Chadema, CCM wachuana umeya
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na CCM vimechuana katika uchaguzi wa umeya na uenyekiti wa halmashauri za wilaya katika mikoa mbalimbali nchini. Â Â Â
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mtanzania12 Dec
Umeya waivuruga CCM, Chadema
Na Waandishi Wetu
UCHAGUZI wa umeya katika manispaa mbalimbali umedaiwa kuanza kukivuruga Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).
Kutokana na kuvurugwa huko, vyama hivyo vimeanza kulazimisha kutumia mbinu mbadala kuhakikisha vinashinda uchaguzi huo unaofanyika nchi nzima.
Moja ya mbinu wanazodaiwa kutumia ni kulazimisha wabunge wa viti maalumu kwenda kujisajili katika manispaa za mikoa mingine kama madiwani ili waweze kupiga kura katika uchaguzi wa...
9 years ago
Mwananchi27 Aug
Chadema, CCM wachuana matangazo ya televisheni
9 years ago
Mwananchi13 Dec
CCM, Chadema waendelea kukabana umeya, uenyekiti
10 years ago
Habarileo08 Jul
Chadema wachuana ubunge Tabora Mjini
WANACHAMA watano wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wametangaza kuingia katika kinyang’anyiro cha kuomba kuteuliwa katika Ukawa kuwania ubunge jimbo la Tabora Mjini.
9 years ago
Mwananchi07 Nov
Madiwani watano Chadema kuwania umeya Arusha
9 years ago
Mwananchi19 Dec
Chadema yapitisha mgombea umeya wa jiji la Dar
9 years ago
Mwananchi27 Nov
Umeya wavipasua vichwa Chadema, ACT Wazalendo
9 years ago
Mwananchi28 Nov
Madiwani wanne Chadema wajitokeza umeya Kinondoni
9 years ago
Mwananchi01 Dec
Saba CCM wawania umeya Tabora