WASTARA KUKATWA MGUU TENA!

Imelda mtema MASKINI wa Mungu! Baada ya kupata faraja kwa miaka kadhaa kwa kuwekewa mguu wa bandia, mwigizaji wa sinema za Kibongo, Wastara Juma, amepatwa na masaibu mengine ya kutakiwa kukatwa tena sehemu ya mguu uliokuwa umewekewa mguu wa bandia, Risasi Jumamosi lina stori nzima ya kusikitisha. Wastara Juma akiwa na magongo TATIZO LILIPOANZIA Kwa mujibu wa ndugu wa karibu na Wastara ambaye hakupenda jina lake liandikwe...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLMTOTO MWENYE UVIMBE WA AJABU KUKATWA MGUU LEO
10 years ago
Dewji Blog27 Jun
Masikini mama huyu kwa maumivu anayoyapata, aomba kukatwa mguu

JAMII imeombwa kutoa msaada wa hali na mali kwa Bi. GRACE KAIZA mkazi wa Igoma jijini Mwanza ambaye ameomba kukatwa mguu wake kutokana na Saratani ( Kansa) katika mguu huo.
Akizungumza na *JEMBE Habari* Bi. Grace Kaiza amesema amekuwa akisumbuliwa na maradhi hayo kwa muda mrefu jambo lililomuathiri kwa kiasi kikubwa kiafya na hata kiuchumi.
Akielezea namna tatizo hilo lilivyompata amesema lilianza kama uvimbe katika mguu wake kisha kufanyiwa upasuaji mara kadhaa lakini haikusaidia na ndipo...
9 years ago
Bongo Movies18 Nov
Wastara Akatwa Mguu!
Gabriel Ng’osha Inauma sana! Hatimaye maumivu makali yamempata staa wa Bongo Movies, Wastara Juma kwa zaidi ya saa 24 baada ya kufanyiwa upasuaji mwingine wa kukatwa tena mguu kufuatia uvimbe uliojitokeza kwenye mguu wake wa bandia uliomnyima raha kwa muda mrefu.
TUJIUNGE NA CHANZO JIJINI NAIROBI
Kwa mujibu wa chanzo chetu makini kilichoambatana na mwigizaji huyo jijini Nairobi, Kenya katika matibabu, staa huyo alifikia hatua ya kwenda hospitali baada ya kuzidiwa na maumivu makali...
9 years ago
Bongo504 Dec
Wastara kwenda India kwa matibabu ya mguu ‘niombeeni’

Afya ya muigizaji wa filamu, Wastara Juma bado haijarejea vyema baada ya kufanyiwa upasuaji wa pili wa mguu wake wa kulia nchini Kenya hivi karibuni.
Wastara ameiambia Bongo5 kuwa bado anajisikia maumivu makali hali inayomfanya ajipange kwa safari ya kuelekea nchini India kwa ajili ya matibabu zaidi.
“Watu waniombee tu,” amesema. “Napata maumivu makali kwenye mguu ambayo yanapanda mpaka kwenye mgongo. Nimetoka Kenya juzi tu kwa ajili ya matibabu lakini bado maumivu makali sana. Tayari...
9 years ago
Bongo517 Nov
Picha: Wastara onesha miguu yake kwa mara ya kwanza toka alipokatwa mguu mmoja miaka 6 iliyopita

Weekend iliyopita muigizaji mrembo wa filamu za Bongo, Wastara Juma aliamua kuweka wazi kile kinachoendelea kwenye maisha yake toka alipokatwa mguu wake wa kulia miaka 6 iliyopita.
Akiwa jijini Nairobi kwenye matibabu, Wastara alipost picha hii kwenye akaunti yake ya Intagram na kuandika ujumbe ufuatao;
“Kwa mara ya kwanza toka nimekatwa mguu miaka 6 iliyopita leo nimechukua nafasi hii kupost hii pic kuondoa maswali mengi yaliyopo vichwani mwa watu
Nipo kma unavyoiona pic.
Huyo ndio...
10 years ago
GPL
‘ETI WANATAKA KUUKATA TENA MGUU WANGU’
9 years ago
Global Publishers06 Jan
Wastara ndoa tena!
Staa wa filamu Bongo, Wastara Juma.
Na Waandishi Wetu
BAHATI ILIYOJE! Baada ya hivi karibuni mumewe, Juma Kilowoko ‘Sajuki’ kutimiza miaka mitatu kaburini, staa wa filamu Bongo, Wastara Juma amefunguka kwamba anatarajia kuolewa tena kwani ameshapata chaguo sahihi.
Akizungumza na Risasi Mchanganyiko nyumbani kwao Tabata Barakuda jijini Dar, Wastara alisema wakati wa msiba wa mumewe aliweka nadhiri kwamba ataolewa baada ya miaka mitatu hivyo kwa sasa yuko tayari kuingia kwenye ndoa...
11 years ago
GPL
WASTARA APATA AJALI TENA
10 years ago
GPL
WASTARA APATA AJALI TENA TABATA JIJINI DAR