Agizo kuhusu karo shule binafsi linatekelezeka?
Tunalazimika kuitahadharisha Serikali kuhusu agizo lake la hivi karibuni la kupiga marufuku shule binafsi kuongeza karo kwa mwaka ujao. Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imetoa agizo hilo kwa madai kwamba imezingatia hali halisi ya uchumi inayowakabili wazazi na walezi wa watoto wanaosoma katika shule hizo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania29 Dec
Wamiliki shule binafsi wafukuzana
Na Samwel Mwanga, Dar es Salaam
UMOJA wa Wamiliki na Mameneja wa Taasisi Binafsi za Elimu Tanzania (Tamongsco) umetangaza kumfukuza kazi Katibu Mkuu wake Benjamin Nkoya akidaiwa kukosa sifa ya kushika wadhifa huo.
Kwa mujibu wa barua ya Oktoba 20, mwaka huu iliyoandikwa na Katibu Mkuu wa Tamongsco Kanda ya Dar es Salaam, Kachwamba Aboubakar, licha ya Nkoya kuwa kiongozi wa taasisi hiyo kwa muda mrefu, lakini hajawahi kulipa ada ya uanachama kwa miaka mitano kinyume cha katiba yao ibara ya...
9 years ago
Habarileo16 Nov
Ada elekezi shule binafsi Januari
ADA elekezi kwa shule za msingi za binafsi zitaanza kufanyiwa majaribio katika baadhi ya mikoa mwezi Januari mwakani, gazeti hili limeelezwa. Hatua hiyo inakuja kutokana na juhudi zinazoendelea kufanywa na Serikali kwa kuhakikisha wataalamu wa masuala ya elimu wanakamilisha kazi ya ukokotoaji wa ada hiyo ili majaribio yake yaanze katika baadhi ya maeneo hapa nchini ifikapo Januari.
9 years ago
Habarileo21 Dec
Ada elekezi shule binafsi tayari
TUME ya wataalamu waliokuwa wanakusanya maoni ya wadau wa elimu na kukokotoa ada elekezi kwa shule za msingi na sekondari zisizo za Serikali, wamemaliza kazi yao na tayari wamekabidhi ripoti hiyo kwa Serikali.
11 years ago
Habarileo02 Mar
‘Ufaulu shule za Serikali, binafsi haupishani’
SERIKALI imesema pamoja na matokeo ya kidato cha nne kuonesha hakuna shule zake zilizoshika nafasi katika 10 bora, hali ya ufaulu ni nzuri na haipishani na zisizo za Serikali.
10 years ago
Habarileo28 Jan
Serikali yazipiga ‘stop’ shule binafsi
WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa amesema Serikali itazinyang’anya leseni ya uendeshaji shule binafsi, ambazo zimeweka viwango vyake vya ufaulu kwa wanafunzi wanaosoma kwenye shule hizo, tofauti na viwango vya Serikali.
9 years ago
Mtanzania08 Dec
Wamiliki shule binafsi waendelea kubanwa
NA CHRISTINA GAULUHANGA, DAR ES SALAAM
SERIKALI imetoa wiki mbili kwa wamiliki wa shule za binafsi kuhakikisha wanawasilisha vibali vya ada wanazotoza hivi sasa na watakaokiuka agizo hilo watachukuliwa hatua za kinidhamu.
Pia imewataka wamiliki wa shule hizo kutoongeza ada kwa mwaka wa masomo unaoanzia Januari, 2016 hadi watakapopata maelekezo kutoka kwa Kamishna wa Elimu.
Akizungumza na MTANZANIA jijini Dar es Salaam jana, Ofisa Habari wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Oliver Kato...
9 years ago
Habarileo04 Dec
Marufuku shule za binafsi kuongeza ada
WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imepiga marufuku shule binafsi kuongeza gharama za uendeshaji wa shule, zikiwemo ada kwa mwaka wa masomo unaoanzia mwezi Januari mwaka ujao mpaka watakapopata maelekezo kutoka kwa Kamishna wa Elimu nchini.
9 years ago
Mwananchi01 Jan
Ada elekezi kufunga shule binafsi
11 years ago
Tanzania Daima21 Apr
Serikali kuendeleza ushirikiano na shule binafsi
SERIKALI imeahidi kuendelea kufanya kazi kwa karibu na wamiliki wa shule binafsi wanaoonyesha nia ya wazi kuisaidia kutoa elimu bora kwa Watanzania. Ahadi hiyo ilitolewa jijini Dar es Salaam mwishoni...