Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ndalichako ajitosa Umeya jiji la Dar

DIWANI wa Kata ya Chang’ombe kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Benjamini Lazaro Ndalichako amejitosa rasmi katika kinyan’ganyiro cha kuwania Umeya wa Jiji la Dar es Saalam.Anaandika Michael Sarungi … (endelea).Ndalichako ni diwani wa kwanza kurejesha fomu ya kuwania nafasi hiyo huku milango ya chama hicho kwa nafasi hiyo ikiwa wazi hadi kesho saa nne.Akizungumza na waandishi

CHADEMA Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Mwananchi

Chadema yapitisha mgombea umeya wa jiji la Dar

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimetaja majina ya madiwani wake watatu watakaowania umeya wa manispaa za Ilala, Konondoni na Jiji la Dar es Salaam, huku kikijihakikishia ushindi kutokana na kuwa na idadi kubwa ya madiwani katika manispaa hizo, kuliko wa CCM.

 

10 years ago

Michuzi

Mtabiri na mtaalamu wa nyoya Hassan Yahya hussein ajitosa kugombea udiwani kata ya mzimuni, Magomeni, Dar es salaam

Bingwa wa Utabiri nchini na Mtaalamu wa Nyota, hapa nchini ambaye ni  Mrithi na mtoto wa Marehemu Marehemu Sheikh Yahya Hussein, Leo Amejitosa Rasmi na kuchukua Fomu kuomba Ridhaa  kupeperusha Bendera ya CCM Katika Kata ya Mzimuni akigombea UDIWANI

 

9 years ago

Habarileo

5 wawania umeya

KINYANG’ANYIRO cha kumsaka Meya wa Jiji la Arusha kinashika kasi kwani madiwani watano wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) wameonesha nia ya kuwania kiti cha Umeya wa Jiji la Arusha.

 

10 years ago

Michuzi

TASWIRAZZZ MWANANA ZA JIJI LA DAR




KUONA TASWIRA ZAIDI BOFYA HAPA

 

9 years ago

Habarileo

5 wawania umeya, makamu

MADIWANI watano kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Lindi Mjini mkoani hapa, wamejitokeza kuchukua fomu na kurudisha wakiwania ridhaa ya chama hicho kugombea nafasi ya Meya na makamu wake kwenye uchaguzi utakaofanyika mwezi huu katika Manispaa ya Lindi.

 

11 years ago

Mwananchi

Halmashauri ya Jiji Dar ‘yazinduka usingizini’

Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam imetangaza kuanza rasmi usimamizi wa maegesho ya magari jijini Dar es Salaam uliokuwa ukifanywa na Halmashauri za Manispaa Ilala, Kinondoni na Temeke.

 

10 years ago

GPL

AFTER SCHOOL BASH YATIKISA JIJI LA DAR

Umati wa watu waliohudhuria Tamasha la After School Bash eneo la Escape One jana.…

 

11 years ago

Mwananchi

Jiji Dar lajitetea ushuru Ubungo

 Uongozi wa Halmashauri ya Dar es Salaam umetoa ufafanuazi juu ya hatua za kuendelea na ukusanyaji ushuru Kituo Kikuu cha Mabasi Ubungo (UBT), ukisema ushuru huo ni kwa matumizi ya ulinzi, usafi na huduma mbalimbali za jamii.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani