Yanga SC retain Okwi, Jaja axed
 Young Africans SC are set to terminate Geilson Santo Santana’s contract, barely a month after the Jangwani Street giants signed him.
TheCitizen
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi28 Aug
Okwi, Jaja bado waivuruga Yanga
Sinema ya mshambuliaji Emmanuel Okwi imefikia patamu baada ya mabosi wa Yanga kuchanganya akili wamwache yeye au mshambuliaji wao mpya Mbrazili Geilson Santos Santana ‘Jaja’ huku kocha mkuu Mbrazili Marcio Maximo akiwa hataki kabisa kusikia habari za Okwi.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/J9FGucqSAtHV8Cy0PQR3*8ZKiEz73ohQgwRZYp4VWlbxf2FUFTyansqPopx0Kt0RLJVtDB9Ms5njUVAYtKSOHB9KZPttMVnJ/jaja.jpg)
Jaja ampa jukumu zito Okwi Yanga SC
Mshambuliaji wa Yanga, Genilson Santana Santos ‘Jaja’. Na Wilbert Molandi
KOCHA Mkuu wa Yanga, Mbrazili, Marcio Maximo, amewapa majukumu mawinga wake kumpigia krosi nzuri mshambuliaji wake mpya, Genilson Santana Santos ‘Jaja’. Jaja, raia wa Brazil, alitua nchini Julai 15, mwaka huu na kusaini mkataba wa miaka miwili ya kuichezea timu hiyo inayojiandaa na msimu mpya wa Ligi Kuu Bara.
Mawinga wa timu...
11 years ago
Tanzania Daima17 Jul
Jaja awatishia Okwi, Kiiza
UJIO wa Mbrazil mwingine Geilson Santos Santana ‘Jaja’ katika kikosi cha timu ya Yanga, umewaweka katika mstari wa hatari Emmanuel Okwi na Hamis Kiiza, nyota wa kimataifa wa Uganda. Hiyo...
10 years ago
Mwananchi13 Oct
Ni vita ya Jaja, Okwi dimbani
Pambano la watani wa Jadi, Yanga na Simba litafanyika Oktoba 18 huku ubishani mkubwa ukiwa nani ataibuka bora uwanjani kati ya mshambuliaji Genilson Santos ‘Jaja’ wa Yanga na Emmanuel Okwi wa Simba.
10 years ago
Mwananchi07 Oct
Dakika 270, Okwi amfunika Jaja
Siku kumi, kabla ya mchezo wa watani wa jadi, Yanga na Simba, mshambuliaji Genilson
10 years ago
Mwananchi24 Sep
Jaja afuta kesi ya Okwi Fifa
>Kiwango cha juu kilichoonyeshwa na mshambuliaji Genilson Santos ‘Jaja’ kimefanya uongozi wa Yanga, kutupilia mbali wazo la kumshitaki Emmanuel Okwi kwa Shirikisho la Soka la Kimataifa( Fifa).
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/yC7AOXGJlPVaQeT-BmUYyWOppPglguJBJLpYYzKWbHpxW6-IuuyFky5agocfPQVB5SStn*lJ0ELCahwDCJD*i4zvdqFKaKvj/maxi.jpg)
Maximo, Phiri waungana... kwa Jaja, Okwi
Kocha Mkuu wa Yanga, Mbrazili, Marcio Maximo. Na Wibert Molandi
KOCHA Mkuu wa Yanga, Mbrazili, Marcio Maximo, ameungana na Kocha Mkuu wa Simba, Mzambia, Patrick Phiri, kuilalamikia safu yake ya ushambuliaji inayoshindwa kutumia vyema nafasi nyingi inazopata uwanjani. Phiri ndiye alikuwa kocha wa kwanza kuilalamikia safu yake ya ushambuliaji inayoongozwa na Mganda, Emmanuel Okwi, Amissi Tambwe na Paul Kiongera.Safu ya...
10 years ago
Mwananchi22 Aug
Jaja aipaisha Yanga
Mshambuliaji wa Genilson Santos ‘Jaja’ ameanza kwa kishindo kibarua chake Yanga kwa kufunga bao pekee wakiichapa Chipukizi 1-0 kwenye Uwanja wa Gombani, Pemba.
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/v4Ts6wAJqDrvWcOZ-Ev83-TX6tF6a81kn1bjq76tuFYWe364t6KeL*uSUegATFQCqpioDesPpRA4PcDwcrXY8-xeMZbLgs6D/JAJA.jpg)
JAJA ASAINI MIAKA 2 YANGA
Jaja akipokea nakala ya mkataba wake kutoka kwa Katibu Mkuu wa Young Africans, Bw. Beno Njovu leo mara baada ya kusaini kuitumikia kwa miaka miwili. Hatimaye mshamabuliaji Geilson Santos Santana "Jaja"Â raia wa Brazil leo amesaini mkataba wa miaka miwili (2014-2016) kuitumikia timu ya Young Africans kwa ajili ya michuano mbalimbali ikiwemo ya Ligi Kuu ya Vodacom pamoja na mashindano ya Kombe la Shirikisho barani Afrika...
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania