Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watoza ushuru feki waivuruga Dar

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck SadikiKUMEIBUKA vikundi vya watu jijini Dar es Salaam vikidaiwa kujichukulia madaraka ya kukusanya ushuru katika vituo vya daladala na kwa wafanyabiashara kwenye maeneo yasiyoruhusiwa hali ambayo mamlaka zinazohusika na usimamizi zimeshauriwa kuingilia kati kukomesha vitendo hivyo.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Simba kuwavaa watoza ushuru

WEKUNDU wa Msimbazi Simba leo wanashuka dimbani kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam kuvaana na URA ya Uganda katika mchezo wa kirafiki kwa maandalizi ya Ligi Kuu Tanzania Bara.

 

10 years ago

Mtanzania

Panya Road waivuruga Dar

Kamishna Suleiman Kova

Kamanda wa Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Kamishna Suleiman Kova

Na Waandishi Wetu
GENGE la vijana wanaojihusisha na vitendo vya uhalifu jijini Dar es Salaam linalofahamika zaidi kwa jina la Panya Road, jana usiku lilivamia maeneo mbalimbali ya jiji na kufanya vitendo vya uhalifu.
Taarifa za kufanyika kwa vitendo hivyo vya uhalifu zilifika katika chumba cha habari cha gazeti la MTANZANIA Jumamosi saa 2.00 usiku na dakika chache baadaye zilisambaa katika mitandao ya kijamii huku zikiwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Jiji Dar lajitetea ushuru Ubungo

 Uongozi wa Halmashauri ya Dar es Salaam umetoa ufafanuazi juu ya hatua za kuendelea na ukusanyaji ushuru Kituo Kikuu cha Mabasi Ubungo (UBT), ukisema ushuru huo ni kwa matumizi ya ulinzi, usafi na huduma mbalimbali za jamii.

 

10 years ago

GPL

WANANCHI WAGOMA KULIPA USHURU KWASABABU YA CHEMBA YA MAJI TAKA – AFRIKA SANA DAR

Chemba iliyowazi kwa muda mrefu maeneo ya Afrika sana.…

 

9 years ago

Mtanzania

Umeya waivuruga CCM, Chadema

DSC_0373-FILEminimizerNa Waandishi Wetu

UCHAGUZI wa umeya katika manispaa mbalimbali umedaiwa kuanza kukivuruga Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).

Kutokana na kuvurugwa huko, vyama hivyo vimeanza kulazimisha kutumia mbinu mbadala kuhakikisha vinashinda uchaguzi huo unaofanyika nchi nzima.

Moja ya mbinu wanazodaiwa kutumia ni kulazimisha wabunge wa viti maalumu kwenda kujisajili katika manispaa za mikoa mingine kama madiwani ili waweze kupiga kura katika uchaguzi wa...

 

10 years ago

GPL

usajili wa Okwi waivuruga simba

Emmanuel Okwi. Waandishi Wetu,Dar es Salaam
HATIMAYE kigogo wa Simba, Zacharia Hans Poppe, ameamua kuzima utata uliokuwa ukienea katika ishu ya usajili wa mshambuliaji wao, Mganda, Emmanuel Okwi na kufafanua kuwa ameuzwa na si kwa majaribio kama taarifa zilizoenea hapo awali. Awali, kulikuwa na mkanganyiko wa taarifa mbili tofauti, ambapo nyingine zilisema Okwi ameuzwa huku nyingine zikikanusha kwamba anakwenda kufanya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Usajili wa Domayo waivuruga TFF

SIKU moja baada ya uongozi wa Azam FC kunyaka saini ya aliyekuwa kiungo wa Yanga, Frank Domayo ‘Chumvi’ akiwa kambini Tukuyu, Mbeya, Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal...

 

10 years ago

Mwananchi

Okwi, Jaja bado waivuruga Yanga

Sinema ya mshambuliaji Emmanuel Okwi imefikia patamu baada ya mabosi wa Yanga kuchanganya akili wamwache yeye au mshambuliaji wao mpya Mbrazili Geilson Santos Santana ‘Jaja’ huku kocha mkuu Mbrazili Marcio Maximo akiwa hataki kabisa kusikia habari za Okwi.

 

11 years ago

Habarileo

Trafiki feki akamatwa Dar es Salaam

 Robson MwakyusaPOLISI Kanda Maalumu ya Dar es Salaam inamshikilia na kumhoji Robson Mwakyusa (30), mkazi wa Kijitonyama kwa tuhuma za kujifanya Ofisa wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani