Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bei ya petroli TZ kubwa kuliko Kenya

Wakati mjadala wa bei ya mafuta ukiendelea, imebainika kuwa bei ya nishati hiyo nchini ni kubwa kulinganisha na Kenya, wakati Rwanda ikiongoza kwa kutonufaika kwa kushuka kwa petroli katika soko la dunia kati ya nchi za Afrika Mashariki.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Bei ya petroli yashuka tena

>Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) imepunguza bei ya mafuta kwa mara nyingine katika kipindi cha miezi mitatu huku punguzo la sasa likitajwa kuwa ni la chini zaidi katika kipindi cha miaka sita

 

9 years ago

Mwananchi

Bei ya petroli, dizeli yashuka

Bei ya mafuta ya taa, petroli na dizeli zimeshuka kuanzia leo. Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) imetangaza jana kuwa bei za rejareja zimepungua kwa Sh79 kwa lita ya petroli sawa na asilimia 4.01, dizeli Sh76 kwa lita sawa na asilimia 4.20 na mafuta ya taa Sh66 kwa lita sawa na asilimia 3.73.

 

10 years ago

Mwananchi

Bei ya Petroli yazidi kupaa

Dar es Salaam. Bei ya petroli imeendelea kushika kasi ya kupanda tangu ilipopungua kwa kiasi kikubwa mwezi Februari baada ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) kutangaza ongezeko la Sh111 wakati dizeli ikipanda kwa Sh23.

 

10 years ago

Mtanzania

Mafuta ya petroli bei juu

SERIKALI imependekeza kuongeza tozo ya mafuta ya petrol na dizeli kutoka Sh 50 kwa lita hadi Sh 100 kwa lita, ikiwa ni ongezeko la Sh 50 kwa lita.
Akizungumzia kuhusu ongezeko hilo wakati akiwasilisha Bajeti ya Serikali ya mwaka 2015/16 bungeni mjini Dodoma jana, Waziri wa Fedha, Saada Mkuya, alisema mafuta ya taa yanapaa kutoka Sh 50 kwa lita hadi Sh 150 kwa lita, ikiwa ni ongezeko la shilingi 100 kwa lita ili kuondoa uwezekano wa kuchakachua.
“Hatua ya kuongeza tozo ya mafuta ya petroli...

 

9 years ago

Mtanzania

Bei ya Petroli yazidi kushuka

FELIX NGAMLAGOS.MKURUGENZI EWURA TZNa Maneno Selanyika, Dar es Salaam

MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza kushuka kwa bei ya mafuta ya Petroli, Dizeli na Mafuta ya Taa, ikilinganishwa na bei ya mwaka jana.

Taarifa iliyotolewa na EWURA jana na kusainiwa na Mkurugenzi Mkuu wake, Felix Ngamlagosi, ilieleza kuwa bei hiyo elekezi itaanza kutumika kuanzia leo Januari 6.

Ngamlagosi alitaja sababu mojawapo ya kupungua kwa bei za mafuta ni kushuka kwa  bei za mafuta katika soko la dunia, pamoja na...

 

10 years ago

Mtanzania

Mafuta ya petroli, dizeli bei juu

kaguo+titusGRACE SHITUNDU NA TUNU NASSOR,
DAR ES SALAAM
MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza bei mpya itakayoanza kutumika leo ambapo mafuta ya petroli na dizeli yamepanda huku mafuta ya taa yakishuka.
Akizungumza na MTANZANIA jana, Meneja Mawasiliano na Uhusiano EWURA, Titus Kaguo, alisema bei ya jumla na rejareja ya mafuta aina zote imebadilika ikilinganishwa na bei elekezi iliyotolewa Aprili, mwaka huu.
Alisema bei ya rejareja kwa mafuta ya petroli imeongezeka kwa Sh...

 

10 years ago

Mwananchi

Bei ya petroli Dar Sh1,768

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (Ewura) imeshusha bei ya petroli kutoka Sh1,955 hadi Sh1,768 kwa lita ikiwa ni punguzo la Sh187, sawa na asilimia 9.56 kwa bei ya rejareja kuanzia leo.

 

11 years ago

GPL

Azam: Thamani ya Mwaikimba kubwa kuliko ya Okwi

Mshambuliaji wa Azam FC, Gaudence Mwaikimba. Na Sweetbert Lukonge
BAADA ya mshambuliaji wa Azam FC, Gaudence Mwaikimba, kuiongoza timu hiyo kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Ruvu Shooting, juzi Alhamisi, uongozi wa Azam umefunguka kuwa Mwaikimba ana thamani kubwa zaidi ya mshambuliaji wa Yanga, Mganda, Emmanuel Okwi.…

 

10 years ago

Vijimambo

KINANA AANDIKA HISTORIA TANGA AFANYA MKUTANO KUBWA ULIOJAA KULIKO KAWAIDA


Awaambia wana Tanga uchumi wao upo kwenye bandari na treniAsisitiza kuwajibika kwa viongozi walioshindwa kutimiza malengo yaoAwataka wananchi kuchagua viongozi bora ambao wataheshimu mawazo yao kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa na vitongoji. Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akisalimiana na wananchi waliofika kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa Tangamano kata ya Tangamano wilaya ya Tanga mjini.
 Wananchi wakiwa na bango lao kwenye mkutano wa hadhara wakati wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani