MZEE ALIYEPOOZA ANAOMBA MSAADA KWA AJILI YA TIBA
Mzee Nassor akiwa nyumbani kwake Magomeni-Usalama jijini Dar es Salaam. Mzee Nassor akiwa amesimama. Na Gabriel Ng’osha/GPL MZEE Nassor mkazi wa Magomeni-Usalama jijini Dar es Salaam anaomba msaada kutoka kwa wananchi ili akatibiwe ugonjwa wa kupooza ambao umemfanya atembee na kuzungumza kwa shida ikiwa ni pamoja na kuathiri mkono na mdomo wake. Akizungumza na mtandao huu, mzee Nassor alisema matatizo hayo yalianza...
GPL
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi
DC KATAMBI AGAWA VIFAA TIBA 3,600 KWA AJILI YA KUPAMBANA NA CORONA
Charles James, Globu ya Jamii
KATIKA kupambana na maambukizi ya virusi vinavyosababisha ugonjwa wa Corona, Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Patrobas Katambi amegawa vifaa kinga vya kujikinga na ugonjwa huo vipatavyo 3,600.
DC Katambi amegawa vifaa hivyo ambavyo ni vitakasa mikono 'sanitizer' kwa taasisi mbalimbali za umma, binafsi, vyama vya siasa na taasisi za Dini lengo likiwa ni kudhibiti maambukizi ya ugonjwa huo ndani ya Wilaya yake.
Akizungumza wakati akigawa vifaa hivyo, DC Katambi amesema...
10 years ago
StarTV01 Oct
Peter Samson anaomba msaada 0754 57 26 59
Mkazi wa Mecco jijini Mwanza Peter Samson Majeuri anaomba msaada wa matibabu ya mkono baada ya mfupa wa ndani kuvunjika na kupoteza mfumo wa mawasiliano kati ya mkono na ubongo kutokana na ajali ya gari.
Peter anasumbuliwa na tatizo hilo kwa takriban miaka 16 hali iliyosababisha mkono wake wa kulia kuwekewa chuma.
Tatizo hilo limesababisha maisha yake kuwa magumu baada ya mke wake kumuona kama mzigo na kumkimbia akimwachia watoto sita.
Baba huyu mwenye familia ya watoto sita amekuwa...
10 years ago
Vijimambo
Kiijana Suleiman Othuman anaomba msaada wenu


10 years ago
Michuzi
Kijana Suleiman Othuman wa Zanzibar anaomba msaada wenu


Assalam Aleikum ndugu zangu mnaotusoma kwenye blog hii kila siku, msaada unahitajika kwa kijana Suleiman Othman Ally mwenye umri wa miaka 19, mkaazi wa Zanzibar, amepatwa na tatizo la uvimbe mkubwa kwenye mgongo wake baada ya kupatwa na ajali kugongwa na Vespa kwa muda wa siku nyingi tu.Walimpeleka Hospitali ya Mnazi mmoja ambapo ilishindikana kupata matibabu...
5 years ago
CCM BlogSERIKALI: DAWA YA CORONA AMBAYO MADAGASCAR IMETOA MSAADA KWA TANZANIA NI KWA AJILI YA UTAFITI
Dar es Salaam, Tanzania
Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, imesema dawa ambayo nchi ya Madagascar imeitoa kama msaada wa Serikali ya Tanzania ni kwa ajili ya utafiti kwanza.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof....
11 years ago
MichuziBINTI SELITIAN NATA,MWENYE UVIMBE ANAOMBA MSAADA WA MATIBABU
10 years ago
Dewji Blog18 Feb
Mtoto Sophia anaomba msaada ili aweze kupata matibabu
Sophia Abdul (14)
Na Amon Mtega – Songea
MTOTO Sophia Abdul (14) anayesoma shule ya msingi Lilahi darasa la tano iliyopo kata ya Mhukulu wilaya ya Songea vijijini mkoani Ruvuma amekumbwa na ugonjwa usiofahamika ambao umejitokeza kwenye jicho lake la kulia lililo vimba na kutokezea nje hali inayomletea maumivu makali na kushindwa kwenda shule huku akiomba msaada kwa wasamaria wema.
Akiongea na waandishi wa habari katika ofisi za elimu za wilaya hiyo mama wa mtoto huyo Joyce Nyoni...
10 years ago
GPL
KIJANA SULEIMAN OTHUMAN KUTOKA ZANZIBAR ANAOMBA MSAADA WENU
11 years ago
Dewji Blog18 Apr
Tigo yakabidhi msaada kwa Shirika la Red Cross Tanzania kwa ajili ya waathirika wa mafuriko Dumila na Dar es Salaam
Meneja wa Uwajibikaji kwa Jamii kutoka Tigo Bi. Woinde Shisael (kulia) akimkambidhi mfano wa hundi cha kiasi cha Tsh 20,700,000 Kaimu Katibu Mkuu wa Shirika la Red Cross nchini Bi. Bertha Mlay mapema leo katika hafla fupi ya makabidhiano yaliyofanyika makao makuu ya Red Cross, jijini Dar es Salaam. Kiasi hicho kinalenga kuwapatia waathirika wa mafuriko wa Dumila – Morogoro na Dar es Salaam huduma za malazi, maji, chakula, mablanketi, neti za kuzuia mbu na magodoro.
Kaimu Katibu Mkuu wa...