Maximo, Phiri uso kwa uso Zanzibar
![](http://api.ning.com:80/files/t8oueEU5ZFIRzV3y-jSzpK5bJX1cU6cXxXCjXWZC3TIYzuZxn5beOWj*ctbrJjHim0Gq-DU11wazP0EKpIY*L0qDl*D59Nu-/1.jpg)
Kocha mkuu wa Simba Mzambia, Patrick Phiri. Na Wilbert Molandi MAKOCHA wa klabu kongwe na pinzani za Simba na Yanga, keshokutwa Jumapili kila mmoja atatumia muda wake kwa ajili ya kusoma mbinu za mwenzake ndani ya uwanja mmoja. Hiyo itakuwa mara ya kwanza kwa makocha hao kukutana kwenye uwanja mmoja ambapo Yanga inanolewa na Mbrazili, Marcio Maximo huku Simba ikifundishwa na Mzambia, Patrick Phiri. Timu zote zinatarajiwa...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/4O6eIqcn6-5ionicXKfzURkhQwvwQcpYQAqC5P1jwD6bFhW*p9osOFXSG1*oooqPPw2nLSBWmB2dPDEtdSLtMJtz7C1H-AY3/2.jpg?width=650)
Maximo, Kaseja uso kwa uso
10 years ago
Mwananchi15 May
Hamad Rashid, Maalim Seif uso kwa uso Zanzibar
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-4TETQG4tBiM/U8rqnC9ghAI/AAAAAAAF3zg/fCwtIzhDE5k/s72-c/SH100835.jpg)
Msondo, Sikinde uso kwa uso Iddi Mosi TCC Club
![](http://2.bp.blogspot.com/-4TETQG4tBiM/U8rqnC9ghAI/AAAAAAAF3zg/fCwtIzhDE5k/s1600/SH100835.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-IqQLziTISnk/U8rqnKLDEYI/AAAAAAAF3zc/lKN9ty_gKWs/s1600/images+(1).jpg)
10 years ago
VijimamboMuwania kuteuliwa ubunge Tabora uso kwa uso na Mh Aden Rageh
hii walikutana uso kwa uso walipofika ofisi za CCM wilaya kuchukua fomu za kuwania kuteuliwa na chama hicho kugombea ubunge wa wa Tabora mjini. Wote wawili katika kuonesha siasa si chuki wala ugomvi walilakiana na kusalimiana kwa uzuri kabisa.
10 years ago
MichuziMuwania kuteuliwa ubunge Tabora uso kwa uso na Mh Aden Rage
11 years ago
GPLRAIS KIKWETE USO KWA USO NA PINTO MWENYEKITI WA TASWA
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-WTz9XKtzpiI/Uz7-Z1LK2dI/AAAAAAAFYnM/4sSj0WgUoSI/s72-c/IMG_4507.jpg)
ankal uso kwa uso na wazee wa kazi jijini london leo
![](http://2.bp.blogspot.com/-WTz9XKtzpiI/Uz7-Z1LK2dI/AAAAAAAFYnM/4sSj0WgUoSI/s1600/IMG_4507.jpg)
![](http://4.bp.blogspot.com/-H8H6GfVlCgM/Uz7-cnvggKI/AAAAAAAFYnU/OqrsKaRFM8Q/s1600/IMG_4513.jpg)
9 years ago
Bongo510 Dec
Diva uso kwa uso na rapper wa Marekani B.o.B, Jumamosi hii
![20151209210051](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/20151209210051-300x194.jpg)
Mtangazaji wa Clouds FM, Diva The Bawse atakutana na rapper wa Marekani, Bobby Ray Simmons, Jr. maarufu kama B.o.B jijini Nairobi, Kenya Jumamosi hii.
Rapper huyo atatumbuiza Nairobi kwenye show ya Jameson Live Party 2015.
Diva amechaguliwa kuwa mmoja wa watu watakaokutana naye kutokana na kuwa na impact kubwa kwenye redio nchini.
“I am so excited,” ameiambia Bongo5.
“B.o.B ni moja kati ya list ya wasanii wa Marekani ambao I listen too. Namuona on BET, Grammys na kwingine, so I can’t wait...