Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Waliofungiwa CCM waendelea kubanwa

NapeNA FREDY AZZAH, Dar es Salaam
CHAMA cha Mapinduzi (CCM) kimetangaza ratiba ya vikao vya chama hicho kuanza mwezi huu ikionyesha mchakato wa kuchukua fomu za kuwania kugombea urais utafanyika wakati makada wake sita waliofungiwa wakiendelea kuwa kifungoni.
Akizungumza na MTANZANIA kwa simu jana, Katibu wa Halmashauri Kuu, Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye, alisema baada ya ratiba ya uchaguzi kutangazwa ndani ya chama hicho, wana CCM watatakiwa kuendelea kuheshimu taratibu na sheria za...

Mtanzania

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Wapinzani wa Katiba waendelea kubanwa

Mwenyekiti wa GFC, Victoria MandariSASA ni dhahiri wanasiasa wanaojiandaa kuzunguka nchi nzima kushawishi Watanzania wapige kura ya Hapana kwa Katiba Inayopendekezwa, kibarua chao kimeanza kuwa kigumu kabla hata hawajaanza.

 

9 years ago

Mtanzania

Wamiliki shule binafsi waendelea kubanwa

NA CHRISTINA GAULUHANGA, DAR ES SALAAM

SERIKALI imetoa wiki mbili kwa wamiliki wa shule za binafsi kuhakikisha wanawasilisha vibali vya ada wanazotoza hivi sasa na watakaokiuka agizo hilo watachukuliwa hatua za kinidhamu.

Pia imewataka wamiliki wa shule hizo kutoongeza ada kwa mwaka wa masomo unaoanzia Januari, 2016 hadi watakapopata maelekezo kutoka kwa Kamishna wa Elimu.

Akizungumza na MTANZANIA jijini Dar es Salaam jana, Ofisa Habari wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Oliver Kato...

 

10 years ago

GPL

MAKADA SITA WALIOFUNGIWA CCM SASA HURU

Mh. Edward Lowassa. Mh. Bernard Membe. Mh. Stephen Wasira. Mh. January…

 

10 years ago

Mwananchi

CCM, Ukawa waendelea kuchuana

Wasimamizi wa uchaguzi katika maeneo mbalimbali nchini, jana waliendelea kutangaza matokeo ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa, ambayo yameonyesha vyama vya upinzani vikichomoza na ushindi katika sehemu ambazo awali, hazikuwa ngome yake.

 

9 years ago

Raia Mwema

CCM Babati waendelea kushikana ‘uchawi’

MGOGORO uliokumba Chama Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Babati umezidi kushika “kasi” kufuatia hatu

Paul Sarwatt

 

10 years ago

Habarileo

Mchakato urais CCM waendelea kunguruma

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Abdulrahman KinanaKADA mwingine wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) jana alijitokeza kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa nafasi ya urais kwa chama hicho, katika Uchaguzi Mkuu wa 2015.

 

9 years ago

Mwananchi

CCM, Chadema waendelea kukabana umeya, uenyekiti

Vyama vya CCM na Chadema vinaendelea kukabana koo maeneo mbalimbali katika kuwania nafasi ya umeya na uenyekiti wa halmashauri.

 

9 years ago

CCM Blog

WABUNGE WA CCM WAENDELEA KUCUKUA FOMU ZA USPIKA



Mbunge wa Jimbo la Ilala Mussa Azzan Zungu (kulia)akikabidhiwa fomu za kuwania nafasi ya Unaibu Spika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka kwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa anayeshughulikia Oganaizesheni,  Ndugu Mohamed Seif Khatib
 Mbunge wa Jimbo la Ilala Mussa Azzan Zungu akionesha fomu za kuwania nafasi ya Unaibu Spika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka kwa waandishi wa habari waliojitokeza kwenye ofisi ndogo za CCM Lumumba.
 Mbunge wa Jimbo la Ilala Mussa Azzan Zungu...

 

10 years ago

Vijimambo

Urais, ubunge kiza kinene CCM., Wagombea waendelea kuumiza vichwa.

Katibu wa Halmashauri Kuu (Nec), Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye.
Wakati wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wakiendelea kupiga `jalamba' kujiandaa kuchukua fomu za kuwania urais, ubunge na udiwani katika uchaguzi mkuu mwaka huu, chama hicho bado kimeweka usiri wa lini kitatoa ratiba rasmi ili kuwawezesha watu wanaotaka kuwania nafasi hizo kuanza kuchukua fomu.

Tofauti na miaka yote, chama hicho kikongwe kimekuwa kikitangaza ratiba mapema kuwawezesha wanachama wake kufahamu utaratibu wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani