Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mwanafunzi afia ndani ya karo la maji

MWANAFUNZI wa darasa la nne shule ya msingi Mji Mpya aliyetambuliwa kwa jina la Doris Samwel (10) amekutwa amekufa ndani ya karo la maji. Maiti ya mwanafunzi huyo ilikutwa jana saa 2:00 asubuhi maeneo ya Majohe Viwege, Wilaya ya Ilala, Dar es Salaam.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

FUNDI MIAVULI AFIA NDANI KWAKE, AHARIBIKA!

Na Waandishi Wetu
Wakazi wa Mtoni Kwa Aziz Ally, jijini Dar, wiki iliyopita walipatwa na mshangao baada ya mzee mmoja, Hamisi Mzee Hamisi kukutwa chumbani kwake akiwa amefariki dunia.Mzee huyo ambaye alikuwa ni fundi miavuli maeneo ya Kariakoo, inadaiwa hakuonekana nyumbani kwake kwa siku sita mfululizo huku mlango wake ukiwa wazi. “Kilichotushitua majirani ni harufu kali iliyokuwa ikitokea eneo la usawa wa nyumba ya mzee...

 

5 years ago

Michuzi

AWESO AMWEKA NDANI MKANDARASI WA MAJI MKINGA KUSHINDWA KUSIMAMIA MRADI WA MAJI MBUTA



NAIBU Waziri wa Maji Juma Aweso katika akiwa na Mbunge wa Jimbo la Mkinga (CCM) Dastani Kitandula kulia na Mkuu wa wilaya ya Mkinga Mark Yona wakitoka kukagua moja ya miradi ya maji inayotekelezwa wilayani humo
NAIBU Waziri wa Maji Jumaa Aweso kulia akiteta jamboi na Diwani wa Kata Mwakijembe kushoto kulia ni Mkuu wa wilaya ya Mkinga Mark Yonna
Mhandisi wa Wakala wa Maji Vijiji (Ruwasa) wilaya ya Mkinga Castory Keneth katika akiwa chini ya ulinzi wa askari kufuatia Naibu Waziri wa Maji...

 

5 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI AWESO AMWEKA NDANI MKANDARASI WA MAJI MKINGA KUSHINDWA KUSIMAMIA MRADI WA MAJI MBUTA


NAIBU Waziri wa Maji Juma Aweso ameliamuru Jeshi la Polisi wilayani Mkinga kumkatama Mhandisi wa Wakala wa Maji Vijiji (Ruwasa) wilaya ya Mkinga Castory Keneth kutokana na kushindwa kusimamia mradi wa maji wa Mbuta na kupelekea kushindwa kukamilika kwa wakati huku wananchi wakiendelea kutekeseka kupata huduma hiyo muhimu.

Mradi huo ulianza 2013 ambapo serikali ilitoa kiasi cha zaidi ya milioni 400 lakini utekelezaji wake ulishindwa kukamilika na kupeleke tatizo la maji kwenye eneo...

 

10 years ago

Habarileo

Mwanafunzi ndani ya mauaji Amboni

Sehemu ya mji wa TangaWAKAZI 10 wa jijini hapa, akiwemo mwanafunzi wa sekondari wamefikishwa mbele ya Mahakama ya Hakimu Mkazi wakikabiliwa na makosa matano tofauti kuhusu tukio la kuwanyang’anya polisi silaha pamoja na kumuua askari wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi Tanzania (JWTZ), Sajenti Mohamed Rashid Kajembe.

 

9 years ago

MillardAyo

Baada ya Danny Mrwanda kusajiliwa na Maji Maji FC na kutowasili, uongozi wa Maji Maji umeamua hivi (+Audio)

Headlines za soka la bongo mtu wangu wa nguvu zimenifikia, safari hii sio kuhusu Simba na Yanga bali ni kuhusu staa wa soka aliyewahi kuvitumikia vilabu hivyo kwa nyakati mbili tofauti Danny Mrwanda, staa huyo ameingia kwenye headlines baada ya kuingia mkataba wa kuitumikia klabu ya Maji Maji FC ya Songea na kupewa malipo yake […]

The post Baada ya Danny Mrwanda kusajiliwa na Maji Maji FC na kutowasili, uongozi wa Maji Maji umeamua hivi (+Audio) appeared first on TZA_MillardAyo.

 

11 years ago

BBCSwahili

Wanafunzi wapinga kuongezwa karo Kenya

Polisi mjini Nairobi wamepambana na wanafunzi wa vyuo vikuu vya umma ambao walifanya maandamano kupinga mpango wa serikali kutaka kupandisha karo

 

10 years ago

BBCSwahili

Harusi ya kipekee ndani ya maji

"maharusi huonekana wakielea ndani ya maji, na picha hizi huwapendeza wengi sana, ''

 

11 years ago

CloudsFM

POLISI AMRUBUNI MWANAFUNZI KUFANYA NAYE MPENZI,AMWACHA CHUMBANI KWAKE,NYUMBA YAKE YAUNGUA MOTO,MWANAFUNZI AFARIKI DUNIA

Wananchi wa Mlangali, Ludewa wakiwa wamekizingira kituo cha polisi Mlangali mara baada ya kuipeleka maiti ya mtoto aliyeteketea kwa moto katika kituo hicho.KIONGOZI wa mbio za mwenge Kitaifa awatuliza wananchi wa Mlangali wilaya ya Ludewa ambao baadhi yao waliandamana kituo cha polisi kushinikiza kutolewa kwa askari polisi aliyedaiwa kusababisha kifo cha mtoto ili auwawe.Kiongozi huyo aliwaomba wananchi wa Mlangali kutokubali kujihusisha na vitendo vya uvunjifu wa amani ikiwa ni pamoja na...

 

9 years ago

Mwananchi

Agizo kuhusu karo shule binafsi linatekelezeka?

Tunalazimika kuitahadharisha Serikali kuhusu agizo lake la hivi karibuni la kupiga marufuku shule binafsi kuongeza karo kwa mwaka ujao. Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imetoa agizo hilo kwa madai kwamba imezingatia hali halisi ya uchumi inayowakabili wazazi na walezi wa watoto wanaosoma katika shule hizo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani