TAASISI YA SITTI TANZANIA FAOUNDATION YATOA MSAADA KWA MTOTO MWENYE UVIMBE MGONGONI
Twaha Sultan akionyesha mpira anaotumia kwa ajili ya kujisaidia hali ambayo inampa maumivu makali pamoja na kupata gharama kubwa ya kubadilisha mpira kila baada ya wiki tatu.
Mama mdogo wa Sultan, Sarha akionyesha uvimbe unaomsumbua mtoto Twaha sultan.
Mwenyekiti wa Taasisi ya Sitti Tanzania Foundation, Sitti Mtemvu akizungumza baada ya kukabidhi msaada wa shs laki mbili kwa ajili ya kusaidia matibabu yake.
Mwenyekiti wa Taasisi ya Sitti Tanzania Foundation, Sitti Mtemvu (kushoto),...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziBINTI SELITIAN NATA,MWENYE UVIMBE ANAOMBA MSAADA WA MATIBABU
11 years ago
GPLMTOTO MWENYE UVIMBE WA AJABU KUKATWA MGUU LEO
11 years ago
GPL
HATIMAYE MTOTO MWENYE UVIMBE WA AJABU AKATWA MGUU INDIA
5 years ago
Michuzi
TAASISI YA TUMAINI LA MTOTO YATOA ELIMU, MSAADA KATIKA KITUO CHA KULELEA WATOTO YATIMA CHA CHUKUWAMA
Akitoa elimu kwa watoto wa kituo hicho Mkurugenzi Taasisi ya Tumaini la Mtoto, Maziku Kuwandu amesema kuwa Watoto waliopo kwenye vituo vyao vya kulelewa wamekuwa hawapati elimu ya kujikinga na Virusi vya Corona (Covid 19) ndio maana wachukua fursa hiyo kuwapa elimu watoto hao.
"Taasisi ya Tumaini la Mtoto kupitia...
10 years ago
VijimamboTaasisi ya Imetosha yatoa msaada kwa kituo cha Buhangija Shinyanga.
Taasisis ya Imetosha ya jijini Dar es Salaam leo hii imepeleka misaada mbali mbali katika kijiji cha watoto wasioona cha Buhangija, Shinyanga ambacho kwa sasa kinahifadhi pia watoto na vijana wenye ualbino takriban 300. Misaada hiyo ikiwemo mabelo ya mitumba 2 moja la masweta na jingine la suruali za jeans, unga, mchele, maharage, sukari, chumvi, ndoo 3 za mafuta ya kupikia, sabuni za kufulia box 8, vile vile...
5 years ago
MichuziODO UMMY FOUNDATION YATOA MSAADA WA VIFAA VYA KUJIKINGA NA CORONA KWA TAASISI ZA DINI JIJINI TANGA
MKUU wa wilaya ya Tanga Thobias Mwilapwa kulia akizungumza wakati akishukuru Taasisi ya Odo Ummy Foundation kwa msaada ndoo 120 na sabuni 60 ikiwemo vifaa vyake vya
kuwekea ndoo hizo ili kuwawezesha kuzitumia katika kuhakikisha wanajikinga na
maambukizi hayo ambayo kwa sasa yamekuwa yakilitikisha dunia katikati
ni Katibu wa Taasisi ya Odo Ummy Foundation Khatibu Kilenga
Katibu wa Taasisi ya Odo Ummy Foundation Khatibu Kilenga kulia akiteta jambo na Mkuu wa wilaya ya Tanga Thobias...
9 years ago
Dewji Blog16 Dec
MO Dewji Foundation yatoa msaada wa Mil. 110/- kwa Taasisi inayowasaidia watoto wenye kansa ya Tumaini la Maisha
Meneja Mwendeshaji wa Taasisi ya MO Dewji, Francesca Tettamanzi (kulia) akitoa neno la ukaribisho kwa uongozi wa Taasisi ya Tumaini la Maisha inayohudumia watoto wenye kansa nchini na waandishi wa habari katika hafla fupi ya kukabidhi msaada wa fedha kwa ajili ya watoto wenye kansa iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa ofisi za MeTL Group jijini Dar es Salaam. Wa pili kulia ni Mmoja wa Wakurugenzi wa Taasisi ya Tumaini la Maisha, Gerard Mongera na Wa pili kushoto ni Ofisa anayesimamia...
11 years ago
KwanzaJamii30 Jul
Mtoto mwenye kipaji cha kukariri Bibili anahitaji msaada
10 years ago
MichuziTBL YATOA MSAADA WA DOLA 24,000 TAASISI YA ACE AFRICA