Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mume ajiua kwa sumu ukweni

MFANYABIASHARA wa mjini Tarime mkoani Mara, Wilson Weso maarufu Kishimba (34) amekufa kwa kile alichodaiwa amekunywa sumu nyumbani kwa baba mkwe wake.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MUME AFUKUZWA UKWENI!

Richard Bukos, Dar
HII ni dunia ya mambo mengi! Mkazi wa Kigogo -Luhanga jijini Dar, aliyefahamika kwa jina la baba Juma, Jumamosi iliyopita alijikuta akitimuliwa ukweni sanjari na mkewe, Mwanahamisi Njama kwa madai amekuwa akishindwa kutoa ushirikiano wakati wa kuchangia chakula kwenye familia ya mkewe. Baba Juma akitimuliwa ukweni. Katika sakata hilo, baba Juma inasemekana amekuwa akiishi ukweni hapo ambapo masuala ya msosi...

 

10 years ago

GPL

MUME AJINYONGA UKWENI

Na Gregory Nyankaira, Butiama, Mara.
Mkazi mmoja wa Kijiji cha Nyamisisi, Kata ya Kukirango, wilayani Butiama,  Ryakora Kurwijira (34) amejinyonga hadi kufa kwa kutumia shati lake akiwa ukweni baada ya kukataliwa na mkewe aliyekuwa akiishi naye. Marehemu Ryakora Kurwijira (kushoto) aliyejinyonga hadi kufa baada ya kuachwa na mkewe(wa pili kushoto). Habari zilizopatikana kutoka kwa ndugu wa karibu, zinaeleza kwamba marehemu...

 

9 years ago

GPL

MUME WA MTU AFIA UKWENI KWAKE

KALI ya wiki! Mfanyabiashara maarufu jijini Dar, Jagna Issa (35), mkazi wa Magomeni-Mwembechai anadaiwa kufia ukweni na kifo chake kuacha viulizo baada ya maiti yake kukutwa ndani ya kisima cha maji kwenye nyumba ya mkwewe aliyetajwa kwa jina moja la Amina. Marehemu Jagna Issa enzi za uhai wake. MJOMBA WA MAREHEMU ASIMULIA Akizungumza na gazeti hili mapema wiki hii juu ya mkasa huo wa kusikitisha, mjomba wa marehemu Jagna, Ally...

 

10 years ago

GPL

MUME AMCHOMA KISU MKEWE, NAYE ANYWA SUMU

Mayasa Mariwata na Makongoro Oging’
MWANAMKE mmoja mwenye asili ya Kiarabu, Salma Amuri (39) (pichani) mkazi wa Mji Mpya, Kawe jijini Dar, amenusurika kifo baada ya kuchomwa visu sehemu mbalimbali za mwili wake ikiwemo tumboni na mumewe aliyetambulika kwa jina moja la Selemani.Mwanaume huyo naye baada ya tukio hilo alijaribu kujiua kwa kunywa sumu, chanzo kikidaiwa kuwa ni wivu wa mapenzi. Salma Amuri anayedaiwa...

 

11 years ago

Habarileo

Mfanyabiashara ajiua kwa risasi

MFANYABIASHARA wa madini, Richard Lucas (29) anadaiwa kujiua kwa kujipiga risasi kichwani baada ya kusababisha ajali mbili tofauti.

 

10 years ago

Vijimambo

Polisi ajiua kwa kujipiga risasi.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora, Suzana Kaganda.
Askari wa Kituo cha Polisi Wilaya ya Sikonge mkoani Tabora, H 3416 PC Charles, amejiua kwa kujipiga risasi.

Baadhi ya wananchi wanaoishi jirani na kituo hicho cha polisi, Paulo Lazaro na Furahisha Felix, walisema tukio hilo lilitokea Aprili 4, mwaka huu, saa 1:00 usiku kituoni hapo.

“Suala hili limetushangaza, kwani sisi tulikuwa nyumbani. Ghafla tulisikia mlio wa bunduki katika kituo cha polisi. Tulipofika, tulimkuta askari huyo akiwa amekufa...

 

10 years ago

Mwananchi

Polisi ajiua kwa risasi kituoni

>Polisi aliyefahamika kwa jina la Charles mwenye namba H 3416 wa Kituo cha Wilaya ya Sikonge mkoani Tabora, amejiua kwa kujipiga risasi akiwa ndani ya kituo.

 

9 years ago

Mwananchi

Mtumishi wa ndani ajiua kwa khanga

Mtumishi wa kazi za ndani aliyejulikana kwa jina la Rehema,  amekutwa amekufa kwa kujinyonga kwa khanga chumbani kwake kwenye nyumba ya mwajiri wake katika Mtaa wa Ngazengwa, Kata ya Kiwanja cha Ndege Manispaa ya Morogoro.

 

10 years ago

Habarileo

Mwanafunzi ajiua kwa shuka hospitalini

KATIKA hali isiyotarajiwa, mwanafunzi wa Kidato cha Tano katika Shule ya Sekondari ya Wavulana Ihungo Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera, Ezra Gerald (19), amejinyonga hadi kufa kwa kutumia shuka ya hospitali, alikokuwa amelazwa kwa kile kinachoeleza alikuwa anasumbuliwa na homa ya matumbo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani