MAMA AMCHOMA MOTO MTOTO MIAKA 7
![](http://api.ning.com:80/files/j2M1I3T7jzn-DH2nQPaIdK0WueH*naI6l3MZXlcgsY170fuLkIiwZLwYwci*RN*HPdaHw1dVz*EW2m4phXGoKIoeCWr5viH6/mtoto.jpg?width=650)
Saimeni Mgalula, Mbeya Ukatili kila kona! Mwanamke aliyetajwa kwa jina la mama Joy amechezea kipigo ‘hevi’ kutoka kwa wananchi wenye hasira kali akidaiwa kumchoma moto mikononi mtoto anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka saba ambaye jina halikupatikana kwa madai ya kumuibia shilingi elfu ishirini. Mtoto huyo akiugulia maumivu baada ya kuchomwa moto na mamaa'ke. Tukio hilo la kinyama ambalo ni sehemu ya matukio ya...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi19 Nov
Mama amchoma mwanaye kwa maji moto
11 years ago
GPL![](http://1.bp.blogspot.com/-bkRGK8_6IEA/UxrR5XihF1I/AAAAAAAAhZ0/Dj9FRfIW5Zg/s1600/IMG-20140308-WA0002.jpg?width=640)
MAMA MKUBWA WA MTOTO ALIYEUNGUA MOTO ATOWEKA NA MTOTO HUYO KUSIKO JULIKANA.
10 years ago
Habarileo18 Oct
Mtoto wa miaka 8 achapwa na kumwagiwa maji moto
MTOTO wa kike mwenye umri wa miaka minane amechapwa viboko na kumwagiwa maji ya moto na mama yake kwa kambo kwa kuchelewa kuwapa wadogo zake chakula cha mchana.
10 years ago
BBCSwahili31 Dec
Mtoto wa miaka 2 aua mama yake
5 years ago
BBCSwahili11 Mar
Mama amekutana na mtoto wake baada ya miaka 15
10 years ago
Mwananchi26 Feb
Mama ajeruhi mtoto wake wa miaka miwili
9 years ago
Habarileo14 Dec
Amchoma mtoto kwa kutoanika shuka alizokojolea
LICHA ya Serikali kukemea vitendo vya kikatili dhidi ya watoto wadogo, mama mmoja wilayani Igunga mkoani Tabora, Kulwa Shasumuni amemchoma moto mwanawe Hassani Faustino (9) kwenye mkono wa kushoto kwa kile alichodai ameshindwa kuanika shuka zake alizokojolea kitandani.
10 years ago
BBCSwahili07 May
Mzee amchoma mkewe wa miaka 16 Kenya