Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Amchoma mtoto kwa kutoanika shuka alizokojolea

LICHA ya Serikali kukemea vitendo vya kikatili dhidi ya watoto wadogo, mama mmoja wilayani Igunga mkoani Tabora, Kulwa Shasumuni amemchoma moto mwanawe Hassani Faustino (9) kwenye mkono wa kushoto kwa kile alichodai ameshindwa kuanika shuka zake alizokojolea kitandani.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MAMA AMCHOMA MOTO MTOTO MIAKA 7

Saimeni Mgalula, Mbeya
Ukatili kila kona! Mwanamke aliyetajwa kwa jina la mama Joy amechezea kipigo ‘hevi’ kutoka kwa wananchi wenye hasira kali akidaiwa kumchoma moto mikononi mtoto anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka saba ambaye jina halikupatikana kwa madai ya kumuibia shilingi elfu ishirini. Mtoto huyo akiugulia maumivu baada ya kuchomwa moto na mamaa'ke. Tukio hilo la kinyama ambalo ni sehemu ya matukio ya...

 

9 years ago

GPL

UKATILI ULIOJE! SHANGAZI AMCHOMA MIKONO MTOTO WAKE

Niukatili ulioje ambao amefanyiwa mtoto Dorine (12), denti wa darasa la nne Shule ya Msingi Makabe, Mbezi jijini Dar.Dorine anadaiwa kuunguzwa na maji ya moto yaliyochemshwa kwenye jiko la gesi na walezi wake wa karibu akiwemo shangazi yake aliyetajwa kwa jina moja la Scola ambaye alitiwa mbaroni na bibi yake ambaye haikujikana alipo.  Dorine akiwa hospitali baada ya kuchomwa mikono na shangazi yake. Katika tukio hilo la...

 

10 years ago

Habarileo

Mwanafunzi ajiua kwa shuka hospitalini

KATIKA hali isiyotarajiwa, mwanafunzi wa Kidato cha Tano katika Shule ya Sekondari ya Wavulana Ihungo Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera, Ezra Gerald (19), amejinyonga hadi kufa kwa kutumia shuka ya hospitali, alikokuwa amelazwa kwa kile kinachoeleza alikuwa anasumbuliwa na homa ya matumbo.

 

9 years ago

Mwananchi

Mama amchoma mwanaye kwa maji moto

Polisi mkoa wa Mara inamshikilia mwananke mmoja (jina tunalo) mkazi wa Bweri Manispaa ya Musoma kwa kosa la kumchoma mtoto wake mwenye miaka minne, kwa maji ya moto, mikono yote miwili baada ya kumtuhumu kuwa ameiba nyama jikoni.

 

11 years ago

Habarileo

Mtumishi wa NMB Songea ajinyonga kwa shuka gesti

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Temeke, Engelbert KiondoWATU wawili wamekufa katika matukio mawili tofauti ya kujinyonga, akiwemo mfanyakazi wa benki ya NMB Tawi la Songea, Wilhelim Swai (37) ambaye amejinyonga kwa kutumia shuka katika nyumba ya kulala wageni.

 

5 years ago

Michuzi

Njombe:Kijana ajinyonga kwa kutumia shuka ndani ya Nyumba

Na Amiri kilagalila,Njombe
Kijana anayefahamika kwa jina la Chesco Mtega mwenye umri wa miaka 19 mkazi wa kitongoji cha Kanisa A Kijiji cha Ludewa,wilayani Ludewa mkoani Njombe amegundulika amejinyonga kwa kutumia shuka lililofungwa juu ya kenchi na shingoni mwake ndani ya nyumba,huku sababu zikitajwa ni kutokana na msongo wa mawazo (SONONA)
Akizungumza na waandishi wa habari  ofisini kwake mkuu wa Wilaya ya Ludewa ambaye pia ni Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wilayani humo Mh,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

NHIF yakabidhi shuka za mil. 3.5/-

MFUKO wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) mkoani Tabora, umeikabidhi Hospitali ya Rufaa Kitete msaada wa shuka 150 zenye thamani ya sh milioni 3.5. Akikabidhi msaada huo, Mwenyekiti wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Yanga SC yakumbuka shuka mapambazuko

BAADA ya kutulizwa na maafande wa Mgambo JKT katika mchezo uliopita, mabingwa watetezi Yanga, jana walizinduka na kuwashushia kichapo cha mabao 5-1 JKT Ruvu katika mechi ya Ligi Kuu ya...

 

10 years ago

GPL

MREMBO AMCHOMA VISU MBONGO SAUZI

Stori: Mayasa Mariwata na Shani ramadhani
WIVU wa mapenzi bwana! Kijana mmoja aliyefahamika kwa jina la David Patrick Chagu (pichani) aliyekuwa akiishi Jimbo la George nchini Afrika Kusini ‘Sauzi’  amekumbwa na mauti kwa kuchomwa visu na mpenziwe aliyefahamika kwa jina moja la Monica. Waombolezaji na mama wa marehemu, Rose Ndunguru (wa pili kulia) wakiwa katika hali ya simanzi. Tukio hilo lilitokea Oktoba...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani