveness C. Jullu
Familia ya Jullu ya Wazo Hill kwa Msabaha jijini Dar es Salaam inaomba msaada kutoka kwa raia wema ili kufanikisha kumpata mtoto wao Loveness Coletha Jullu aliyepotea nyumbani na msichana aliyekuwa akimlea na kusaidia shughuli za nyumbani.Wawili hao hawajaonekana tangu juzi Jumanne. Taarifa zimefikishwa katika kituo cha polisi na RPC wa mkoa wa kipolisi wa Kinondoni amekiri kupata taarifa za tukio hilo.Ikiwa una taarifa zozote zitakazosaidia...

 

11 years ago

Mwananchi

Juma Ali Khamis: Nimetelekezwa baada ya kukatwa miguu vitani

Mwanajeshi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), Juma Ali Khamis aliyekatwa miguu katika vita vilivyolenga kumwondoa Idd Amini aliyeivamia Tanzania mwaka 1978, analalamikia maisha duni, huku akisema Serikali zote mbili yaani ya Tanzania na Zanzibar ni kama zimemtelekeza.

 

9 years ago

StarTV

Peter Samson anaomba msaada 0754 57 26 59

Mkazi wa Mecco jijini Mwanza Peter Samson Majeuri anaomba msaada wa matibabu ya mkono baada ya mfupa wa ndani kuvunjika na kupoteza mfumo wa mawasiliano kati ya mkono na ubongo kutokana na ajali ya gari.

Peter anasumbuliwa na tatizo hilo kwa takriban miaka 16 hali iliyosababisha mkono wake wa kulia kuwekewa chuma.

Tatizo hilo limesababisha maisha yake kuwa magumu baada ya mke wake kumuona kama mzigo na kumkimbia akimwachia watoto sita.

Baba huyu mwenye familia ya  watoto sita amekuwa...

 

10 years ago

Vijimambo

Kiijana Suleiman Othuman anaomba msaada wenu

Pichani kiijana Suleiman Othuman akiwa amelazwa hospitali ya Mnazi Mmoja wodi ya chini upande wa dirisha la dawa kitanda no 12. Assalam Aleikum ndugu zangu mnaotusoma kwenye blog hii kila siku, msaada unahitajika kwa kijana Suleiman Othman Ally mwenye umri wa miaka 19, mkaazi wa Zanzibar, amepatwa na tatizo la uvimbe mkubwa kwenye mgongo wake baada ya kupatwa na ajali  kugongwa na Vespa kwa muda wa siku nyingi tu, walimpeleka Hospitali ya Mnazi mmoja ambapo ilishindikana kupata matibabu...

 

9 years ago

Habarileo

5 wa familia moja wafa kwa kukatwa mapanga

WATU watano wa familia moja akiwemo mtoto wa miezi tisa, wameuawa kwa kukatwa mapanga kutokana na ugomvi unaodaiwa kua wa mgogoro wa ardhi katika kijiji cha Kisesa katika Kata ya Bugarama, wilayani Maswa, Mkoani Simiyu.

 

11 years ago

GPL

MZEE ALIYEPOOZA ANAOMBA MSAADA KWA AJILI YA TIBA

Mzee Nassor akiwa nyumbani kwake Magomeni-Usalama jijini Dar es Salaam. Mzee Nassor akiwa amesimama. Na Gabriel Ng’osha/GPL MZEE Nassor mkazi wa Magomeni-Usalama jijini Dar es Salaam anaomba msaada kutoka kwa wananchi ili akatibiwe ugonjwa wa kupooza  ambao umemfanya atembee na kuzungumza kwa shida ikiwa ni pamoja na kuathiri mkono na mdomo wake. Akizungumza na mtandao huu, mzee Nassor alisema matatizo hayo yalianza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani