Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maximo, Phiri waungana... kwa Jaja, Okwi

Kocha Mkuu wa Yanga, Mbrazili, Marcio Maximo. Na Wibert Molandi
KOCHA Mkuu wa Yanga, Mbrazili, Marcio Maximo, ameungana na Kocha Mkuu wa Simba, Mzambia, Patrick Phiri, kuilalamikia safu yake ya ushambuliaji inayoshindwa kutumia vyema nafasi nyingi inazopata uwanjani. Phiri ndiye alikuwa kocha wa kwanza kuilalamikia safu yake ya ushambuliaji inayoongozwa na Mganda, Emmanuel Okwi, Amissi Tambwe na Paul Kiongera.Safu ya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Phiri: Okwi ana deni kubwa kwa wanasimba

Kocha wa Simba, Patrick Phiri amemwambia mshambuliaji, Emmanuel Okwi kuwa ana deni kubwa kwa Wanasimba ambalo anapaswa kulilipa kwa uwezo wake wa kutandaza soka uwanjani.

 

11 years ago

Mwananchi

Phiri: Jaja ni mtu hatari

Kocha wa Simba, Patrick Phiri amesema nyota wa Yanga, Genilson Santos ‘Jaja’ ni mshambuliaji hatari na mwenye akili nyingi anapofika golini.

 

11 years ago

GPL

Phiri alikimbia bao la Jaja Taifa

Kocha Mkuu wa Simba, Mzambia, Patrick Phiri. Na Wibert Molandi
KOCHA Mkuu wa Simba, Mzambia, Patrick Phiri, wikiendi iliyopita alipishana na bao kali lililofungwa kiufundi na Geilson Santos Santana ‘Jaja’ na lingine la kiungo mshambuliaji, Simon Msuva. Mzambia huyo, alipishana na mabao hayo wakati alipokwenda kuushuhudia mpambano wa Ngao ya Jamii uliowakutanisha wapinzani wao Yanga na Azam FC uliomalizika kwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Maximo awatetea Coutinho, Jaja

Kocha wa Yanga, Marcio Maximo amewatetea nyota wake wawili kutoka Brazil, Andrey Coutinho, Santos Santana ‘Jaja’ kwa kusema ni wachezaji wazuri, na kama mnataka taarifa zao nendeni kwenye mtandao wa You Tube, mtaziona.

 

11 years ago

Mwananchi

Maximo atetea uwezo wa Jaja

Kocha wa Yanga, Marcio Maximo amesisitiza kuwa mshambuliaji Geilson Santana ‘Jaja’ ana umuhimu kwa timu hiyo na kama kuna shabiki ana mashaka asubiri ligi itakapoanza.

 

11 years ago

Mtanzania

Maximo amkingia kifua Jaja

Marcio Maximo

Kocha wa Yanga, Marcio Maximo

NA MWALI IBRAHIM, DAR ES SALAAM

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mbrazil Marcio Maximo, amemkingia kifua mchezaji wake, Mbrazil Genilson Santos ‘Jaja’ kwa kuwataka mashabiki wasitegemee vitu vingi kutoka kwa wachezaji warefu kwani wana vitu vichache vyenye mafanikio.

Maximo aliyasema hayo juzi baada ya mechi yao ya kirafiki dhidi ya Thika United ya nchini Kenya iliyochezwa katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam na Yanga kuibuka na ushindi wa bao 1-0 lilofungwa na Jaja,...

 

11 years ago

GPL

Maximo, Phiri uso kwa uso Zanzibar

Kocha mkuu wa Simba Mzambia, Patrick Phiri. Na Wilbert Molandi
MAKOCHA wa klabu kongwe na pinzani za Simba na Yanga, keshokutwa Jumapili kila mmoja atatumia muda wake kwa ajili ya kusoma mbinu za mwenzake ndani ya uwanja mmoja. Hiyo itakuwa mara ya kwanza kwa makocha hao kukutana kwenye uwanja mmoja ambapo Yanga inanolewa na Mbrazili, Marcio Maximo huku Simba ikifundishwa na Mzambia, Patrick Phiri. Timu zote zinatarajiwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Maximo awaongezea ‘sumu’ Jaja, Tegete

Kocha wa Yanga, Marcio Maximo amewapa mbinu mpya washambuliaji wake Genilson Santana Jaja na Jeryson Tegete kwa lengo la kuwawezesha nyota hao kutoa mchango unaohitajika kwenye kikosi cha timu hiyo.

 

11 years ago

Mwananchi

‘Maximo, Phiri tuwape muda’

Makocha wa zamani wa Taifa Stars, Joel Bendera na Mshindo Msolla wamesema ujio wa Marcio Maximo na  Patrick Phiri katika klabu za Simba na Yanga utakuwa na manufaa kama viongozi wa timu hizo wataachwa wafanye kazi yao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani