Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Jiji Dar lajitetea ushuru Ubungo

 Uongozi wa Halmashauri ya Dar es Salaam umetoa ufafanuazi juu ya hatua za kuendelea na ukusanyaji ushuru Kituo Kikuu cha Mabasi Ubungo (UBT), ukisema ushuru huo ni kwa matumizi ya ulinzi, usafi na huduma mbalimbali za jamii.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Kilio cha Mdau juu ya ushuru unaolipishwa katika kituo kikuu cha mabasi Ubungo

Salam kwako Ankal na timu nzima ya Globu ya Jamii,
Tunawapongeza sana kwa kazi nzuri mnayoendelea kuifanya ya kutujuza mambo mbali mbali yanayoendelea hapa nchini na nje ya mipaka ya nchi yetu,tunawapa BIGI APU sana kwa kweli.
Kupitia libeneke la Globu ya Jamii,naomba nifikishie kero yangu hii kwa wahusika wa Halmashauri ya Jiji,maana leo nilifika pale kwenye stendi kuu ya mabasi (Ubungo Bus Terminal) na kukutana na  utaratibu wa kulipisha kiasi cha sh. 300 ikiwa ni gharama ya maegesho ya...

 

10 years ago

Habarileo

Watoza ushuru feki waivuruga Dar

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck SadikiKUMEIBUKA vikundi vya watu jijini Dar es Salaam vikidaiwa kujichukulia madaraka ya kukusanya ushuru katika vituo vya daladala na kwa wafanyabiashara kwenye maeneo yasiyoruhusiwa hali ambayo mamlaka zinazohusika na usimamizi zimeshauriwa kuingilia kati kukomesha vitendo hivyo.

 

10 years ago

GPL

WANANCHI WAGOMA KULIPA USHURU KWASABABU YA CHEMBA YA MAJI TAKA – AFRIKA SANA DAR

Chemba iliyowazi kwa muda mrefu maeneo ya Afrika sana.…

 

5 years ago

CCM Blog

MAMBO YA UBUNGO DAR

Daraja la juu likiwa katika hatua za mwisho katika makutano ya Barabara ya Morogoro na Mandela, Ubungo Dar es Salaam. Itakapokamilika itapunguza kwa kiasi kikubwa msongamano wa magari na vyombo vingine vya moto. Daraja hilo lina ghorofa mbili.

 

11 years ago

Michuzi

10 years ago

Raia Tanzania

Ubungo, Kigamboni ni wilaya mpya Dar

RAIS Jakaya Kikwete, akitanguliwa na Waziri Mkuu wake, Mizengo Pinda, kwa nyakati tofauti bungeni wametaja kuanzishwa kwa mkoa mpya wa Songwe na wilaya nyingine mpya sita, huku Jiji la Dar es Salaam likipata wilaya mpya mbili.

Viongozi hao walitoa maelezo hayo jana mjini Dodoma, aliyeanza akiwa Waziri Mkuu Pinda ambaye alifanya hivyo kupitia hotuba yake ya kuahirisha Bunge la 10 huku Rais Kikwete akifanya hivyo kupitia hotuba yake ya kulivunja Bunge hilo kabla ya tangazo rasmi kutolewa...

 

10 years ago

Michuzi

Taswira ya Ubungo jijini Dar es Salaam leo.

 Taswira ya kituo cha Simu 2000 Ubungo jijini Dar es Salaam leo baada ya mgomo wa madereva wa mabasi ya abiria.Picha zote na Avila Kakingo,Globu ya Jamii. Barabara ya Sam Nujoma eneo la Ubungo jijini Dar es Salaam leo. Licha ya mgomo wa madareva Miundombinu ya maji machafu hakuna katika kituo cha Mabasi Yaendayo mikoani cha Ubungo jijini Dar es Salaam.Hakuna kukanyaga maji ni kuruka mawe tuu. Mabasi yakiwa yameegeshwa katika Stendi kuu ya Mabasi yaendayo mikoani-Ubungo jijini Dar es Salaam...

 

10 years ago

Michuzi

HALI ILIVYOKUWA UBUNGO JIJINI DAR LEO

 Baadhi ya Madereva na Makondakta wa Mabasi wanaondelea na Mgomo, wakiwa wamekaa juu ya Kontena zilizopo kwenye Kituo kikuu cha Mabadi, Ubungo jijini Dar es salaam kusubiria mustakabali wao, huku ulinzi Mkali wa Jeshi la Polisi ukiwa umetawala eneo hilo. Ghafla likazuka tukio la kurushwa mawe kutoka kwa watu wasiojulikana waliokuwa nje ya Stendi hiyo na kupeleke watu wote waliokuwa kwenye eneo hilo kukusanyika sehemu moja ili kujinusuru. Hali ilikuwa tete pale mawe yalipokuwa yakirushwa, na...

 

10 years ago

Michuzi

MGOMO WA MADEREVA UBUNGO JIJINI DAR ES SALAAM.

 Katibu Mkuu wa Chama cha Madereva Tanzania (CHAMAMATA),Rashid Salehe akizungumza na madereva (hawapo pichani) katika Kituo kikuu cha Mabasi yaendayo Mikoani Ubungo jijini Dar es Salaam, kuhusiana na mgomo wa mabasi yaendayo mikoani.Makamu Mwenyekiti wa chama cha Madereva Tanzania (CHAMAMATA),akizungumza na Madereva wa mabasi yanayosafirisha abiri (hawapo hewani),waliogoma kusafirisha abiri kwa madai yao ya Mikataba ya kazi pamoja na Ajira za kudumu.  Madereva wakiwa wameshika mabango katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani