Wastara kwenda India kwa matibabu ya mguu ‘niombeeni’
Afya ya muigizaji wa filamu, Wastara Juma bado haijarejea vyema baada ya kufanyiwa upasuaji wa pili wa mguu wake wa kulia nchini Kenya hivi karibuni.
Wastara ameiambia Bongo5 kuwa bado anajisikia maumivu makali hali inayomfanya ajipange kwa safari ya kuelekea nchini India kwa ajili ya matibabu zaidi.
“Watu waniombee tu,” amesema. “Napata maumivu makali kwenye mguu ambayo yanapanda mpaka kwenye mgongo. Nimetoka Kenya juzi tu kwa ajili ya matibabu lakini bado maumivu makali sana. Tayari...
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-OxTyCl8EROw/VU_sILk4UMI/AAAAAAADmqE/RUj3QCLouTw/s72-c/Mohammed-IMG-20150510-WA0006.jpg)
Harambee ya Kumchangia Mohammed (Mtoto wa BI.MOZA) Kwenda kwenye matibabu India
![](http://4.bp.blogspot.com/-OxTyCl8EROw/VU_sILk4UMI/AAAAAAADmqE/RUj3QCLouTw/s640/Mohammed-IMG-20150510-WA0006.jpg)
Harambee itafanyika Kama ifuatavyo:Siku: Sunday - May 17, 2015 * SAA: Kuanzia 2pm-6pm
Address: Sligo Ave. PAB - Sligo Ave. Neighbor Park (Sligo Urban) 500 Sligo AVE Silver Spring MD, 20910
Kwa taarifa zaidi tafadhali wasiliana na:
Bi.Moza...
9 years ago
Bongo517 Nov
Picha: Wastara onesha miguu yake kwa mara ya kwanza toka alipokatwa mguu mmoja miaka 6 iliyopita
![Wastara](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2014/06/Wastara-200x133.jpg)
Weekend iliyopita muigizaji mrembo wa filamu za Bongo, Wastara Juma aliamua kuweka wazi kile kinachoendelea kwenye maisha yake toka alipokatwa mguu wake wa kulia miaka 6 iliyopita.
Akiwa jijini Nairobi kwenye matibabu, Wastara alipost picha hii kwenye akaunti yake ya Intagram na kuandika ujumbe ufuatao;
“Kwa mara ya kwanza toka nimekatwa mguu miaka 6 iliyopita leo nimechukua nafasi hii kupost hii pic kuondoa maswali mengi yaliyopo vichwani mwa watu
Nipo kma unavyoiona pic.
Huyo ndio...
9 years ago
Mwananchi14 Nov
Dk Bisimba kupelekwa India kwa matibabu
9 years ago
Mzalendo Zanzibar29 Sep
Nassra safari India kwa matibabu
Alhamdulilah,nineno la shukrani ambalo mja humshukuru Mola wake kwa kila jambo.Kwa upande wangu nimeamua kutumia neno hili leo baada ya kufanikiwa kile ambacho kilikuwa kimenikaa rohoni juu ya mtoto huyu pichani (Nassra)anaesumbuliwa na mguu tangia akiwa […]
The post Nassra safari India kwa matibabu appeared first on Mzalendo.net.
11 years ago
Mwananchi23 Apr
Kisumo kupelekwa India kwa matibabu
9 years ago
Bongo Movies18 Nov
Wastara Akatwa Mguu!
Gabriel Ng’osha Inauma sana! Hatimaye maumivu makali yamempata staa wa Bongo Movies, Wastara Juma kwa zaidi ya saa 24 baada ya kufanyiwa upasuaji mwingine wa kukatwa tena mguu kufuatia uvimbe uliojitokeza kwenye mguu wake wa bandia uliomnyima raha kwa muda mrefu.
TUJIUNGE NA CHANZO JIJINI NAIROBI
Kwa mujibu wa chanzo chetu makini kilichoambatana na mwigizaji huyo jijini Nairobi, Kenya katika matibabu, staa huyo alifikia hatua ya kwenda hospitali baada ya kuzidiwa na maumivu makali...
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3r*H3JtUV-f1FOvouo8jfUbTVPuq2QZQHM8pre2wbE6vfys3HqH4Z8r0RzUCe6vnN*3nYp2NvAdGKrfbgCX8wb9Zmq5Osptc/Wastaraz.jpg?width=650)
WASTARA KUKATWA MGUU TENA!
10 years ago
Vijimambo10 Jun
Hatimae Bi Moza afanikisha kumpeleka mtoto wake India kwa matibabu
![](https://scontent-iad3-1.xx.fbcdn.net/hphotos-xpf1/v/t34.0-12/10592203_10155634912440247_1553759866_n.jpg?oh=8b3e2875f2fb17d999fa6f0199fd2dba&oe=5578D888)
Bi Moza akiwa akimshindikiza mtoto wake Moh'd Saidi, Nchini India kwa matibabuBi Moza Moh'd Khamis anapenda tena kutoa shukurani za dhati kwa wale wote waliochangia kwa hali na mali kwa mtoto wake Moh'd Said Moh'd, kwenda kufanyiwa matibabu ya upandikizaji wa figo, nchini India.Mapema asubuhi ya leo Bi Moza aliongea na blog ya swahilivilla ili kutoa taarifa kwa kukamilika safari yake ya kwenda nchini India pamoja na kutaka tumuombe Dua za kumtakia kila la kheri katika safari hiyo.Moh'd...