Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CCM, Chadema waendelea kukabana umeya, uenyekiti

Vyama vya CCM na Chadema vinaendelea kukabana koo maeneo mbalimbali katika kuwania nafasi ya umeya na uenyekiti wa halmashauri.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Chadema, CCM wachuana umeya

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na CCM vimechuana katika uchaguzi wa umeya na uenyekiti wa halmashauri za wilaya katika mikoa mbalimbali nchini.     

 

9 years ago

Mtanzania

Umeya waivuruga CCM, Chadema

DSC_0373-FILEminimizerNa Waandishi Wetu

UCHAGUZI wa umeya katika manispaa mbalimbali umedaiwa kuanza kukivuruga Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).

Kutokana na kuvurugwa huko, vyama hivyo vimeanza kulazimisha kutumia mbinu mbadala kuhakikisha vinashinda uchaguzi huo unaofanyika nchi nzima.

Moja ya mbinu wanazodaiwa kutumia ni kulazimisha wabunge wa viti maalumu kwenda kujisajili katika manispaa za mikoa mingine kama madiwani ili waweze kupiga kura katika uchaguzi wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Ukawa, CCM wazidi kukabana koo uchaguzi wa marudio

Matokeo ya uchaguzi wa marudio wa viongozi wa serikali za mitaa uliofanyika juzi yameonyesha kuwa pamoja na CCM kuendelea kuongoza, chama hicho tawala kimepoteza viti katika maeneo kadhaa.

 

9 years ago

Mwananchi

Madiwani watano Chadema kuwania umeya Arusha

Madiwani watano wa Chadema katika Jiji la Arusha, wameanza harakati za kuteuliwa kushika nafasi ya meya, baada ya chama hicho kushinda viti 24 vya udiwani kati ya 25 vilivyopo.

 

9 years ago

Mwananchi

Umeya wavipasua vichwa Chadema, ACT Wazalendo

Uchaguzi wa umeya katika mji wa Moshi, Kigoma Ujiji na Jiji la Arusha unaonekana kuwa kaa la moto katika vyama vya upinzani ambavyo ndivyo vinaongoza katika miji hiyo miwili. 

 

9 years ago

Mwananchi

Madiwani wanne Chadema wajitokeza umeya Kinondoni

Madiwani wanne wa Chadema Manispaa ya Kinondoni wamejitokeza kuwania umeya.

 

9 years ago

Mwananchi

Chadema yapitisha mgombea umeya wa jiji la Dar

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetaja majina ya madiwani wake watatu watakaowania umeya wa manispaa za Ilala, Konondoni na Jiji la Dar es Salaam, huku kikijihakikishia ushindi kutokana na kuwa na idadi kubwa ya madiwani katika manispaa hizo, kuliko wa CCM.

 

9 years ago

Mwananchi

Saba CCM wawania umeya Tabora

Madiwani saba wamejitokeza kuwania umeya wa Manispaa ya Tabora, huku watano wakiutaka unaibu meya ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM).

 

10 years ago

Uhuru Newspaper

Uenyekiti waipasua CHADEMA

Mikakati kumtosa mpinzani wa Mbowe yaivaWagombea wengine wageuzwa kiini macho Mtandao wa Zitto hatari, kuendelea kufyekwa NA MWANDISHI WETU
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimetangaza majina ya makada wake wanaowania nafasi za uongozi ngazi ya taifa huku majina ya vigogo na wabunge yakisheheni.
Tayari uchaguzi huo umezidi kukiweka njiapanda chama hicho kutokana na makada wengi kuenguliwa kwenye ngazi za majimbo na mikoa, ikiwa ni mkakati wa kuwatosa wanachama wapenda...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani