Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Phiri: Okwi ana deni kubwa kwa wanasimba

Kocha wa Simba, Patrick Phiri amemwambia mshambuliaji, Emmanuel Okwi kuwa ana deni kubwa kwa Wanasimba ambalo anapaswa kulilipa kwa uwezo wake wa kutandaza soka uwanjani.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

Maximo, Phiri waungana... kwa Jaja, Okwi

Kocha Mkuu wa Yanga, Mbrazili, Marcio Maximo. Na Wibert Molandi
KOCHA Mkuu wa Yanga, Mbrazili, Marcio Maximo, ameungana na Kocha Mkuu wa Simba, Mzambia, Patrick Phiri, kuilalamikia safu yake ya ushambuliaji inayoshindwa kutumia vyema nafasi nyingi inazopata uwanjani. Phiri ndiye alikuwa kocha wa kwanza kuilalamikia safu yake ya ushambuliaji inayoongozwa na Mganda, Emmanuel Okwi, Amissi Tambwe na Paul Kiongera.Safu ya...

 

9 years ago

Mwananchi

Dk Magufuli: Nina deni kubwa kwa Watanzania

Rais John Magufuli amesema ana deni kubwa kwa Watanzania baada ya wananchi kuonyesha imani kwake, huku akiwaambia wapinzani kuwa uchaguzi umekwisha na yeye ndiye Rais.

 

10 years ago

Mtanzania

Okwi apangua mipango ya Phiri

Kocha mpya wa Simba, Patrick Phiri

Kocha mpya wa Simba, Patrick Phiri

NA JENNIFER ULLEMBO

UJIO wa mshambuliaji, Emmanuel Okwi katika klabu ya Simba, umepangua mipango ya Kocha Mkuu wa timu ya Simba, Patrick Phiri, ambaye amelazimika kupangua kikosi chake alichokipanga kupitia mechi ya kirafiki dhidi ya KMKM.

Okwi alijiunga katika kambi ya timu hiyo juzi visiwani Zanzibar, kwa ajili ya kujiandaa na Ligi Kuu baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili.

Habari za ndani kutoka katika kambi ya Simba, zilisema ujio wa mshambuliaji...

 

10 years ago

GPL

Phiri amkubali Okwi shingo upande

Kocha Mkuu wa Simba, Patrick Phiri. Na Wilbert Molandi, Unguja       
KOCHA Mkuu wa Simba, Patrick Phiri, ameshtushwa na usajili wa kiungo mshambuliaji Emmanuel Okwi aliyetua kuichezea timu hiyo.Simba, juzi Alhamisi, ilitangaza kumrejesha kundini kiungo huyo mwenye mkataba wa mwaka miwili wa kuichezea Yanga inayojiandaa na Ligi Kuu Bara msimu ujao. Akizungumza na Championi Jumamosi, Phiri raia wa Zambia,...

 

10 years ago

Habarileo

Serikali yasikia kilio deni kubwa la MSD

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Kazi Maalumu, Profesa Mark MwandosyaHATIMAYE kilio cha wagonjwa kupoteza maisha na kuteseka, kutokana na uhaba mkubwa wa dawa katika hospitali nyingi nchini, kunakotokana na Bohari ya Taifa ya Dawa (MSD) kuishiwa dawa, kwa kutolipwa zaidi ya Sh bilioni 102 na Serikali, kimesikika.

 

10 years ago

GPL

ZA CHEMBE LAZIMA UKAE: ASHA BARAKA, CHOKI HIVI MNAJUA MNA DENI KUBWA?

Asha na Choki wakishow love ndani ya studio za Global TV Online baada ya upatanisho. NINAWAFAHAMU vizuri sana hawa watu wawili, dada Asha Baraka ‘Iron Lady’ na mdogo wake, Ally Choki mwenye majina mengi ya kisanii, lakini mimi nikilipenda zaidi la Mzee wa Kizigo, kwa vile kwangu lina kumbukumbu ya mambo mengi. Hakuna utata kuwa Asha Baraka ni mmoja wa wanawake wapambanaji katika zama za sasa ambao taifa linaweza...

 

11 years ago

GPL

Azam: Thamani ya Mwaikimba kubwa kuliko ya Okwi

Mshambuliaji wa Azam FC, Gaudence Mwaikimba. Na Sweetbert Lukonge
BAADA ya mshambuliaji wa Azam FC, Gaudence Mwaikimba, kuiongoza timu hiyo kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Ruvu Shooting, juzi Alhamisi, uongozi wa Azam umefunguka kuwa Mwaikimba ana thamani kubwa zaidi ya mshambuliaji wa Yanga, Mganda, Emmanuel Okwi.…

 

10 years ago

Michuzi

MDAU PALLA ANA KWA ANA NA RAIS MSTAAF BENJAMINI MKAPA

Mwandishi wa habari wa kituo cha uhuru Fm Athumani Palla na mkewe Rukia Bakari wakiwa katika picha ya pamoja na Rais mstaafu Mh.Benjamin Mkapa Ofisini kwake Upanga hapo jana jijini Dar.

 

9 years ago

Michuzi

ANKAL ANA KWA ANA NA MBUNGE WA MAFINGA MJINI MHE. COSATO CHUMI

Ankal akila pozi na Mbunge wa Mafinga Mjini Mhe. Cosato Chumi kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma. Globu ya Jamii inampongea sana Mhe. Chumi kwa ushindi wa kishindo alioupata katika kinyang'anyiro cha jimbo hilo, na kumtakia mafanikio katika kuendeleza jimbo katika miaka mitano ijayo. Pia inampongeza si tu kwa kuwa mmoja wa wadau wakubwa wa Globu ya Jamii,  bali pia amekuwa mchangiaji wa mawazo kwa muda mrefu.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani