Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chadema yapitisha mgombea umeya wa jiji la Dar

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetaja majina ya madiwani wake watatu watakaowania umeya wa manispaa za Ilala, Konondoni na Jiji la Dar es Salaam, huku kikijihakikishia ushindi kutokana na kuwa na idadi kubwa ya madiwani katika manispaa hizo, kuliko wa CCM.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

CHADEMA Blog

Ndalichako ajitosa Umeya jiji la Dar

DIWANI wa Kata ya Chang’ombe kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Benjamini Lazaro Ndalichako amejitosa rasmi katika kinyan’ganyiro cha kuwania Umeya wa Jiji la Dar es Saalam.Anaandika Michael Sarungi … (endelea).Ndalichako ni diwani wa kwanza kurejesha fomu ya kuwania nafasi hiyo huku milango ya chama hicho kwa nafasi hiyo ikiwa wazi hadi kesho saa nne.Akizungumza na waandishi

 

9 years ago

Mtanzania

Umeya waivuruga CCM, Chadema

DSC_0373-FILEminimizerNa Waandishi Wetu

UCHAGUZI wa umeya katika manispaa mbalimbali umedaiwa kuanza kukivuruga Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).

Kutokana na kuvurugwa huko, vyama hivyo vimeanza kulazimisha kutumia mbinu mbadala kuhakikisha vinashinda uchaguzi huo unaofanyika nchi nzima.

Moja ya mbinu wanazodaiwa kutumia ni kulazimisha wabunge wa viti maalumu kwenda kujisajili katika manispaa za mikoa mingine kama madiwani ili waweze kupiga kura katika uchaguzi wa...

 

9 years ago

Mwananchi

Chadema, CCM wachuana umeya

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na CCM vimechuana katika uchaguzi wa umeya na uenyekiti wa halmashauri za wilaya katika mikoa mbalimbali nchini.     

 

9 years ago

Mwananchi

Madiwani wanne Chadema wajitokeza umeya Kinondoni

Madiwani wanne wa Chadema Manispaa ya Kinondoni wamejitokeza kuwania umeya.

 

9 years ago

Mwananchi

Madiwani watano Chadema kuwania umeya Arusha

Madiwani watano wa Chadema katika Jiji la Arusha, wameanza harakati za kuteuliwa kushika nafasi ya meya, baada ya chama hicho kushinda viti 24 vya udiwani kati ya 25 vilivyopo.

 

9 years ago

Mwananchi

CCM, Chadema waendelea kukabana umeya, uenyekiti

Vyama vya CCM na Chadema vinaendelea kukabana koo maeneo mbalimbali katika kuwania nafasi ya umeya na uenyekiti wa halmashauri.

 

9 years ago

Mwananchi

Umeya wavipasua vichwa Chadema, ACT Wazalendo

Uchaguzi wa umeya katika mji wa Moshi, Kigoma Ujiji na Jiji la Arusha unaonekana kuwa kaa la moto katika vyama vya upinzani ambavyo ndivyo vinaongoza katika miji hiyo miwili. 

 

10 years ago

Michuzi

JUST IN: MGOMBEA CHADEMA ASHINDA UIENYEKITI MTAA WA MIGOMBANI SEGEREA DAR ES SALAAM


Mgombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa Mtaa wa Migombani Kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasi na Maendeleo (Chadema) Bw. Japhet Kembo akifurahia huku akipongezwa na wanachama na wapenzi wa Chadema mara baada ya kuibuka mshindi wa Kiti cha Mwenyekiti kwa Kupata Kura 510 huku CCM wakiwa wamepata kura 215 na NCCR kupata kura 205
 Mawakala wa wagombea wa nafasi ya Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Migombani wakihesabu kura ambapo sanduku hilo ndio lilikuwa sanduku la mwisho kuhesabiwa katika Kituo...

 

10 years ago

Michuzi

KIKAO CHA KAMATI MAALUM ZANZIBAR YAPITISHA JINA LA MGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR KUPITIA CCM DK. ALI MOHAMED SHEIN

MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein, akipongezwa  na Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal wakati wa Kikao cha Kamati Maalum ya CCM Zanzibar ilokutana ukumbi wa Mkutano Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui kwa ajili ya kupitisha Jina la Mgombea Nafasi ya Urais wa Zanzibar Dk. Shein. VIONGOZI wa Meza Kuu wakiwa katika ukumbi wa Mkutano Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui kwa ajili ya kupitisha Jina la Mgombea Nafasi ya Urais wa Zanzibar Dk. Shein.

NAIBU Katibu Mkuu wa CCM...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani