Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Ni vita ya Jaja, Okwi dimbani

Pambano la watani wa Jadi, Yanga na Simba litafanyika Oktoba 18 huku ubishani mkubwa ukiwa nani ataibuka bora uwanjani kati ya mshambuliaji Genilson Santos ‘Jaja’ wa Yanga na Emmanuel Okwi wa Simba.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Jaja awatishia Okwi, Kiiza

UJIO wa Mbrazil mwingine Geilson Santos Santana ‘Jaja’ katika kikosi cha timu ya Yanga, umewaweka katika mstari wa hatari Emmanuel Okwi na Hamis Kiiza, nyota wa kimataifa wa Uganda. Hiyo...

 

10 years ago

Mwananchi

Okwi, Jaja bado waivuruga Yanga

Sinema ya mshambuliaji Emmanuel Okwi imefikia patamu baada ya mabosi wa Yanga kuchanganya akili wamwache yeye au mshambuliaji wao mpya Mbrazili Geilson Santos Santana ‘Jaja’ huku kocha mkuu Mbrazili Marcio Maximo akiwa hataki kabisa kusikia habari za Okwi.

 

10 years ago

Mwananchi

Dakika 270, Okwi amfunika Jaja

Siku kumi, kabla ya mchezo wa watani wa jadi, Yanga na Simba, mshambuliaji Genilson

 

10 years ago

Mwananchi

Jaja afuta kesi ya Okwi Fifa

>Kiwango cha juu kilichoonyeshwa na mshambuliaji Genilson Santos ‘Jaja’ kimefanya uongozi wa Yanga, kutupilia mbali wazo la kumshitaki Emmanuel Okwi kwa Shirikisho la Soka la Kimataifa( Fifa).

 

10 years ago

TheCitizen

Yanga SC retain Okwi, Jaja axed

 Young Africans SC are set to terminate Geilson Santo Santana’s contract, barely a month after the Jangwani Street giants signed him.

 

11 years ago

GPL

Jaja ampa jukumu zito Okwi Yanga SC

Mshambuliaji wa Yanga, Genilson Santana Santos ‘Jaja’. Na Wilbert Molandi
KOCHA Mkuu wa Yanga, Mbrazili, Marcio Maximo, amewapa majukumu mawinga wake kumpigia krosi nzuri mshambuliaji wake mpya, Genilson Santana Santos ‘Jaja’. Jaja, raia wa Brazil, alitua nchini Julai 15, mwaka huu na kusaini mkataba wa miaka miwili ya kuichezea timu hiyo inayojiandaa na msimu mpya wa Ligi Kuu Bara.
Mawinga wa timu...

 

10 years ago

GPL

Maximo, Phiri waungana... kwa Jaja, Okwi

Kocha Mkuu wa Yanga, Mbrazili, Marcio Maximo. Na Wibert Molandi
KOCHA Mkuu wa Yanga, Mbrazili, Marcio Maximo, ameungana na Kocha Mkuu wa Simba, Mzambia, Patrick Phiri, kuilalamikia safu yake ya ushambuliaji inayoshindwa kutumia vyema nafasi nyingi inazopata uwanjani. Phiri ndiye alikuwa kocha wa kwanza kuilalamikia safu yake ya ushambuliaji inayoongozwa na Mganda, Emmanuel Okwi, Amissi Tambwe na Paul Kiongera.Safu ya...

 

11 years ago

Mwananchi

Ngorongoro Heroes dimbani

Timu ya Taifa ya Vijana chini ya miaka 20 ‘Ngorongoro Heroes’, inashuka dimbani leo Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam kumenyana na Nigeria ‘Flying Eagles’ katika mchezo wa kuwania kufuzu kucheza fainali za Afrika kwa vijana mwakani nchini Senegal.

 

9 years ago

Michuzi

Rangers kushuka dimbani kesho

LIGI Daraja la kwanza inaendelea kesho kwa michezo miwili huku timu ya Friends Rangers (pichani) ya Dar es salaam ikishuka kwenye Uwanja wa mabatini Mlandizi kuvaana na timu ya KMC.
Ofisa Habari wa klabu ya Friends Rangers, Asha Kigundula, alisema kuwa wanatambua ugumu wa mechi hiyo lakini lengo lao ni kushinda na kupata pointi tatu.Kigundula alisema anatambua kama wapinzani wao wamejipanga kushinda, lakini nao wapo kwa lengo la kufanya vizuri na kuondoka na pointi tatu.Alisema wao hawajataka...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani