Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAMA MKUBWA WA MTOTO ALIYEUNGUA MOTO ATOWEKA NA MTOTO HUYO KUSIKO JULIKANA.‏

Huyu ndiye Mama mkubwa wa mtoto Adolotea Nyavike Bi. Salome Kiegu(35) ambaye ametoweka na mtoto huyo kusiko julikana wakati wasamalia wema wakitaka kutoa misaada kwa nototo huyo. Mtoto Adolotea Njavike(1.4) ambae Kichwa na Kiwiliwili…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Mtoto aliyeungua mwili amshukuru JK

KIJANA Bakari Katumbaku (20) aliyeungua moto mwili mzima akiwa na miaka 6, amemshukuru Rais Jakaya Kikwete kwa msaada wa matibabu na elimu aliompatia.

 

10 years ago

GPL

MAMA AMCHOMA MOTO MTOTO MIAKA 7

Saimeni Mgalula, Mbeya
Ukatili kila kona! Mwanamke aliyetajwa kwa jina la mama Joy amechezea kipigo ‘hevi’ kutoka kwa wananchi wenye hasira kali akidaiwa kumchoma moto mikononi mtoto anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka saba ambaye jina halikupatikana kwa madai ya kumuibia shilingi elfu ishirini. Mtoto huyo akiugulia maumivu baada ya kuchomwa moto na mamaa'ke. Tukio hilo la kinyama ambalo ni sehemu ya matukio ya...

 

10 years ago

Vijimambo

SUGU ASHINDA KESI DHIDI YA MAMA MTOTO WAKE FAIZA, MAHAKAMA YAAMUA APEWE MTOTO

Mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi (Sugu) ameshinda kesi aliyomfungulia aliyewahi kuwa mchumba wake Faiza Ally ambaye pia ni mama wa mtoto wake wa kike aitwaye Sasha.Kwa mujibu wa maelezo ya Faiza kupitia akaunti yake ya Instagram, mahakama imetoa hukumu ambayo ni mtoto achukuliwe na kulelewa na baba yake mzazi.Sugu alimshitaki Faiza kwa madai kuwa hana maadili na ana hofia kuwa atamharibu mtoto wao, hivyo alitaka kumchukua mtoto kutoka kwa mama yake aishi naye.

Hiki ndicho amekiandika...

 

10 years ago

GPL

MIPANGO NA SERA ZITEKELEZWE KUMUOKOA MAMA NA MTOTO MCHANGA‏

Mratibu wa Mawasiliano na uhamisishaji wa mradi wa Mama Ye unaoendeshwa na asasi ya Evidence for Action linalofadhiliwa na Shirika la Maendeleo la Uingereza (DFID), Chiku Lweno akielezea jitihada zinazofanywa na mradi wa Mama Ye katika kukabiliana na vifo vya Mama na mtoto ambapo aliwataka waandishi wa habari kutumia kalamu zao kuelemisha jamii ili iweze kuepukana na vifo vya mama na mtoto ambalo nalo ni janga la taifa. Kaimu...

 

10 years ago

Mwananchi

Mtoto aliyezamia ndege atoweka tena

Mtoto Happiness Rioba(10) aliyedaiwa kuzamia kwenye ndege kutoka Dar es Salaam kwenda Zanzibar bila kugundulika, ametoweka tena nyumbani kwao baada ya kukutanishwa na mama yake mzazi Sara Zefhania.

 

11 years ago

GPL

HUDUMA ZA DHARURA KWA WAZAZI KIBITI ZAOKOA MAISHA YA MAMA NA MTOTO‏

Mratibu wa Mtandao wa Utepe Mweupe Kitaifa (The White Ribbon Alliance), Rose Mlay akimjulia hali mmoja wa akinamama aliyejifungua katika wodi ya wazazi katika Kituo cha Afya Kibiti leo. Mratibu wa Mtandao wa Utepe Mweupe Kitaifa (The White Ribbon Alliance), Rose Mlay akitambulishwa kwa baadhi ya wahudumu katika wodi ya wazazi kwenye Kituo cha Afya Kibiti leo alipotembelea… ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani