Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MUME WA MTU AFIA UKWENI KWAKE

KALI ya wiki! Mfanyabiashara maarufu jijini Dar, Jagna Issa (35), mkazi wa Magomeni-Mwembechai anadaiwa kufia ukweni na kifo chake kuacha viulizo baada ya maiti yake kukutwa ndani ya kisima cha maji kwenye nyumba ya mkwewe aliyetajwa kwa jina moja la Amina. Marehemu Jagna Issa enzi za uhai wake. MJOMBA WA MAREHEMU ASIMULIA Akizungumza na gazeti hili mapema wiki hii juu ya mkasa huo wa kusikitisha, mjomba wa marehemu Jagna, Ally...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MUME AJINYONGA UKWENI

Na Gregory Nyankaira, Butiama, Mara.
Mkazi mmoja wa Kijiji cha Nyamisisi, Kata ya Kukirango, wilayani Butiama,  Ryakora Kurwijira (34) amejinyonga hadi kufa kwa kutumia shati lake akiwa ukweni baada ya kukataliwa na mkewe aliyekuwa akiishi naye. Marehemu Ryakora Kurwijira (kushoto) aliyejinyonga hadi kufa baada ya kuachwa na mkewe(wa pili kushoto). Habari zilizopatikana kutoka kwa ndugu wa karibu, zinaeleza kwamba marehemu...

 

10 years ago

GPL

MUME AFUKUZWA UKWENI!

Richard Bukos, Dar
HII ni dunia ya mambo mengi! Mkazi wa Kigogo -Luhanga jijini Dar, aliyefahamika kwa jina la baba Juma, Jumamosi iliyopita alijikuta akitimuliwa ukweni sanjari na mkewe, Mwanahamisi Njama kwa madai amekuwa akishindwa kutoa ushirikiano wakati wa kuchangia chakula kwenye familia ya mkewe. Baba Juma akitimuliwa ukweni. Katika sakata hilo, baba Juma inasemekana amekuwa akiishi ukweni hapo ambapo masuala ya msosi...

 

10 years ago

Habarileo

Mume ajiua kwa sumu ukweni

MFANYABIASHARA wa mjini Tarime mkoani Mara, Wilson Weso maarufu Kishimba (34) amekufa kwa kile alichodaiwa amekunywa sumu nyumbani kwa baba mkwe wake.

 

10 years ago

GPL

FUNDI MIAVULI AFIA NDANI KWAKE, AHARIBIKA!

Na Waandishi Wetu
Wakazi wa Mtoni Kwa Aziz Ally, jijini Dar, wiki iliyopita walipatwa na mshangao baada ya mzee mmoja, Hamisi Mzee Hamisi kukutwa chumbani kwake akiwa amefariki dunia.Mzee huyo ambaye alikuwa ni fundi miavuli maeneo ya Kariakoo, inadaiwa hakuonekana nyumbani kwake kwa siku sita mfululizo huku mlango wake ukiwa wazi. “Kilichotushitua majirani ni harufu kali iliyokuwa ikitokea eneo la usawa wa nyumba ya mzee...

 

10 years ago

GPL

MY GOD! MKE WA MTU AMWAFGIWA MAHARAGE YA MOTO, KISA NI MUME WA MTU

Stori:  Dustan Shekidele, Morogoro My God! Mke wa mtu, Mwajuma Prima amelazwa Hospitali ya Mkoa wa Morogoro baada ya kumwagiwa mwilini sufuria la maharage yalitokuwa yakichemka jikoni, kisa kupeleka maneno ya umbeya kwa mume wa mtu. Mke wa mtu, Mwajuma Prima akiwa Hospitali ya Mkoa wa Morogoro. Tukio hilo la kusikitisha lilijiri juzikati majira ya saa 12:00 jioni ambapo mwanamke aliyetajwa kwa jina moja la Fatuma ndiye...

 

11 years ago

GPL

MUME WA MTU AFA AKIWA NA MKE WA MTU

NI gumzo la aina yake ndani ya mji wa Kibaha mkoani Pwani ambapo mume wa mtu aliyejulikana kwa jina la Vedasto Ager (43) amefariki dunia baada ya kupata ajali ya kugongwa na gari aina ya Fuso akiwa amempakiza mke wa mtu kwenye pikipiki. Mwili wa marehemu Vedasto Ager ukiwa kwenye jeneza tayari kwa kuagwa. Kifo cha Vedasto kilichotokea Aprili 6, mwaka huu kimeacha maswali kibao kutokana na muda
wa tukio hilo kuwa usiku wa saa...

 

10 years ago

GPL

MUME WA MTU ALIVYOAIBIKA

Stori: Mwandishi Wetu,Kahama AIBU! Mwanaume aliyetambulika kwa jina moja la Joseph amejikuta akiaibika vikali kufuatia kudaiwa kunaswa akiwa na mwanamke mwingine ilhali yeye ni mume wa mwanamke aitwaye Sophia, Amani limenyetishiwa. Joseph akipewa kichapo na wananchi. Kwa mujibu wa mashuhuda, aibu hiyo ilimkuta Joseph, Februari 14, mwaka huu (Siku ya Wapendanao Duniani) kwenye Kitongoji cha Nyihongo wilayani Kahama, Shinyanga...

 

10 years ago

GPL

AUNT MUME WA MTU WANASWA!

Stori: Musa Mateja, Mwanza STAA wa filamu za Kibongo asiyekaukiwa na vituko, Aunt Ezekiel amenaswa live akijivinjari na mume wa mtu, Risasi Mchanganyiko linaripoti bila woga. Staa wa filamu za Kibongo asiyekaukiwa na vituko, Aunt Ezekiel (katikati) akiwa karibu na dansa wa Wasafi Classic, Moses Yobo. Aunt alinaswa akiwa na mnenguaji wa Wasafi Classic, Moses Yobo anayepiga mzigo chini ya Nasib Abdul ‘Diamond’ katika...

 

11 years ago

GPL

MASOGANGE: NAOGOPA MUME WA MTU

Na Imelda Mtema
VIDEO Queen mwenye figa matata Bongo, Agnes Jerald ‘Masogange’ amesema anaogopa kama ukoma kutembea na mume wa mtu kama wafanyavyo baadhi ya watu. Agnes Jerald ‘Masogange’. Akizungumza na paparazi wetu, Agnes ambaye hivi sasa amejiingiza kwenye soko la filamu, alisema anaogopa sana kuingia kwenye uhusiano na mume wa mtu ndiyo maana anaona bora aendelee na mpenzi wake wa siku zote...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani