Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Hatimae Bi Moza afanikisha kumpeleka mtoto wake India kwa matibabu


Bi Moza akiwa akimshindikiza mtoto wake Moh'd Saidi, Nchini India kwa matibabuBi Moza Moh'd Khamis anapenda tena kutoa shukurani za dhati kwa wale wote waliochangia kwa hali na mali kwa mtoto wake Moh'd Said Moh'd, kwenda kufanyiwa matibabu ya upandikizaji wa figo, nchini India.Mapema asubuhi ya leo Bi Moza aliongea na blog ya swahilivilla ili kutoa taarifa kwa kukamilika safari yake ya kwenda nchini India pamoja na kutaka tumuombe Dua za kumtakia kila la kheri katika safari hiyo.Moh'd...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Harambee ya Kumchangia Mohammed (Mtoto wa BI.MOZA) Kwenda kwenye matibabu India

Ndugu zetu wa Tanzania wote msaada unahitajika kukamilisha gharama za matibabu ya kumpeleka ndugu yetu India kwa ajili ya kufanyiwa Kidney Transplant kwa haraka iwezekanavyo; kwa hivi sasa mgonjwa amelazwa katika hospital ya Muhimbili, Dar-es-Salaam.
Harambee itafanyika Kama ifuatavyo:Siku: Sunday - May 17, 2015 * SAA: Kuanzia 2pm-6pm
Address: Sligo Ave. PAB - Sligo Ave. Neighbor Park (Sligo Urban) 500 Sligo AVE Silver Spring MD, 20910
Kwa taarifa zaidi tafadhali wasiliana na:
Bi.Moza...

 

5 years ago

BBCSwahili

India: Baba azika ua kuchoma maelfu ya miili ya watu kujifariji kwa kifo cha mtoto wake

Mohammad “Mjomba” Shareef amezika ama kuchoma maelfu ya miili ya watu kwa miaka 28 kaskazini mwa India mji wa Ayodhya. Mtoto wake wa kiume aliuawa katika vita 1992 na mwili wake haukuwahi kuonekana zaidi ya nguzo zake tu.

 

9 years ago

Mzalendo Zanzibar

Nassra safari India kwa matibabu

Alhamdulilah,nineno la shukrani ambalo mja humshukuru Mola wake kwa kila jambo.Kwa upande wangu nimeamua kutumia neno hili leo baada ya kufanikiwa kile ambacho kilikuwa kimenikaa rohoni juu ya mtoto huyu pichani (Nassra)anaesumbuliwa na mguu tangia akiwa […]

The post Nassra safari India kwa matibabu appeared first on Mzalendo.net.

 

9 years ago

Mwananchi

Dk Bisimba kupelekwa India kwa matibabu

Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC), Dk Hellen Kijo-Bisimba anatarajia kusafirishwa kwenda nchini India kwa ajili ya matibabu zaidi.

 

11 years ago

Mwananchi

Kisumo kupelekwa India kwa matibabu

Mwanasiasa mkongwe na kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Peter Kisumo ambaye amelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) akisumbuliwa na maradhi ya moyo na figo, amesema wiki hii atapelekwa nchini India kwa matibabu zaidi.

 

10 years ago

Vijimambo

HARAMBEE YA KUMCHANGIA MOHAMMED (MTOTO WA MAMA MOZA) DMV

Moza(kati) akiongea machache wakati wa harambee ya kumchangia mwanae iliyofanyika siku ya Jumapili May 17, 2015 Silver Spring, maryland. Kushoto ni Mariam na kulia ni Asha Hariz wakifuatilia anachokisema Maza.WanaDMV wakifuatilia mnada.WanaDMV wakifuatilia harambee.Jack (koti la kijani) akimsalimia Moza na kumpa pole ya kuuguliwa na mwanae.Jack akichangia.Ali akipokea viatu toka kwa Abou baada ya kuvinunua.Mnada ukiendeleaRashid akiwa na familia yake.Picha zote na Tito Mazali DMVKwa picha...

 

9 years ago

Bongo5

Wastara kwenda India kwa matibabu ya mguu ‘niombeeni’

wastara mguu

Afya ya muigizaji wa filamu, Wastara Juma bado haijarejea vyema baada ya kufanyiwa upasuaji wa pili wa mguu wake wa kulia nchini Kenya hivi karibuni.

wastara mguu

Wastara ameiambia Bongo5 kuwa bado anajisikia maumivu makali hali inayomfanya ajipange kwa safari ya kuelekea nchini India kwa ajili ya matibabu zaidi.

“Watu waniombee tu,” amesema. “Napata maumivu makali kwenye mguu ambayo yanapanda mpaka kwenye mgongo. Nimetoka Kenya juzi tu kwa ajili ya matibabu lakini bado maumivu makali sana. Tayari...

 

11 years ago

Michuzi

Msaada wa Matibabu kwa Mtoto Maimuna Yahaya (11)

   Pichani ni Mtoto Maimuna Yahaya  Mtoto Maimuna Yahaya akiwa na Mama yake Mzazi  Tunu Juma  **********************
Msaada wa Matibabu kwa mtoto Maimuna Yahaya Mtoto Maimuna Yahaya (11) anayesoma shule ya Msingi ya watoto wenye mahitaji maalum (wenye ulemavu) ya Irente Rainbow (Lushoto- Tanga) Darasa la pili, anasumbuliwa na tatizo la mifupa na ukubwa wa kichwa tangu kuzaliwa kwake, tatizo lililompelekea kuwa na ulemavu wa viungo na mtindio wa Ubongo. Mama wa mtoto huyo, Bi. Tunu...

 

11 years ago

GPL

MTOTO ALIYEJERUHIWA KATIKA SHAMBULIO KANISANI AFIKISHWA NAIROBI KWA MATIBABU

Mtoto Satrin akiwa amebebwa na baba yake mzazi Benson Osinya ndani ya ndege kuelekea jijini Nairobi kwa matibabu. MTOTO Satrin Osinya aliyejeruhiwa na risasi iliyomuua mama yake katika shambulio la kigaidi lililofanywa kwenye kanisa la Joy of Jesus huko Likoni, Mombasa nchini Kenya Jumapili iliyopita, jana amefikishwa jijini Nairobi kwa matibabu. Mtoto Satrin Osinya wakati akipatiwa matibabu mjini Mombasa baada ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani