Azam: Thamani ya Mwaikimba kubwa kuliko ya Okwi
![](http://api.ning.com:80/files/zbcSW1D04at3osdMww-cEpW6MhrJ3b7ZEXst86SFSaXgFuK0ie8t*2livsU0VTGtiEM3BTUJX5abEWLiMErKOmooaQZX0Pup/okwi.jpg?width=600)
Mshambuliaji wa Azam FC, Gaudence Mwaikimba. Na Sweetbert Lukonge BAADA ya mshambuliaji wa Azam FC, Gaudence Mwaikimba, kuiongoza timu hiyo kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Ruvu Shooting, juzi Alhamisi, uongozi wa Azam umefunguka kuwa Mwaikimba ana thamani kubwa zaidi ya mshambuliaji wa Yanga, Mganda, Emmanuel Okwi.…
GPL
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-qDVW2jk6RFo/Xqa6eExLT6I/AAAAAAALoUw/11O8w87eh7oFWEiYmEIwrqNi4HJRsl8rgCLcBGAsYHQ/s72-c/kanyasu2.jpg)
SERIKALI: UHAI WA BINADAMU UNA THAMANI KUBWA KULIKO UHAI WA WANYAMAPORI
![](https://1.bp.blogspot.com/-qDVW2jk6RFo/Xqa6eExLT6I/AAAAAAALoUw/11O8w87eh7oFWEiYmEIwrqNi4HJRsl8rgCLcBGAsYHQ/s640/kanyasu2.jpg)
Akizungumza na viongozi wa vijiji vitano vinavyopakana na Hifadhi ya Taifa ya Serengeti katika wilaya ya Serengeti mkoani Mara, Constantine Kanyasu amesema uhai wa binadamu una thamani kubwa na kamwe hauwezi kufananishwa na uhai wa wanyamapori
Amesema licha ya kuwa binadamu anaaminika kuwa akili kuliko...
9 years ago
Michuzi01 Oct
10 years ago
Mwananchi08 Jan
Bei ya petroli TZ kubwa kuliko Kenya
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/A8I8pebmYzouHft6DqyDGNZI1eXhWnxTXEmEmbgNfeMStbnt2t1RXlQw*c7QDN0jH-o9aKt2n0RSmShI8Ql9KlV3W3-sFQhl/mahaba.jpg?width=650)
MAMBO MADOGO YENYE THAMANI KUBWA KWENYE MAPENZI!-2
10 years ago
Mwananchi11 Sep
Phiri: Okwi ana deni kubwa kwa wanasimba
10 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-Eeim4PzvVaI/VC7ZqAMqV_I/AAAAAAAAR2g/OalSdQKoKwI/s72-c/10.jpg)
KINANA AANDIKA HISTORIA TANGA AFANYA MKUTANO KUBWA ULIOJAA KULIKO KAWAIDA
Awaambia wana Tanga uchumi wao upo kwenye bandari na treniAsisitiza kuwajibika kwa viongozi walioshindwa kutimiza malengo yaoAwataka wananchi kuchagua viongozi bora ambao wataheshimu mawazo yao kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na vitongoji.
![](http://4.bp.blogspot.com/-Eeim4PzvVaI/VC7ZqAMqV_I/AAAAAAAAR2g/OalSdQKoKwI/s1600/10.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-M8LvUejpf0Y/VC7ZpuWmbqI/AAAAAAAAR2c/8N_q5WoXBX0/s1600/11.jpg)
10 years ago
Michuzi28 Jul
SIMBA SPORT CLUB YAJA NA JIPYA TENA, SAFARI HII KUBWA KULIKO…
![Simba SC](http://shaffihdauda.co.tz/wp-content/uploads/2015/07/Simba-SC.jpg)
Klabu ya Simba kwa kushirikiana na Jumia wamezindua huduma ya kununua jezi za Simba 2015 – 2016 kupitia duka la mtandao la Jumia www.jumia.co.tz . Dhumuni la huduma hii ni kuwapatia wapenzi wa klabu ya Simba njia bora ya kuweza kununua jezi popote walipo Tanzania.Kupitia mtandao imara...
10 years ago
Bongo518 Oct
Mitandao ya kijamii ni mtaji wenye thamani kubwa kwa wasanii na mastaa
11 years ago
Mwananchi25 May
Azam FC yafuatilia nyendo za Okwi