Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


FUNDI MIAVULI AFIA NDANI KWAKE, AHARIBIKA!

Na Waandishi Wetu
Wakazi wa Mtoni Kwa Aziz Ally, jijini Dar, wiki iliyopita walipatwa na mshangao baada ya mzee mmoja, Hamisi Mzee Hamisi kukutwa chumbani kwake akiwa amefariki dunia.Mzee huyo ambaye alikuwa ni fundi miavuli maeneo ya Kariakoo, inadaiwa hakuonekana nyumbani kwake kwa siku sita mfululizo huku mlango wake ukiwa wazi. “Kilichotushitua majirani ni harufu kali iliyokuwa ikitokea eneo la usawa wa nyumba ya mzee...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Fundi afia nyumba ya wageni

Fundi radio maarufu mjini Singida, Daniel Mosha (50), amefariki dunia wakati akiendelea kupatiwa matibabu katika hospitali ya mkoa mjini hapa, baada ya kuugua ghafla akiwa amelala katika nyumba ya kulala wageni na rafiki yake wa kike.

 

9 years ago

GPL

MUME WA MTU AFIA UKWENI KWAKE

KALI ya wiki! Mfanyabiashara maarufu jijini Dar, Jagna Issa (35), mkazi wa Magomeni-Mwembechai anadaiwa kufia ukweni na kifo chake kuacha viulizo baada ya maiti yake kukutwa ndani ya kisima cha maji kwenye nyumba ya mkwewe aliyetajwa kwa jina moja la Amina. Marehemu Jagna Issa enzi za uhai wake. MJOMBA WA MAREHEMU ASIMULIA Akizungumza na gazeti hili mapema wiki hii juu ya mkasa huo wa kusikitisha, mjomba wa marehemu Jagna, Ally...

 

11 years ago

Habarileo

Mwanafunzi afia ndani ya karo la maji

MWANAFUNZI wa darasa la nne shule ya msingi Mji Mpya aliyetambuliwa kwa jina la Doris Samwel (10) amekutwa amekufa ndani ya karo la maji. Maiti ya mwanafunzi huyo ilikutwa jana saa 2:00 asubuhi maeneo ya Majohe Viwege, Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam.

 

11 years ago

Michuzi

MJUE MBWIGA WA MBWIGUKE,FUNDI SELEMALA ALIYELAMBA DUME NDANI YA REDIO CLOUDS FM

Kikwete na mtangazaji wa Cloud FM Mbwiga MbwigukeRais Dkt. Jakaya Kikwete akipozi katika picha na Mbwiga wa Mbwiguke wa Clouds fm (kulia)
Na Maregesi Paul
SIKU moja nilikuwa katika mkutano wa Jukwaa la Wahariri ambao mgeni rasmi alikuwa Mwenyekiti wa Kampuni za IPP, Reginard Mengi.Katika mazungumzo yake, Mengi aligusia historia ya maisha yake ambapo alisema alikulia katika familia masikini.Kwa mujibu wa Mengi, nyumba aliyokulia ilikuwa na panya wengi pamoja na mende na kwamba kila walipokuwa wakilala usiku, wapita njia walikuwa...

 

11 years ago

Habarileo

Afa, aharibika nyuma ya Kituo cha Polisi

MKAZI wa Kijiji cha Lubungo wilayani Mvomero, Juma Mbega, amekutwa amekufa na mwili wake kuharibika nyuma ya Kituo Kikubwa cha Polisi mkoani Morogoro.

 

11 years ago

Michuzi

VODACOM TANZANIA YATOA MSAADA YA MIAVULI 20 KWA JESHI LA USALAMA BARABARANI

 Menaja Uhusiano wa Umma wa  Vodacom Tanzania Matina Nkurlu(kushoto)akifungua mmoja ya miamvuli(20)kabla ya kuikabidhi rasmi kwa Mkaguzi Msaidi wa usalama barabarani kanda ya Kinondoni ,Byego Marwa(kulia) msaada huo utawawezesha askari wa usalama barabarani kujikinga na mvua wakiwa katika maeneo ya kazi. Hafla hiyo ilifanyika katika kituo cha Polisi Oysterbay jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Mkaguzi Msaidi wa usalama barabarani kanda ya Kinondoni ,Byego Marwa  akipokea msaada wa...

 

9 years ago

Michuzi

UJUMBE WA KAMPUNI YA POLY TECHNOLOGIES, INC. YA CHINA WAMTEMBELEA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI , MHE. MATHIAS CHIKAWE OFISINI KWAKE

  Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe (katikati) akiongea na ujumbe wa Kampuni ya Poly Technologies, Inc. ya China (haupo pichani) uliomtembelea ofisini kwake. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mbarak Abdulwakil na na kulia ni Katibu wa Waziri, Nelson Kaminyoge. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe (katikati) katika picha ya pamoja na ujumbe wa Kampuni ya Poly Technologies, Inc. ya China uliomtembelea ofisini kwake.  Wa pili...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Mtoto afia kisimani

WATU wawili wamefariki dunia katika matukio mawili tofauti jijini Dar es Salaam, likiwemo la mtoto Susan Shadrack (2) mkazi wa Majohe Kivule aliyetumbukia kisimani. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ilala,...

 

10 years ago

GPL

TAJIRI AFIA GESTI ARUSHA

Tajiri mmoja aitwaye Metili amekutwa amefariki akiwa gesti ya Diamond huko Arusha leo, chanzo kikidaiwa kumeza vidonge vya Viagra. (Picha na Global WhatsApp +255 753 779/ Arusha)

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani