Maximo, Kaseja uso kwa uso

Kipa wa Yanga, Juma Kaseja. Na Ezekiel Kitula HII ni rekodi mpya katika soka, kwani Kocha mpya wa Yanga, Marcio Maximo na kipa Juma Kaseja, leo wanatarajia kuanza kufanya kazi pamoja kwa mara nyingine baada ya miaka sita ya kutoonana ana kwa ana. Maximo na Kaseja kwa mara ya kwanza tangu 2008, wataonana ana kwa ana na kuanza kufanya kazi…
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL
Maximo, Phiri uso kwa uso Zanzibar
10 years ago
VijimamboMuwania kuteuliwa ubunge Tabora uso kwa uso na Mh Aden Rageh
hii walikutana uso kwa uso walipofika ofisi za CCM wilaya kuchukua fomu za kuwania kuteuliwa na chama hicho kugombea ubunge wa wa Tabora mjini. Wote wawili katika kuonesha siasa si chuki wala ugomvi walilakiana na kusalimiana kwa uzuri kabisa.
10 years ago
MichuziMuwania kuteuliwa ubunge Tabora uso kwa uso na Mh Aden Rage
11 years ago
Michuzi
ankal uso kwa uso na wazee wa kazi jijini london leo


11 years ago
Michuzi
Msondo, Sikinde uso kwa uso Iddi Mosi TCC Club

.jpg)
11 years ago
GPLRAIS KIKWETE USO KWA USO NA PINTO MWENYEKITI WA TASWA
9 years ago
Bongo510 Dec
Diva uso kwa uso na rapper wa Marekani B.o.B, Jumamosi hii

Mtangazaji wa Clouds FM, Diva The Bawse atakutana na rapper wa Marekani, Bobby Ray Simmons, Jr. maarufu kama B.o.B jijini Nairobi, Kenya Jumamosi hii.
Rapper huyo atatumbuiza Nairobi kwenye show ya Jameson Live Party 2015.
Diva amechaguliwa kuwa mmoja wa watu watakaokutana naye kutokana na kuwa na impact kubwa kwenye redio nchini.
“I am so excited,” ameiambia Bongo5.
“B.o.B ni moja kati ya list ya wasanii wa Marekani ambao I listen too. Namuona on BET, Grammys na kwingine, so I can’t wait...