Mwanafunzi ajiua kwa shuka hospitalini
KATIKA hali isiyotarajiwa, mwanafunzi wa Kidato cha Tano katika Shule ya Sekondari ya Wavulana Ihungo Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera, Ezra Gerald (19), amejinyonga hadi kufa kwa kutumia shuka ya hospitali, alikokuwa amelazwa kwa kile kinachoeleza alikuwa anasumbuliwa na homa ya matumbo.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Tanzania Daima18 Sep
Mwanafunzi ajiua kwa kukosa tiba
MWANAFUNZI wa kidato cha tano, Ezra Wambamba (19 ) wa shule ya sekondari ya wavulana, Ihungo amejinyonga kwa shuka hadi kufa kwa madai ya kukosa matibabu akiwa hospitali. Akizungumza na...
10 years ago
Mwananchi18 Sep
Mwanafunzi ajinyonga hospitalini
9 years ago
Habarileo14 Dec
Amchoma mtoto kwa kutoanika shuka alizokojolea
LICHA ya Serikali kukemea vitendo vya kikatili dhidi ya watoto wadogo, mama mmoja wilayani Igunga mkoani Tabora, Kulwa Shasumuni amemchoma moto mwanawe Hassani Faustino (9) kwenye mkono wa kushoto kwa kile alichodai ameshindwa kuanika shuka zake alizokojolea kitandani.
11 years ago
Habarileo03 Aug
Mtumishi wa NMB Songea ajinyonga kwa shuka gesti
WATU wawili wamekufa katika matukio mawili tofauti ya kujinyonga, akiwemo mfanyakazi wa benki ya NMB Tawi la Songea, Wilhelim Swai (37) ambaye amejinyonga kwa kutumia shuka katika nyumba ya kulala wageni.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-pNZpvu9j9sU/XvNT3Su5TVI/AAAAAAALvRI/dMnO9zpbKmEm76lEcrLAJ94LFvjTBtSUgCLcBGAsYHQ/s72-c/SHUKA.png)
Njombe:Kijana ajinyonga kwa kutumia shuka ndani ya Nyumba
Kijana anayefahamika kwa jina la Chesco Mtega mwenye umri wa miaka 19 mkazi wa kitongoji cha Kanisa A Kijiji cha Ludewa,wilayani Ludewa mkoani Njombe amegundulika amejinyonga kwa kutumia shuka lililofungwa juu ya kenchi na shingoni mwake ndani ya nyumba,huku sababu zikitajwa ni kutokana na msongo wa mawazo (SONONA)
Akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake mkuu wa Wilaya ya Ludewa ambaye pia ni Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wilayani humo Mh,...
11 years ago
Habarileo10 Jun
Mfanyabiashara ajiua kwa risasi
MFANYABIASHARA wa madini, Richard Lucas (29) anadaiwa kujiua kwa kujipiga risasi kichwani baada ya kusababisha ajali mbili tofauti.
10 years ago
Habarileo27 Oct
Mfanyabiashara ajiua kwa risasi baa
MFANYABIASHARA wa Arusha anayemiliki kampuni ya Tanzania Bush Camp yenye kambi za watalii katika hifadhi za Serengeti mkoani Mara na Manyara iliyopo katika mikoa ya Arusha na Manyara, Timoth Mroki (36) amejiua kwa kujipiga risasi tatu kifuani akiwa katika baa maarufu ya Arusha Raha iliyopo eneo la Shams, jijini hapa.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/saEvSFZMI0kKlVdnL8WFbEUYQaHaWMdtTm*SeHEPhYN6KRUZyZ8NSlbNpgn9ijKNZvZyBHmJzgOpn8kF97t1BFCvkiNwKEF5/BILIONEA.jpg?width=650)
BILIONEA DAR AJIUA KWA RISASI
10 years ago
Habarileo03 Feb
Dereva wa OCD ajiua kwa risasi
ASKARI aliyekuwa dereva wa Mkuu wa Polisi wa Wilaya (OCD) Manyoni mkoani hapa, Aloyce Alibinus amejiua kwa kujipiga risasi mdomoni na kutokea kisogoni.