Saba CCM wawania umeya Tabora
Madiwani saba wamejitokeza kuwania umeya wa Manispaa ya Tabora, huku watano wakiutaka unaibu meya ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM).
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo20 Nov
5 wawania umeya
KINYANG’ANYIRO cha kumsaka Meya wa Jiji la Arusha kinashika kasi kwani madiwani watano wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wameonesha nia ya kuwania kiti cha Umeya wa Jiji la Arusha.
9 years ago
Habarileo19 Nov
5 wawania umeya, makamu
MADIWANI watano kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Lindi Mjini mkoani hapa, wamejitokeza kuchukua fomu na kurudisha wakiwania ridhaa ya chama hicho kugombea nafasi ya Meya na makamu wake kwenye uchaguzi utakaofanyika mwezi huu katika Manispaa ya Lindi.
9 years ago
Mtanzania12 Dec
Umeya waivuruga CCM, Chadema
Na Waandishi Wetu
UCHAGUZI wa umeya katika manispaa mbalimbali umedaiwa kuanza kukivuruga Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Kutokana na kuvurugwa huko, vyama hivyo vimeanza kulazimisha kutumia mbinu mbadala kuhakikisha vinashinda uchaguzi huo unaofanyika nchi nzima.
Moja ya mbinu wanazodaiwa kutumia ni kulazimisha wabunge wa viti maalumu kwenda kujisajili katika manispaa za mikoa mingine kama madiwani ili waweze kupiga kura katika uchaguzi wa...
9 years ago
Mwananchi11 Dec
Chadema, CCM wachuana umeya
10 years ago
Habarileo28 Feb
Kiama wawania Urais CCM leo
KAMATI Kuu ya CCM (CC) iliyosubiriwa kwa muda mrefu, hatimaye inakutana leo na suala kubwa linalotarajiwa na wanachama na wananchi, ni tathmini ya hukumu ya vigogo sita wa chama, waliokuwa wakitumikia adhabu baada ya kubainika kuanza kampeni za urais mapema.
10 years ago
Habarileo11 May
Bano awaonya wawania ubunge CCM
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) wilayani Arusha kimewaonya makada wake waliojitokeza na kutangaza nia ya kuwania ubunge Jimbo la Arusha Mjini, kuacha tabia ya kuchafuana na kuanza kampeni kabla ya muda.
10 years ago
Habarileo10 Aug
Hatma ya wawania ubunge CCM wiki hii
CHAMA Cha Mpinduzi (CCM) kimeingia katika hatua za mwisho za mchakato wa kuwapata wagombea ubunge, uwakilishi na udiwani kwa majina yote kufikishwa kwenye vikao vya juu kabisa vya Kamati Kuu na Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) vinavyofanyika mjini hapa ili kujadiliwa na hatimaye kupitishwa.
10 years ago
Habarileo16 Jul
Wanachama 17 CCM wawania ubunge majimbo ya Dodoma
MAKADA 17 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wamejitokeza kuchukua fomu za kuwania Ubunge katika Majimbo ya Dodoma Mjini, Mtera, Chilonwa, Mpwapwa na Kibakwe.
9 years ago
Mwananchi13 Dec
CCM, Chadema waendelea kukabana umeya, uenyekiti