Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Okwi, Jaja bado waivuruga Yanga

Sinema ya mshambuliaji Emmanuel Okwi imefikia patamu baada ya mabosi wa Yanga kuchanganya akili wamwache yeye au mshambuliaji wao mpya Mbrazili Geilson Santos Santana ‘Jaja’ huku kocha mkuu Mbrazili Marcio Maximo akiwa hataki kabisa kusikia habari za Okwi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

TheCitizen

Yanga SC retain Okwi, Jaja axed

 Young Africans SC are set to terminate Geilson Santo Santana’s contract, barely a month after the Jangwani Street giants signed him.

 

11 years ago

GPL

Jaja ampa jukumu zito Okwi Yanga SC

Mshambuliaji wa Yanga, Genilson Santana Santos ‘Jaja’. Na Wilbert Molandi
KOCHA Mkuu wa Yanga, Mbrazili, Marcio Maximo, amewapa majukumu mawinga wake kumpigia krosi nzuri mshambuliaji wake mpya, Genilson Santana Santos ‘Jaja’. Jaja, raia wa Brazil, alitua nchini Julai 15, mwaka huu na kusaini mkataba wa miaka miwili ya kuichezea timu hiyo inayojiandaa na msimu mpya wa Ligi Kuu Bara.
Mawinga wa timu...

 

10 years ago

GPL

usajili wa Okwi waivuruga simba

Emmanuel Okwi. Waandishi Wetu,Dar es Salaam
HATIMAYE kigogo wa Simba, Zacharia Hans Poppe, ameamua kuzima utata uliokuwa ukienea katika ishu ya usajili wa mshambuliaji wao, Mganda, Emmanuel Okwi na kufafanua kuwa ameuzwa na si kwa majaribio kama taarifa zilizoenea hapo awali. Awali, kulikuwa na mkanganyiko wa taarifa mbili tofauti, ambapo nyingine zilisema Okwi ameuzwa huku nyingine zikikanusha kwamba anakwenda kufanya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Jaja awatishia Okwi, Kiiza

UJIO wa Mbrazil mwingine Geilson Santos Santana ‘Jaja’ katika kikosi cha timu ya Yanga, umewaweka katika mstari wa hatari Emmanuel Okwi na Hamis Kiiza, nyota wa kimataifa wa Uganda. Hiyo...

 

10 years ago

Mwananchi

Ni vita ya Jaja, Okwi dimbani

Pambano la watani wa Jadi, Yanga na Simba litafanyika Oktoba 18 huku ubishani mkubwa ukiwa nani ataibuka bora uwanjani kati ya mshambuliaji Genilson Santos ‘Jaja’ wa Yanga na Emmanuel Okwi wa Simba.

 

10 years ago

Mwananchi

Dakika 270, Okwi amfunika Jaja

Siku kumi, kabla ya mchezo wa watani wa jadi, Yanga na Simba, mshambuliaji Genilson

 

10 years ago

Mwananchi

Jaja afuta kesi ya Okwi Fifa

>Kiwango cha juu kilichoonyeshwa na mshambuliaji Genilson Santos ‘Jaja’ kimefanya uongozi wa Yanga, kutupilia mbali wazo la kumshitaki Emmanuel Okwi kwa Shirikisho la Soka la Kimataifa( Fifa).

 

10 years ago

GPL

Maximo, Phiri waungana... kwa Jaja, Okwi

Kocha Mkuu wa Yanga, Mbrazili, Marcio Maximo. Na Wibert Molandi
KOCHA Mkuu wa Yanga, Mbrazili, Marcio Maximo, ameungana na Kocha Mkuu wa Simba, Mzambia, Patrick Phiri, kuilalamikia safu yake ya ushambuliaji inayoshindwa kutumia vyema nafasi nyingi inazopata uwanjani. Phiri ndiye alikuwa kocha wa kwanza kuilalamikia safu yake ya ushambuliaji inayoongozwa na Mganda, Emmanuel Okwi, Amissi Tambwe na Paul Kiongera.Safu ya...

 

10 years ago

Vijimambo

JAJA, COUTINHO, EMERSON WADHIHIRISHA SI KILA MBRAZIL ANAJUA KUCHEZA MPIRA…KIIZA BADO ‘KIDUME’

Na Shaffih Dauda, Dar es salaam.
YANGA SC wamekuwa wateja wa Simba katika mechi mbili za ‘Nani Mtani Jembe’.Desemba 21 mwaka jana walifungwa mabao 3-1 na Mnyama Simba na jana walitandikwa mabao 2-0.Katika mechi ya jana, wachezaji wa kigeni wa Yanga walikuwa Emerson Oliveira, Andrey Coutinho, Kpah Sherman, Mbuyu Twite na Haruna Niyonzima.Hamis Friday Kiiza tayari walishamtoa, lakini cha kuwashauri Yanga ni kufanya kila wawezalo kumbakisha Mganda huyu kabla ya dirisha dogo la usajili kufungwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani