Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HARAMBEE YA KUMCHANGIA MOHAMMED (MTOTO WA MAMA MOZA) DMV

Moza(kati) akiongea machache wakati wa harambee ya kumchangia mwanae iliyofanyika siku ya Jumapili May 17, 2015 Silver Spring, maryland. Kushoto ni Mariam na kulia ni Asha Hariz wakifuatilia anachokisema Maza.WanaDMV wakifuatilia mnada.WanaDMV wakifuatilia harambee.Jack (koti la kijani) akimsalimia Moza na kumpa pole ya kuuguliwa na mwanae.Jack akichangia.Ali akipokea viatu toka kwa Abou baada ya kuvinunua.Mnada ukiendeleaRashid akiwa na familia yake.Picha zote na Tito Mazali DMVKwa picha...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Harambee ya Kumchangia Mohammed (Mtoto wa BI.MOZA) Kwenda kwenye matibabu India

Ndugu zetu wa Tanzania wote msaada unahitajika kukamilisha gharama za matibabu ya kumpeleka ndugu yetu India kwa ajili ya kufanyiwa Kidney Transplant kwa haraka iwezekanavyo; kwa hivi sasa mgonjwa amelazwa katika hospital ya Muhimbili, Dar-es-Salaam.
Harambee itafanyika Kama ifuatavyo:Siku: Sunday - May 17, 2015 * SAA: Kuanzia 2pm-6pm
Address: Sligo Ave. PAB - Sligo Ave. Neighbor Park (Sligo Urban) 500 Sligo AVE Silver Spring MD, 20910
Kwa taarifa zaidi tafadhali wasiliana na:
Bi.Moza...

 

10 years ago

Vijimambo

Hatimae Bi Moza afanikisha kumpeleka mtoto wake India kwa matibabu


Bi Moza akiwa akimshindikiza mtoto wake Moh'd Saidi, Nchini India kwa matibabuBi Moza Moh'd Khamis anapenda tena kutoa shukurani za dhati kwa wale wote waliochangia kwa hali na mali kwa mtoto wake Moh'd Said Moh'd, kwenda kufanyiwa matibabu ya upandikizaji wa figo, nchini India.Mapema asubuhi ya leo Bi Moza aliongea na blog ya swahilivilla ili kutoa taarifa kwa kukamilika safari yake ya kwenda nchini India pamoja na kutaka tumuombe Dua za kumtakia kila la kheri katika safari hiyo.Moh'd...

 

10 years ago

Vijimambo

HARAMBEE YA RASHID MKAKILE YAFANYIKA DMV

Jojo kushoto akimsikiliza Katule wakati akipatiwa maelekezo kwenye harambee ya ya kusaidia gharama za matibabu ya rafiki, ndugu, jamaa na mpendwa wetu Rashid Mkakile aliyeugua akiwa kikazi Boston, Massachusetts na kupelekea kufanyiwa upasuaji. Harambee ilifanyika siku ya Jumampili Novemba 16, 2014 na kuhudhuriwa na Watanzania wa DMV waliomfahamu na walioguswa na mpendwa wetu, ndugu yetu, jamaa yetu na Mtanzania mwenzetu Rashid Mkakile mpaka Vijimambo inaondoka kwenye tukio, harambee ilikua...

 

10 years ago

Vijimambo

LOWASSA KUMUWAKILISHA MAKAMU WA RAIS DKT MOHAMMED GHARIB BILAL KWENYE HARAMBEE YA UCHAGIAJI UJENZI WA MSIKITI WA PATANDI, JIJINI ARUSHA

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli-CCM Edward Lowassa--JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAOFISI YA MAKAMU WA RAISOfisi ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inapenda kuutaarifu umma kuwa shughuli ya Harambee ya kuchangia ujenzi wa Msikiti wa Patandi uliopo wilaya ya Arumeru jijini Arusha ambao umepangwa kufanyika Ijumaa ya tarehe 15, 2015 na ambayo awali ilitangazwa kuwa mgeni Rasmi katika Harambee hiyo angekuwa Mheshimiwa Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Makamu wa Rais wa...

 

10 years ago

Vijimambo

HARAMBEE YA MZEE EDDIS MGAWE DMV DOLA 3,000 ZAPATIKANA, WATANZANIA OKLAHOMA NAO WACHANGA JUMLA YA MICHANGO NI 13,1OO


 Mary Mgawe(kuli) akiwa mwenye huzuni huku akilia kwa uchungu wa kufiwa na mpendwa baba yake marehemu mzee Eddis Mgawe aliyefariki siku ya Jumapili March 29, 2015 usiku , kushoto ni Jasmine Rubama akimfariji wakati wakiwa kwenye harambee iliyofanyika siku ya Jumatano na kuwezesha kukusanya jumla ya dola 3,000 na kufanya jumla ya fedha zilichangishwa wakiwemo wanaDMV na Watanzania Oklahoma kufikia dola 13,100 lengo lilikua 13,955 kiasi kilichobaki ni dola 855 Familia na kamati inatoa...

 

11 years ago

GPL

MAZISHI YA MAMA YAKE MZAZI SAIDI MDOE, BI DESTA MOHAMMED YALIVYOFANYIKA LEO

Mama mzazi wa mdau Said Mdoe, Bi Desta Mohammed aliyefariki jana saa moja jioni, amezikwa jioni ya leo, hapa mwili wake ukiombewa kabla ya kupelekwa makaburini kwa mazishi. Waombolezaji wakielekea makaburini eneo la Masina Mbezi Beach, jijini Dar.…

 

11 years ago

GPL

MAMA MKUBWA WA MTOTO ALIYEUNGUA MOTO ATOWEKA NA MTOTO HUYO KUSIKO JULIKANA.‏

Huyu ndiye Mama mkubwa wa mtoto Adolotea Nyavike Bi. Salome Kiegu(35) ambaye ametoweka na mtoto huyo kusiko julikana wakati wasamalia wema wakitaka kutoa misaada kwa nototo huyo. Mtoto Adolotea Njavike(1.4) ambae Kichwa na Kiwiliwili…

 

10 years ago

Vijimambo

SUGU ASHINDA KESI DHIDI YA MAMA MTOTO WAKE FAIZA, MAHAKAMA YAAMUA APEWE MTOTO

Mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi (Sugu) ameshinda kesi aliyomfungulia aliyewahi kuwa mchumba wake Faiza Ally ambaye pia ni mama wa mtoto wake wa kike aitwaye Sasha.Kwa mujibu wa maelezo ya Faiza kupitia akaunti yake ya Instagram, mahakama imetoa hukumu ambayo ni mtoto achukuliwe na kulelewa na baba yake mzazi.Sugu alimshitaki Faiza kwa madai kuwa hana maadili na ana hofia kuwa atamharibu mtoto wao, hivyo alitaka kumchukua mtoto kutoka kwa mama yake aishi naye.

Hiki ndicho amekiandika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani