Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MTOTO MWENYE UVIMBE WA AJABU KUKATWA MGUU LEO

Mtoto Hamis Liguya, 13, akiwa Hospitali ya Ganga, Combatore, Tamil Nadu nchini India. Stori: Imelda Mtema, India
HATIMAYE mtoto mwenye uvimbe wa ajabu, Hamis Liguya, 13, leo anatarajiwa kufanyiwa upasuaji kisha kukatwa mguu katika Hospitali ya Ganga, Combatore, Tamil Nadu nchini India. Hamis Liguya akiwa na madaktari. Hospitali hiyo ni maalum kwa ajili ya watu waliopata ajali na matatizo mbalimbali ya… ...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

HATIMAYE MTOTO MWENYE UVIMBE WA AJABU AKATWA MGUU INDIA

Mtoto mwenye uvimbe wa ajabu, Hamis Liyuga akiwa anaandaliwa kupelekwa katika chumba cha upasuaji. Hamis Liyuga akipelekwa katika chumba cha upasuaji.…

 

10 years ago

Michuzi

MTOTO MWENYE KIPAJI CHA AJABU KUTOKA MAREKANI ATUA NCHINI LEO, KUFANYA KONGAMANO LA WATOTO NA WAZAZI KESHO JIJINI DAR ES SALAAM

Na Mwandishi Wetu
MTOTO  mwenye kipawa cha ajabu katika kutoa ushauri  wa kujijengea uwezo wa kujiamini  anayezidi kujipatia umaarufu mkubwa duniani,  Lonnie Hudson  maarufu kama ‘King Nahh’(Pichani), ametua  jijini Dar es Salaam , leo.
King Nahh aliambatana na baba yake mzazi , Nyeeam Hudson  ambapo wapo nchini kwa mwaliko wa  taasisi isiyo ya kiserikali ya Wisdom Partners.
Kesho mtoto huyo atafanya  kongamano kubwa  la watoto na wazazi  katika Ukumbi wa Urafiki ambapo nia na madhumuni ni...

 

11 years ago

GPL

MTOTO MWENYE GONJWA LA AJABU... ATUA INDIA

Stori: Gladness Mallya BAADA ya kuteseka kwa muda mrefu kwa ugonjwa wa ajabu kwenye miguu, hatimaye mtoto Hamis Hashim Liguya (13) ametua nchini India kwa ajili ya matibabu. Mtoto Hamis Hashim Liguya (13). Katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) jijini Dar Jumamosi iliyopita, majira ya saa 6 mchana, ndugu, jamaa na wadau mbalimbali walifika kumsindikiza mtoto huyo aliyewasili India Jumapili iliyopita....

 

10 years ago

Raia Tanzania

Mtoto mwenye kipaji cha ajabu ndani ya Dar

MTOTO  mwenye kipawa cha ajabu katika kutoa ushauri  wa kujijengea uwezo wa kujiamini  anayezidi kujipatia umaarufu mkubwa duniani,  Lonnie Hudson  maarufu kwa jina la ‘King Nahh’ yupo jijini Dar es Salaam.

King Nahh yuko jijini akiwa ameambatana na baba yake mzazi , Nyeeam Hudson. Familia ya motto huyo ipo nchini kwa mwaliko wa  taasisi isiyo ya kiserikali ya Wisdom Partners.

Mtoto huyo amealikwa nchini kwa madhumuni ya kuungana au kukutana na watoto wenzake kuamsha hisia za  za...

 

10 years ago

Michuzi

TAASISI YA SITTI TANZANIA FAOUNDATION YATOA MSAADA KWA MTOTO MWENYE UVIMBE MGONGONI

 Twaha Sultan akionyesha mpira anaotumia kwa ajili ya kujisaidia hali ambayo inampa maumivu makali pamoja na kupata gharama kubwa ya kubadilisha mpira kila baada ya wiki tatu.  Mama mdogo wa Sultan, Sarha akionyesha uvimbe unaomsumbua mtoto Twaha sultan.Mwenyekiti wa Taasisi ya Sitti Tanzania Foundation, Sitti Mtemvu akizungumza baada ya kukabidhi msaada wa shs laki mbili kwa ajili ya kusaidia matibabu yake. Mwenyekiti wa Taasisi ya Sitti Tanzania Foundation, Sitti Mtemvu (kushoto),...

 

10 years ago

GPL

DENTI AOTA UVIMBE WA AJABU!

Binti, Anastazia Phillip (18) anayesumbuliwa na uvimbe ulioota mguuni. Chande Abdallah na Deogratius MongeLa
Mwanafunzi aliyemaliza kidato cha nne mwaka huu katika Shule ya Sekondari Kibasila, jijini Dar, Anastazia Phillip (18) mkazi wa Buza, amejikuta ameota uvimbe wa ajabu unaofananishwa na…

 

9 years ago

GPL

WASTARA KUKATWA MGUU TENA!

Imelda mtema MASKINI wa Mungu! Baada ya kupata faraja kwa miaka kadhaa kwa kuwekewa mguu wa bandia, mwigizaji wa sinema za Kibongo, Wastara Juma, amepatwa na masaibu mengine ya kutakiwa kukatwa tena sehemu ya mguu uliokuwa umewekewa mguu wa bandia, Risasi Jumamosi lina stori nzima ya kusikitisha. Wastara Juma akiwa na magongo TATIZO LILIPOANZIA
Kwa mujibu wa ndugu wa karibu na Wastara ambaye hakupenda jina lake liandikwe...

 

10 years ago

Dewji Blog

Masikini mama huyu kwa maumivu anayoyapata, aomba kukatwa mguu

JAMII imeombwa kutoa msaada wa hali na mali kwa Bi. GRACE KAIZA mkazi wa Igoma jijini Mwanza ambaye ameomba kukatwa mguu wake kutokana na Saratani ( Kansa) katika mguu huo.

Akizungumza na *JEMBE Habari* Bi. Grace Kaiza amesema amekuwa akisumbuliwa na maradhi hayo kwa muda mrefu jambo lililomuathiri kwa kiasi kikubwa kiafya na hata kiuchumi.

Akielezea namna tatizo hilo lilivyompata amesema lilianza kama uvimbe katika mguu wake kisha kufanyiwa upasuaji mara kadhaa lakini haikusaidia na ndipo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani