BINTI SELITIAN NATA,MWENYE UVIMBE ANAOMBA MSAADA WA MATIBABU
Na John Gagarini, Bagamoyo.
MSICHANA Selitian Nata (25) mkazi wa Kijiji cha Kisogo kata ya Vigwaza Wilayani Bagamoyo mkoani Pwani yuko kwenye hali mbaya ya kiafya baada ya kuvimba mguu na kuwa kwenye maumivu makali.Ugonjwa huo uvimbe huo ulianza kama kipele kidogo miaka zaidi ya 10 iliyopita lakini kadiri siku zilivyokuwa zikienda ndipo uvimbe huo ulizidi kuongezeka na kufikia usawa wa mbavu.
Akizungumza na waandishiw ahabari ambao walimtembelea nyumbani kwao alisema kuwa uvimbe...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog18 Feb
Mtoto Sophia anaomba msaada ili aweze kupata matibabu
Sophia Abdul (14)
Na Amon Mtega – Songea
MTOTO Sophia Abdul (14) anayesoma shule ya msingi Lilahi darasa la tano iliyopo kata ya Mhukulu wilaya ya Songea vijijini mkoani Ruvuma amekumbwa na ugonjwa usiofahamika ambao umejitokeza kwenye jicho lake la kulia lililo vimba na kutokezea nje hali inayomletea maumivu makali na kushindwa kwenda shule huku akiomba msaada kwa wasamaria wema.
Akiongea na waandishi wa habari katika ofisi za elimu za wilaya hiyo mama wa mtoto huyo Joyce Nyoni...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-uDECdtWnIpc/VOQpHZ3OPzI/AAAAAAAAHlE/lheEguAGsxo/s72-c/MTOTO%2BSOPHIA%2BABDUL.jpg)
MTOTO SOPHIA ABDUL ANAOMBA MSAADA WAKO ILI AWEZE KUPATA MATIBABU
MTOTO Sophia Abdul (14) anayesoma shule ya msingi Lilahi darasa la tano iliyopo kata ya Mhukulu wilaya ya Songea vijijini mkoani Ruvuma amekumbwa na ugonjwa usiofahamika ambao umejitokeza kwenye jicho lake la kulia lililo vimba na kutokezea nje hali inayomletea maumivu makali na kushindwa kwenda shule huku akiomba msaada kwa wasamalia wema.
![](http://3.bp.blogspot.com/-uDECdtWnIpc/VOQpHZ3OPzI/AAAAAAAAHlE/lheEguAGsxo/s1600/MTOTO%2BSOPHIA%2BABDUL.jpg)
Akiongea na waandishi wa habari katika ofisi za elimu za wilaya hiyo mama wa mtoto huyo Joyce Nyoni alisema kuwa mwanae...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-3K9uvZxk6oU/XqvwY25P-TI/AAAAAAALowA/DlARQbJem8sPwUG94jGZj_yedwgSDz2aQCLcBGAsYHQ/s72-c/e596a04f-eb62-4068-b38c-ee46abdf4d15.jpg)
GEOFREY JULIUS MCHANGA ANAOMBA MSAADA WAKO WA MATIBABU YA MOYO, MAPAFU NA TEZI YA SHINGO KUOKOA MAISHA YAKE
![](https://1.bp.blogspot.com/-3K9uvZxk6oU/XqvwY25P-TI/AAAAAAALowA/DlARQbJem8sPwUG94jGZj_yedwgSDz2aQCLcBGAsYHQ/s400/e596a04f-eb62-4068-b38c-ee46abdf4d15.jpg)
KILA Binadamu anapitia mapito aliyoandikiwa na muumba wa Dunia. Kila pito lina njia yake ya kuingia na kutokea.
Tunaamini mpendwa wetu Bwana. GEOFREY JULIUS MCHANGA (Pichani) yupo katika mapito, hakika kwa pamoja tukiungana tutaweza kumsaidia kuwa katika hali yake kama awali.
Kwa sasa msaada wa haraka unahitaji zaidi kuokoa maisha yake akitakiwa kwenda Dar es Salaam (Muhimbili).
Anatakiwa kufanyiwa vipimo zaidi na upasuaji wa matatizo yake yanayomkabili ya maradhi ya...
10 years ago
MichuziTAASISI YA SITTI TANZANIA FAOUNDATION YATOA MSAADA KWA MTOTO MWENYE UVIMBE MGONGONI
11 years ago
GPLMTOTO MWENYE UVIMBE WA AJABU KUKATWA MGUU LEO
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/snaF4AQL0dF7AdSgOmg8TVB7m6YHv90bE93LsUpj4Jh7a2Em5rnr*4WrZfqq6iYjNXmA2X5l0jqScE6HwuxnQfCdOVhfQ613/MTOTOINDIA1.jpg)
HATIMAYE MTOTO MWENYE UVIMBE WA AJABU AKATWA MGUU INDIA
9 years ago
StarTV01 Oct
Peter Samson anaomba msaada 0754 57 26 59
Mkazi wa Mecco jijini Mwanza Peter Samson Majeuri anaomba msaada wa matibabu ya mkono baada ya mfupa wa ndani kuvunjika na kupoteza mfumo wa mawasiliano kati ya mkono na ubongo kutokana na ajali ya gari.
Peter anasumbuliwa na tatizo hilo kwa takriban miaka 16 hali iliyosababisha mkono wake wa kulia kuwekewa chuma.
Tatizo hilo limesababisha maisha yake kuwa magumu baada ya mke wake kumuona kama mzigo na kumkimbia akimwachia watoto sita.
Baba huyu mwenye familia ya watoto sita amekuwa...
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-79pES9e1QJg/VHJcTM-5xcI/AAAAAAAAPhw/yoBozBohoJs/s72-c/10818625_10154825415810247_1542609338_n.jpg)
Kiijana Suleiman Othuman anaomba msaada wenu
![](http://1.bp.blogspot.com/-79pES9e1QJg/VHJcTM-5xcI/AAAAAAAAPhw/yoBozBohoJs/s1600/10818625_10154825415810247_1542609338_n.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-1tL64dO6Rv8/VHJcyZdJJcI/AAAAAAAAPh4/PnWtPlsdBBA/s1600/10815677_10154825415795247_2063630105_n.jpg)