Wamiliki shule binafsi waendelea kubanwa
NA CHRISTINA GAULUHANGA, DAR ES SALAAM
SERIKALI imetoa wiki mbili kwa wamiliki wa shule za binafsi kuhakikisha wanawasilisha vibali vya ada wanazotoza hivi sasa na watakaokiuka agizo hilo watachukuliwa hatua za kinidhamu.
Pia imewataka wamiliki wa shule hizo kutoongeza ada kwa mwaka wa masomo unaoanzia Januari, 2016 hadi watakapopata maelekezo kutoka kwa Kamishna wa Elimu.
Akizungumza na MTANZANIA jijini Dar es Salaam jana, Ofisa Habari wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Oliver Kato...
Mtanzania
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania29 Dec
Wamiliki shule binafsi wafukuzana
Na Samwel Mwanga, Dar es Salaam
UMOJA wa Wamiliki na Mameneja wa Taasisi Binafsi za Elimu Tanzania (Tamongsco) umetangaza kumfukuza kazi Katibu Mkuu wake Benjamin Nkoya akidaiwa kukosa sifa ya kushika wadhifa huo.
Kwa mujibu wa barua ya Oktoba 20, mwaka huu iliyoandikwa na Katibu Mkuu wa Tamongsco Kanda ya Dar es Salaam, Kachwamba Aboubakar, licha ya Nkoya kuwa kiongozi wa taasisi hiyo kwa muda mrefu, lakini hajawahi kulipa ada ya uanachama kwa miaka mitano kinyume cha katiba yao ibara ya...
10 years ago
Mtanzania11 May
Waliofungiwa CCM waendelea kubanwa
NA FREDY AZZAH, Dar es Salaam
CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza ratiba ya vikao vya chama hicho kuanza mwezi huu ikionyesha mchakato wa kuchukua fomu za kuwania kugombea urais utafanyika wakati makada wake sita waliofungiwa wakiendelea kuwa kifungoni.
Akizungumza na MTANZANIA kwa simu jana, Katibu wa Halmashauri Kuu, Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye, alisema baada ya ratiba ya uchaguzi kutangazwa ndani ya chama hicho, wana CCM watatakiwa kuendelea kuheshimu taratibu na sheria za...
10 years ago
Habarileo18 Oct
Wapinzani wa Katiba waendelea kubanwa
SASA ni dhahiri wanasiasa wanaojiandaa kuzunguka nchi nzima kushawishi Watanzania wapige kura ya Hapana kwa Katiba Inayopendekezwa, kibarua chao kimeanza kuwa kigumu kabla hata hawajaanza.
11 years ago
Habarileo05 Mar
Wamiliki wa shule wapongeza Serikali
CHAMA cha Wamiliki wa Shule na Vyuo Binafsi nchini (TAMONGSCO), kimeeleza kufurahishwa na ushirikiano unaoendelea baina yake na Serikali.
9 years ago
Habarileo09 Dec
Wamiliki wa shule wawapoza wazazi
WAMILIKI wa shule binafsi nchini wamesema shule zitafunguliwa kama kawaida mwakani na wamewataka wazazi wa wanafunzi kuondoa hofu, iliyosababishwa na taarifa kwenye vyombo vya habari kwamba hazitafunguliwa.
9 years ago
Habarileo04 Dec
Marufuku shule za binafsi kuongeza ada
WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imepiga marufuku shule binafsi kuongeza gharama za uendeshaji wa shule, zikiwemo ada kwa mwaka wa masomo unaoanzia mwezi Januari mwaka ujao mpaka watakapopata maelekezo kutoka kwa Kamishna wa Elimu nchini.
9 years ago
Mwananchi01 Jan
Ada elekezi kufunga shule binafsi
9 years ago
Habarileo16 Nov
Ada elekezi shule binafsi Januari
ADA elekezi kwa shule za msingi za binafsi zitaanza kufanyiwa majaribio katika baadhi ya mikoa mwezi Januari mwakani, gazeti hili limeelezwa. Hatua hiyo inakuja kutokana na juhudi zinazoendelea kufanywa na Serikali kwa kuhakikisha wataalamu wa masuala ya elimu wanakamilisha kazi ya ukokotoaji wa ada hiyo ili majaribio yake yaanze katika baadhi ya maeneo hapa nchini ifikapo Januari.
11 years ago
Tanzania Daima21 Apr
Serikali kuendeleza ushirikiano na shule binafsi
SERIKALI imeahidi kuendelea kufanya kazi kwa karibu na wamiliki wa shule binafsi wanaoonyesha nia ya wazi kuisaidia kutoa elimu bora kwa Watanzania. Ahadi hiyo ilitolewa jijini Dar es Salaam mwishoni...