Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HALI ILIVYOKUWA UBUNGO JIJINI DAR LEO

 Baadhi ya Madereva na Makondakta wa Mabasi wanaondelea na Mgomo, wakiwa wamekaa juu ya Kontena zilizopo kwenye Kituo kikuu cha Mabadi, Ubungo jijini Dar es salaam kusubiria mustakabali wao, huku ulinzi Mkali wa Jeshi la Polisi ukiwa umetawala eneo hilo. Ghafla likazuka tukio la kurushwa mawe kutoka kwa watu wasiojulikana waliokuwa nje ya Stendi hiyo na kupeleke watu wote waliokuwa kwenye eneo hilo kukusanyika sehemu moja ili kujinusuru. Hali ilikuwa tete pale mawe yalipokuwa yakirushwa, na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

BEI YA MAFUTA ILIVYOKUWA LEO JIJINI DAR BAADA YA KUSHUSHWA

Kituo cha mafuta cha PUMA - Mwenge. OIL COM, Kifungira, Mwenge. TOTAL, Mlimani City, Mwenge.…

 

10 years ago

GPL

TASWIRA ILIVYOKUWA LEO KATIKA VIWANJA VYA SABASABA JIJINI DAR

Katibu wa Matimila- Agri Marketing Services, Innocent Tindwa (kushoto) akishikilia  vitabu vya Eric Shigongo pamoja na mfanyakazi mwenzake kwenye Banda la Shigongo lililopo viwanja vya Sabasaba. Wananchi wakikaguliwa na askari kwa vifaa maalum. Umati wa watu uliofurika viwanjani hapo.igongo.…

 

10 years ago

Michuzi

Taswira ya Ubungo jijini Dar es Salaam leo.

 Taswira ya kituo cha Simu 2000 Ubungo jijini Dar es Salaam leo baada ya mgomo wa madereva wa mabasi ya abiria.Picha zote na Avila Kakingo,Globu ya Jamii. Barabara ya Sam Nujoma eneo la Ubungo jijini Dar es Salaam leo. Licha ya mgomo wa madareva Miundombinu ya maji machafu hakuna katika kituo cha Mabasi Yaendayo mikoani cha Ubungo jijini Dar es Salaam.Hakuna kukanyaga maji ni kuruka mawe tuu. Mabasi yakiwa yameegeshwa katika Stendi kuu ya Mabasi yaendayo mikoani-Ubungo jijini Dar es Salaam...

 

11 years ago

Michuzi

HALI ILIVYOKUWA BAADA YA MVUA YA LEO MCHANA


Mchana wa leo imeshesha mvua kubwa kiasi na kupelekea maeneo mengi ya jiji la Dar es Salaam kuwa kama ionekanavyo pichani.



BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

10 years ago

GPL

HALI ILIVYOKUWA NYUMBANI KWA GWAJIMA LEO

Askari wakiwa nyumbani kwa Gwajima. Makamanda wa polisi wakiwa tayari kwa lolote. Gari lililombeba Gwajima likitoka ndani ya nyumba yake kuelekea kituo kikuu cha polisi kwa ajili ya mahojiano. Mawakili wa…

 

9 years ago

Vijimambo

RAIS ALIPOKUTANA NA MADEREVA LEO UBUNGO PLAZA JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwahutuba madereva kwenye mkutano uliofanyika leo Jumamosi Octoba 3, 2015 jijini Dar.

 

9 years ago

Michuzi

MBUNGE WA JIMBO LA UBUNGO, SAID KUBENEA AFIKISHWA MAHAKAMA YA KISUTU JIJINI DAR LEO.

 Mbunge wa jimbo Ubungo,(Chadema) Saed Kubenea amefikishwa mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam mapema hii leo akielekea katika  chumba cha kusomewa shtaka la kutoa lugha chafu dhidi ya Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda. Mbunge wa jimbo Ubungo,(Chadema) Said Kubenea akiwa na wanachama wa chama cha Demokrasia na Maendeleo, leo mara baada ya kusomewa shitaka lililokuwa likimkabiri katika mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam leo.  Mbunge wa jimbo Ubungo,(Chadema) Saed Kubenea...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani