Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wamiliki shule binafsi wafukuzana

Na Samwel Mwanga, Dar es Salaam

UMOJA wa Wamiliki na Mameneja wa Taasisi Binafsi za Elimu Tanzania (Tamongsco) umetangaza kumfukuza kazi Katibu Mkuu wake Benjamin Nkoya akidaiwa kukosa sifa ya kushika wadhifa huo.

Kwa mujibu wa barua ya Oktoba 20, mwaka huu iliyoandikwa na Katibu Mkuu wa Tamongsco Kanda ya Dar es Salaam, Kachwamba Aboubakar, licha ya Nkoya kuwa kiongozi wa taasisi hiyo kwa muda mrefu, lakini hajawahi kulipa ada ya uanachama kwa miaka mitano kinyume cha katiba yao ibara ya...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mtanzania

Wamiliki shule binafsi waendelea kubanwa

NA CHRISTINA GAULUHANGA, DAR ES SALAAM

SERIKALI imetoa wiki mbili kwa wamiliki wa shule za binafsi kuhakikisha wanawasilisha vibali vya ada wanazotoza hivi sasa na watakaokiuka agizo hilo watachukuliwa hatua za kinidhamu.

Pia imewataka wamiliki wa shule hizo kutoongeza ada kwa mwaka wa masomo unaoanzia Januari, 2016 hadi watakapopata maelekezo kutoka kwa Kamishna wa Elimu.

Akizungumza na MTANZANIA jijini Dar es Salaam jana, Ofisa Habari wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Oliver Kato...

 

9 years ago

Habarileo

Wamiliki wa shule wawapoza wazazi

WAMILIKI wa shule binafsi nchini wamesema shule zitafunguliwa kama kawaida mwakani na wamewataka wazazi wa wanafunzi kuondoa hofu, iliyosababishwa na taarifa kwenye vyombo vya habari kwamba hazitafunguliwa.

 

11 years ago

Habarileo

Wamiliki wa shule wapongeza Serikali

CHAMA cha Wamiliki wa Shule na Vyuo Binafsi nchini (TAMONGSCO), kimeeleza kufurahishwa na ushirikiano unaoendelea baina yake na Serikali.

 

11 years ago

Habarileo

‘Ufaulu shule za Serikali, binafsi haupishani’

Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru KawambwaSERIKALI imesema pamoja na matokeo ya kidato cha nne kuonesha hakuna shule zake zilizoshika nafasi katika 10 bora, hali ya ufaulu ni nzuri na haipishani na zisizo za Serikali.

 

9 years ago

Habarileo

Ada elekezi shule binafsi Januari

ADA elekezi kwa shule za msingi za binafsi zitaanza kufanyiwa majaribio katika baadhi ya mikoa mwezi Januari mwakani, gazeti hili limeelezwa. Hatua hiyo inakuja kutokana na juhudi zinazoendelea kufanywa na Serikali kwa kuhakikisha wataalamu wa masuala ya elimu wanakamilisha kazi ya ukokotoaji wa ada hiyo ili majaribio yake yaanze katika baadhi ya maeneo hapa nchini ifikapo Januari.

 

9 years ago

Mwananchi

Ada elekezi kufunga shule binafsi

Uamuzi wa Serikali kuandaa ada elekezi kwa vyuo, shule za msingi na sekondari zinazomilikiwa na watu binafsi au mashirika ya dini, unatarajiwa kuwaweka wamiliki wake katika wakati mgumu na huenda ukawa mwanzo wa mwisho wa baadhi ya shule.

 

9 years ago

Habarileo

Ada elekezi shule binafsi tayari

TUME ya wataalamu waliokuwa wanakusanya maoni ya wadau wa elimu na kukokotoa ada elekezi kwa shule za msingi na sekondari zisizo za Serikali, wamemaliza kazi yao na tayari wamekabidhi ripoti hiyo kwa Serikali.

 

10 years ago

Habarileo

Serikali yazipiga ‘stop’ shule binafsi

Dk Shukuru Kawambwa WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Dk Shukuru Kawambwa amesema Serikali itazinyang’anya leseni ya uendeshaji shule binafsi, ambazo zimeweka viwango vyake vya ufaulu kwa wanafunzi wanaosoma kwenye shule hizo, tofauti na viwango vya Serikali.

 

9 years ago

Habarileo

Marufuku shule za binafsi kuongeza ada

WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imepiga marufuku shule binafsi kuongeza gharama za uendeshaji wa shule, zikiwemo ada kwa mwaka wa masomo unaoanzia mwezi Januari mwaka ujao mpaka watakapopata maelekezo kutoka kwa Kamishna wa Elimu nchini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani