Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwanafunzi ajiua kwa kukosa tiba

MWANAFUNZI wa kidato cha tano, Ezra Wambamba (19 ) wa shule ya sekondari ya wavulana, Ihungo amejinyonga kwa shuka hadi kufa kwa madai ya kukosa matibabu akiwa hospitali. Akizungumza na...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Mwanafunzi ajiua kwa shuka hospitalini

KATIKA hali isiyotarajiwa, mwanafunzi wa Kidato cha Tano katika Shule ya Sekondari ya Wavulana Ihungo Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera, Ezra Gerald (19), amejinyonga hadi kufa kwa kutumia shuka ya hospitali, alikokuwa amelazwa kwa kile kinachoeleza alikuwa anasumbuliwa na homa ya matumbo.

 

11 years ago

Habarileo

Mfanyabiashara ajiua kwa risasi

MFANYABIASHARA wa madini, Richard Lucas (29) anadaiwa kujiua kwa kujipiga risasi kichwani baada ya kusababisha ajali mbili tofauti.

 

11 years ago

Mwananchi

Waziri ajiua kwa kushindwa uchaguzi

Wakati Rais wa Malawi, Joyce Banda akizidi kuelemewa kwenye uchaguzi uliofanyika Jumanne wiki hii, Naibu Waziri wa Serikali za Mitaa, Godfrey Kamanya amejiua baada ya kubaini ameshindwa kutetea kiti chake cha ubunge.

 

10 years ago

Habarileo

Mume ajiua kwa sumu ukweni

MFANYABIASHARA wa mjini Tarime mkoani Mara, Wilson Weso maarufu Kishimba (34) amekufa kwa kile alichodaiwa amekunywa sumu nyumbani kwa baba mkwe wake.

 

10 years ago

Habarileo

Ajiua kwa moto hasira za mapenzi

MKAZI mmoja wa kijiji cha Malolwa wilaya ya Sumbawanga mkoani Rukwa, Ndikile Sunguli (38) amejichoma ndani ya nyumba hadi kufa baada ya kumjeruhi mke wake katika ugomvi unaoaminika ni wa mapenzi.

 

9 years ago

Mwananchi

Mtumishi wa ndani ajiua kwa khanga

Mtumishi wa kazi za ndani aliyejulikana kwa jina la Rehema,  amekutwa amekufa kwa kujinyonga kwa khanga chumbani kwake kwenye nyumba ya mwajiri wake katika Mtaa wa Ngazengwa, Kata ya Kiwanja cha Ndege Manispaa ya Morogoro.

 

10 years ago

Vijimambo

Polisi ajiua kwa kujipiga risasi.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Suzana Kaganda.
Askari wa Kituo cha Polisi Wilaya ya Sikonge mkoani Tabora, H 3416 PC Charles, amejiua kwa kujipiga risasi.

Baadhi ya wananchi wanaoishi jirani na kituo hicho cha polisi, Paulo Lazaro na Furahisha Felix, walisema tukio hilo lilitokea Aprili 4, mwaka huu, saa 1:00 usiku kituoni hapo.

“Suala hili limetushangaza, kwani sisi tulikuwa nyumbani. Ghafla tulisikia mlio wa bunduki katika kituo cha polisi. Tulipofika, tulimkuta askari huyo akiwa amekufa...

 

10 years ago

Mwananchi

Polisi ajiua kwa risasi kituoni

>Polisi aliyefahamika kwa jina la Charles mwenye namba H 3416 wa Kituo cha Wilaya ya Sikonge mkoani Tabora, amejiua kwa kujipiga risasi akiwa ndani ya kituo.

 

11 years ago

GPL

BILIONEA DAR AJIUA KWA RISASI

Stori: Haruni Sanchawa na Makongoro Oging’
NI jambo lililotoa mshtuko kwa Jeshi la Polisi Wilaya ya Kisarawe, mkoani Pwani ambapo Desemba 10, mwaka huu, walikuta mwili wa binadamu ukiwa ndani ya gari lililopinduka, pembeni mwa Barabara ya Kisarawe - Mwaneromango. Mbali na mwili, ndani ya gari hilo aina ya Toyota RAV 4 (milango mitatu new model) lenye namba za usajili T 273 AKP kulikutwa bastola moja, risasi 85 na magazini...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani